Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Tulioko mipakani huku tunaneemka na biashara na wakenya chondechonde serikali ondoeni tofauti zenu
 
Makamba aache kujipendekeza na kutaka kujitafutia umaarufu! Alikuwa wapi walipofungia ndege yetu?
Atulie kwanza hawa nguchiro wakione cha moto asijidai anataka ushujaa wa kutatua mgogoro…
 
Wala hakuna suluhu hapo. Wakenya hawapendi kabisa kuona shirika la ndege la Tanzania linafanikiwa. Kwa wale wanapanda ndege za atcl kwenda Kenya wataungana nami vile wakenya wanalihujumu shirika letu pale jomo Kenyatta international airport. Abiria unatembezwa mpaka basi kwa kubadilishiwa waiting area.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…