Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3

Huyo mnafiki anatafuta kiki za kisiasa tu.., aende zake huko..., hana lolote, tunamjua..!

Tuambiwe chanzo cha ndege za ATCL kuzuiwa ilikuwa ni nini, halafu sisi wenyewe ndio tuaamua tumalize mzozo au tuendelee nao, asituingilie kwenye hili...
Tanzania ilitaka ATCL (Cargo flights) itumie Nairobi kama Hub ya kwenda third countries kwa kanuni zilezile.

Kiufundi huo ni ujanjaujanja na uswahili.
 
Hivi chanzo Cha haya yote ni Nini?. Tuambiwe ukweli.
 
Kiingereza 'ni cha wazungu weupe pe sasa wakenya na rangi yao ..ni kujikomboa kuomba tu wajifunze kiswahili tuu ...mzungu kwao pazuri daily likizo utalii Africa ...kuna kitu wanataka saa wa key waendelee
 
Ni aibu kwetu Waafrika kuwa na mizozo ya Kitoto.
 
Tanzania ilitaka ATCL (Cargo flights) itumie Nairobi kama Hub ya kwenda third countries kwa kanuni zilezile.

Kiufundi huo ni ujanjaujanja na uswahili.
Kuna tatizo gani kama wanalipa gharama za kutumia uwanja? Au wanautumia bure huo uwanja?
Mbona wao ndege zao zinatua huku Dar na wanaleta hadi wazungu waliotoka ulaya? Au third party ni nini?
 
Samahani unaweza toa maelezo zaidi ?
 
Tanzania yadaiwa kutaka kutumia Nairobi kama Hub yaani ndege zatua pale na shughuli zote pale kabla ya kwenda nchi zingine.

Ukianza kufanya hiyo kuwa hub waharibu.

Third party au third country ni nchi ingine kwa mfano ATCL itue Nairobi lakini kwa minajili ya kufanya safari kwenda Addis Ababa au uwanja mwingine.

Kama kanuni zaruhusu hiyo haina shida lakini suala ambalo lipo mezani ni ndege za mizigo na si ndege za abiria ambazo Tanzania imezizuia kuanzia hiyo tarehe 22 January.

Hii ni biashara hivyo ni akili za kibiashara zahitajika na si siasa.

Haya masuala huatka kuketi chini na kuzungumza kisha kukubaliana vinginevyo mwatengezeana dhahama.
 
Wakenya wamepigwa na mwiko chezea mama wewe
 
Utafikiri africa nzima wao tu ndio wanajua kingereza
Kiingereza chenyewe kibaya! Ukimsikia Mluhya anaongea Kiingereza utacheka mpaka ufe! Sema sisi siyo fluent lakini tuna lafudhi nzuri!
 
Tanzania yadaiwa kutaka kutumia Nairobi kama Hub yaani ndege zatua pale na shughuli zote pale kabla ya kwenda nchi zingine.

Ukianza kufanya hiyo kuwa hub waharibu.

Third party au third country ni nchi ingine kwa mfano ATCL itue Nairobi lakini kwa minajili ya kufanya safari kwenda Addis Ababa au uwanja mwingine.

Kama kanuni zaruhusu hiyo haina shida lakini suala ambalo lipo mezani ni ndege za mizigo na si ndege za abiria ambazo Tanzania imezizuia kuanzia hiyo tarehe 22 January.

Hii ni biashara hivyo ni akili za kibiashara zahitajika na si siasa.

Haya masuala huatka kuketi chini na kuzungumza kisha kukubaliana vinginevyo mwatengezeana dhahama.
Bure au wanalipa?
 
Namaanisha ATCL wanalipa wakitumia hiyo Hub au wanataka kutumia bure?
Kwa kupewa kibali kingine hiyo yamaanisha kwamba ATCL watalipia kiasi fulani cha tozo.

Au waweza kuwa hawalipii tozo yoyote kwa kuzingatia kuwa sisi ni nchi za EAC.
 
Kwahiyo hata wao wakija huku kwetu hawalipi kwakuwa ni EAC sio?
 
Back
Top Bottom