Tanzania ilitaka ATCL (Cargo flights) itumie Nairobi kama Hub ya kwenda third countries kwa kanuni zilezile.Huyo mnafiki anatafuta kiki za kisiasa tu.., aende zake huko..., hana lolote, tunamjua..!
Tuambiwe chanzo cha ndege za ATCL kuzuiwa ilikuwa ni nini, halafu sisi wenyewe ndio tuaamua tumalize mzozo au tuendelee nao, asituingilie kwenye hili...
Wakenya wataiachia Tanzania yenyewe ijieleze.Hivi chanzo Cha haya yote ni Nini?. Tuambiwe ukweli.
Kabisa,wakati wenyewe wananufaikaUnakaa nyumba ya vioo halafu unaanzisha ugomvi wa mawe?! Idiot.
Sensitive au walikuwa wanatingisha kibiriti !Kenya wapo sensitive Sana na uchumi sio kama lile taifa lenye HQ ya jf
Kuna tatizo gani kama wanalipa gharama za kutumia uwanja? Au wanautumia bure huo uwanja?Tanzania ilitaka ATCL (Cargo flights) itumie Nairobi kama Hub ya kwenda third countries kwa kanuni zilezile.
Kiufundi huo ni ujanjaujanja na uswahili.
Samahani unaweza toa maelezo zaidi ?Tanzania ilitaka ATCL (Cargo flights) itumie Nairobi kama Hub ya kwenda third countries kwa kanuni zilezile.
Kiufundi huo ni ujanjaujanja na uswahili.
Kuna tatizo gani kama wanalipa gharama za kutumia uwanja? Au wanautumia bure huo uwanja?
Mbona wao ndege zao zinatua huku Dar na wanaleta hadi wazungu waliotoka ulaya? Au third party ni nini?
Tanzania yadaiwa kutaka kutumia Nairobi kama Hub yaani ndege zatua pale na shughuli zote pale kabla ya kwenda nchi zingine.Samahani unaweza toa maelezo zaidi ?
Watandikwa na mwiko wenye ugali wa moto.Wakenya wamepigwa na mwiko chezea mama wewe
🤣🤣 akina mama hawanaga mambo yakipuuziWatandikwa na mwiko wenye ugali wa moto.
Kiingereza chenyewe kibaya! Ukimsikia Mluhya anaongea Kiingereza utacheka mpaka ufe! Sema sisi siyo fluent lakini tuna lafudhi nzuri!Utafikiri africa nzima wao tu ndio wanajua kingereza
Bure au wanalipa?Tanzania yadaiwa kutaka kutumia Nairobi kama Hub yaani ndege zatua pale na shughuli zote pale kabla ya kwenda nchi zingine.
Ukianza kufanya hiyo kuwa hub waharibu.
Third party au third country ni nchi ingine kwa mfano ATCL itue Nairobi lakini kwa minajili ya kufanya safari kwenda Addis Ababa au uwanja mwingine.
Kama kanuni zaruhusu hiyo haina shida lakini suala ambalo lipo mezani ni ndege za mizigo na si ndege za abiria ambazo Tanzania imezizuia kuanzia hiyo tarehe 22 January.
Hii ni biashara hivyo ni akili za kibiashara zahitajika na si siasa.
Haya masuala huatka kuketi chini na kuzungumza kisha kukubaliana vinginevyo mwatengezeana dhahama.
Kuna malipo ni lazima ulipie.Bure au wanalipa?
Namaanisha ATCL wanalipa wakitumia hiyo Hub au wanataka kutumia bure?Kuna malipo ni lazima ulipie.
Hizo ni rights za ATCL.
Kwa kupewa kibali kingine hiyo yamaanisha kwamba ATCL watalipia kiasi fulani cha tozo.Namaanisha ATCL wanalipa wakitumia hiyo Hub au wanataka kutumia bure?
Kwahiyo hata wao wakija huku kwetu hawalipi kwakuwa ni EAC sio?Kwa kupewa kibali kingine hiyo yamaanisha kwamba ATCL watalipia kiasi fulani cha tozo.
Au waweza kuwa hawalipii tozo yoyote kwa kuzingatia kuwa sisi ni nchi za EAC.