Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3

Jamani eeeh
Nchi inakosa viongozi wenye msimamo. Wao ndiyo waje kutuomba maana kila siku wanachokoza wao.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye haya mambo na Tanzania tufocus kwenye tija. Wanalitaka soko letu wakati lao wamelifungia.

Tuongeze wigo wa kupata washirika wa kibiashara zaidi kuliko jirani peleche
 
Kwahiyo hata wao wakija huku kwetu hawalipi kwakuwa ni EAC sio?
Kama wana fifth freedom right na tozo ipo ni lazima walipe.

Hata hivyo yategemea na makubaliano yaliyomo kwenye mkataba wa EAC.
 
Kama wana fifth freedom right na tozo ipo ni lazima walipe.

Hata hivyo yategemea na makubaliano yaliyimo kwemye mkataba wa EAC.
sasa kama tunalipa, shida nini hadi watuzuie in the first place?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…