Kiukweli zile data zilikua zinawauma mpka viongozi wenu wakacharukwa, sasa watapewa wao ndio wapate kuwatawala kifikra watu km wewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wakati jumapili pande zile watu wanruka debe mazee..
Tuombeni Mungu atuepushe na hiki kirusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kubadirisha sera sasa
TZ is almost Corona free!watalii wameisha anza kuja,secondary schools na vyuo vyote,michezo yote na ndege zingine za kimataifa zimeanza kuwasili TZ wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka huko kunyaland.mnaumia na wivu ndio maana mlikuwa mnawazingizia madereva wetu,the fact is,you have bowed to TZ,inawaumaaaa!Kiukweli zile data zilikua zinawauma mpka viongozi wenu wakacharukwa, sasa watapewa wao ndio wapate kuwatawala kifikra watu km wewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kubadirisha sera sasa
Kiswahili chake ni kibovu lakini anakizungumza tu. Hakuna Mkenya aliyekulia Kenya ambaye hajui kuzungumza kiswahili. Kiswahili ni compulsory subject primary school na secondary school. Kcpe na Kcse wanafunzi wote lazima wafanye mtihani wa kiswahili wapende wasipende.Hivi mbona regional/district commissioner huko kwenu wanavaa sare za kipolisi kama kipindi cha kikoloni?
BTW huyu Macharia hajui Kiswahili ama ufala?
Na colonial uniforms for Provincial commissioners?Kiswahili chake ni kibovu lakini anakizungumza tu. Hakuna Mkenya aliyekulia Kenya ambaye hajui kuzungumza kiswahili. Kiswahili ni compulsory subject primary school na secondary school. Kcpe na Kcse wanafunzi wote lazima wafanye mtihani wa kiswahili wapende wasipende.
Kiswahili chake ni kibovu lakini anakizungumza tu. Hakuna Mkenya aliyekulia Kenya ambaye hajui kuzungumza kiswahili. Kiswahili ni compulsory subject primary school na secondary school. Kcpe na Kcse wanafunzi wote lazima wafanye mtihani wa kiswahili wapende wasipende.
Balaa hili, kama ambavyo Serikali imeamua kuficha idadi ya wagonjwa wa covid Nchini sasa hata wale waliokutwa na covid mpakani na Kenya ni SIRI PIA [emoji15][emoji15][emoji15]
Sijakuelewa hapa, maana raia ni wenu, mumesema tukiwapima na kugundua wana kirusi tuwapokeze kwenu kimya, sasa hapo tumepelekeshwa kivipi, na kumbuka tunawapima tukiwa ndani ya nchi yenu.
Sasa kuwataja itakua haitusaidii kitu, cha msingi na muhimu ni kwamba hawaingii kwetu, wanarudi kwenu huko muendelee kuambukizana.
Mpakani hakuna kupimwa, kila mtu atakuwa na cheti chake.
Mkuu relax, covid tushaimudu. Usihofu kama akina Zzk
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeweka na ngao kabisa cheti kinaisha muda siku 14 ndio unapima tena mtanzania gani atakaa Kenya siku 14 mpaka cheti kiishe mda ili apime na wakenya na cku zote hizo anafanya nini huko Kwenye sht hole ,yani kiufupi hiki si kilao bali Tanzania ndio ilioyopana na niliwaambia ngojeni wakae mezani uone Kama Kuna mtanzania mtakaemgusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umepost bila kuelewa ulicho post? Andiko linasema, kila nchi itapima madereva wake kwa viwango vya who, na watapewa cheti kitakachodumu kwa siku 14. Hao watanzania mtawapata wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili kakijulia shule huyo achana nae huoni hata hiyo habari alivyoipindua eti watapimwa Ila taarifa itakua siri wakati hamna hata sehem inayosema hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva CoronaKenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive.
A statement signed by Transport Ministers James Macharia (Kenya) and Issack Kamwele (Tanzania) said the data will be submitted to the competent authority through diplomatic channels for necessary measures.
“Truck crew to be tested before the commencement of their journeys at point of origin using WHO standards and be issued with a 14-days COVID-free certificate by the competent authority which shall be mutually recognised,” the two leaders said.
Each vehicle will only be allowed to carry up to three crew members: each partner State will Gazette conducive places for the truckers to stop and rest.
Partner States will also undertake random screening at the designated resting points.
“This should be treated in a transparent manner. In case one of the vehicle crew is found to be at high risk of COVID-19 the owner of the vehicle shall be allowed to replace all crew and the vehicle allowed to proceed,” the statement adds.
The crew left behind are to be treated according to WHO guidelines.
Further, both States have agreed to commit to revive and operationalise the Ujirani Mwema cross border meetings.
Citizens who undertake agricultural activities on either side of the border will be allowed access to their farms subject to being identified by the local leaders.
For weeks, trucks were stalled at border crossings — with trucks sometimes stretching back hundreds deep at some points.
Truck drivers began to be seen as high-risk COVID-19 carriers after some cases were traced to them.
Tensions had escalated between Tanzania and Kenya over recent days.
Kenya’s ambassador to Tanzania, Dan Kazungu, attempted to ease the situation on Tuesday, saying at a news conference that leaders of the East African Community (EAC) were working together to address the region’s trucking industry problems.
But on Wednesday, a day after Kenya announced the return of more than 180 foreigners to Tanzania because of positive COVID test results, a Tanzanian regional official accused the Nairobi government of faulty testing.
Mrisho Gambo, a commissioner in Tanzania’s northern Arusha region, said in a statement that 19 truckers who had tested positive in Kenya subsequently had negative results after retesting in his country.
He accused Kenya of “a deliberate sabotage strategy” against tourism in his country, according to local news reports.
MY TAKE
Hatimaye Tanzania wamefaulu kuishawishi Kenya kuficha data za madereva wao wanaopatikana na kirusi, hivyo watakua wanapimwa halafu matokeo yanapokezwa kimya kimya kwa mamlaka husika.
Hata hivyo cha msingi na muhimu zaidi ni kwamba watapimwa, hakuna kupita bila kupimwa....hatuna haja ya kujua utaifa, ila tulindwe watu wasiingie huku na maambukizi na kutumaliza.
Haya Watanzania madereva ni wenu, raia ni wenu, kirusi ni chenu, tunawapimia kwenu hivyo sisi hatuhitaji kuwataja, tunawapokeza kimya kimya mfanye mtakalo nao, cha msingi na muhimu hawatavuka mpaka.
Kenya wamekubaliana na MakondaKenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive.

Hebu ona nchi wanazokimbikia kwenda. Si kuruka mkojo unakanyaga mavi?Kama umeimudu TAKWIMU za kuthibitisha hilo kwanini uzifiche? Kwanini balozi za USA [emoji631] na UK waseme covid iko Nchini na hospitali nchini zimeelemewa na hivyo kuondoa raia wake bila serikali kutia neno?