Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

.
34567890-.jpg
 
Shost umeamini ee ,ukiambiwa kitu uache ubishi cc ndio tunayoiendesha E.A hakuna Kenya wala Uganda anaweza kufanya fyoko, tuliwaambia wakikaa Kwenye kikao [emoji1241] itataka kila nchi ipime watu wake wapewe cheti tu Sasa hivyo vipimo vyenu vya msaada wa mjeruma mulivyopanga kuviweka namanga mutapimiana wenyewe , na sisi tushaachana na habari ya kumpima mtu mzima tunawapa cheti tu wanakuja hii ndio TANZANIA ukisikia nyengine duniani photocopy
Na wakati jumapili pande zile watu wanruka debe mazee..
Tuombeni Mungu atuepushe na hiki kirusi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kubadirisha sera sasa

Sera ipi sielewi, tungekua tunawapimia ndani kwetu hayo yangekua mengine, ila wanapimiwa ndani kwenye nchi yenu, raia wenu, kirusi chenu, kwenu sasa hapo haituhusu.

Nilifungua uzi juzi nikasema licha ya maongezi ya simu, kipimo kiko pale pale, dereva akifika anapanua mdomo hadi jino la mwisho, anatumbukizwa kifaa basi.

Haja yetu na muhimu kwetu ni msiingie kwetu mkiwa na hicho kitu, hilo la nyie kuamua kuficha data mtajijua wenyewe aidha mjifie huko au mpone.
 
Kiukweli zile data zilikua zinawauma mpka viongozi wenu wakacharukwa, sasa watapewa wao ndio wapate kuwatawala kifikra watu km wewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
TZ is almost Corona free!watalii wameisha anza kuja,secondary schools na vyuo vyote,michezo yote na ndege zingine za kimataifa zimeanza kuwasili TZ wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka huko kunyaland.mnaumia na wivu ndio maana mlikuwa mnawazingizia madereva wetu,the fact is,you have bowed to TZ,inawaumaaaa!
 
Hawapimwi pimbi we wanatoka na cheti bongo wanaonesha cheti wanapita mpakani wakikaa Kenya kwa siku 14 ndio watalazimika kupima huko Kenya Ila wakigeuka ndani ya siku 14 hawatopima watakuja kupima tena bongo na huku kwatarifa yako hatuwapimi tunawapa cheti WANACHAPA KAZI
Naona umeamua kubadirisha sera sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mbona regional/district commissioner huko kwenu wanavaa sare za kipolisi kama kipindi cha kikoloni?

BTW huyu Macharia hajui Kiswahili ama ufala?

Kiswahili chake ni kibovu lakini anakizungumza tu. Hakuna Mkenya aliyekulia Kenya ambaye hajui kuzungumza kiswahili. Kiswahili ni compulsory subject primary school na secondary school. Kcpe na Kcse wanafunzi wote lazima wafanye mtihani wa kiswahili wapende wasipende.
 
Na colonial uniforms for Provincial commissioners?
 
Haya zile kelele uliokua unapiga bila ya maana zikowapi mlevi mmoja we , nilikwambia haina haja ya kupiga kelele hapa ngoja wakae mezani halafu tuone Kama Kuna Mtanzaia atakaepimwa na mkenya hii ndio [emoji1241] kwa nchi yeyote ukanda huu haiwez kupimana nayo ubavu ikijaribu mwisho wa cku lazima itafuata utaratibu kwa maslahi mapana ya TZ tu ,kwa ufupi cc hatupimi tunawapa tu cheti hatuna mda wa kujisumbua kumpima mtu mwenye afya zake
Kiswahili chake ni kibovu lakini anakizungumza tu. Hakuna Mkenya aliyekulia Kenya ambaye hajui kuzungumza kiswahili. Kiswahili ni compulsory subject primary school na secondary school. Kcpe na Kcse wanafunzi wote lazima wafanye mtihani wa kiswahili wapende wasipende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK254, Tanzania 5-1 Kenya.

Tanzania hatuogopi covid, yaani tuko free. Tuna dawa ya Madagascar, Ya Nimri, ya Mchungaji mashimo, na ya mbunge wa Tanga. Sasa kifuatacho ni kuwapa vyeti vya siku 14 na wasibugudhiwe huko machakosi na kibera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpakani hakuna kupimwa, kila mtu atakuwa na cheti chake.

Mkuu relax, covid tushaimudu. Usihofu kama akina Zzk
Balaa hili, kama ambavyo Serikali imeamua kuficha idadi ya wagonjwa wa covid Nchini sasa hata wale waliokutwa na covid mpakani na Kenya ni SIRI PIA [emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe umepost bila kuelewa ulicho post? Andiko linasema, kila nchi itapima madereva wake kwa viwango vya who, na watapewa cheti kitakachodumu kwa siku 14. Hao watanzania mtawapata wapi?
Sijakuelewa hapa, maana raia ni wenu, mumesema tukiwapima na kugundua wana kirusi tuwapokeze kwenu kimya, sasa hapo tumepelekeshwa kivipi, na kumbuka tunawapima tukiwa ndani ya nchi yenu.

Sasa kuwataja itakua haitusaidii kitu, cha msingi na muhimu ni kwamba hawaingii kwetu, wanarudi kwenu huko muendelee kuambukizana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeimudu TAKWIMU za kuthibitisha hilo kwanini uzifiche? Kwanini balozi za USA 🇺🇸 na UK waseme covid iko Nchini na hospitali nchini zimeelemewa na hivyo kuondoa raia wake bila serikali kutia neno?

Mpakani hakuna kupimwa, kila mtu atakuwa na cheti chake.

Mkuu relax, covid tushaimudu. Usihofu kama akina Zzk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata zikizidi, atapimwa lkn siyo kumtangaza, watatumia proper Chanel kufikisha taarifa nchi husika na kwetu hofu ya covid hatuna kabisaaaa
Tumeweka na ngao kabisa cheti kinaisha muda siku 14 ndio unapima tena mtanzania gani atakaa Kenya siku 14 mpaka cheti kiishe mda ili apime na wakenya na cku zote hizo anafanya nini huko Kwenye sht hole ,yani kiufupi hiki si kilao bali Tanzania ndio ilioyopana na niliwaambia ngojeni wakae mezani uone Kama Kuna mtanzania mtakaemgusa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili kakijulia shule huyo achana nae huoni hata hiyo habari alivyoipindua eti watapimwa Ila taarifa itakua siri wakati hamna hata sehem inayosema hivyo
Kumbe umepost bila kuelewa ulicho post? Andiko linasema, kila nchi itapima madereva wake kwa viwango vya who, na watapewa cheti kitakachodumu kwa siku 14. Hao watanzania mtawapata wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wewe unaifaham lugha gani kingereza umepindua maana kiswahili kinakusumbua chukua habari hii uisome bure Kisha urekebishe uzi wako
Kenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive.

A statement signed by Transport Ministers James Macharia (Kenya) and Issack Kamwele (Tanzania) said the data will be submitted to the competent authority through diplomatic channels for necessary measures.

“Truck crew to be tested before the commencement of their journeys at point of origin using WHO standards and be issued with a 14-days COVID-free certificate by the competent authority which shall be mutually recognised,” the two leaders said.

Each vehicle will only be allowed to carry up to three crew members: each partner State will Gazette conducive places for the truckers to stop and rest.

Partner States will also undertake random screening at the designated resting points.

“This should be treated in a transparent manner. In case one of the vehicle crew is found to be at high risk of COVID-19 the owner of the vehicle shall be allowed to replace all crew and the vehicle allowed to proceed,” the statement adds.

The crew left behind are to be treated according to WHO guidelines.

Further, both States have agreed to commit to revive and operationalise the Ujirani Mwema cross border meetings.

Citizens who undertake agricultural activities on either side of the border will be allowed access to their farms subject to being identified by the local leaders.

For weeks, trucks were stalled at border crossings — with trucks sometimes stretching back hundreds deep at some points.

Truck drivers began to be seen as high-risk COVID-19 carriers after some cases were traced to them.

Tensions had escalated between Tanzania and Kenya over recent days.

Kenya’s ambassador to Tanzania, Dan Kazungu, attempted to ease the situation on Tuesday, saying at a news conference that leaders of the East African Community (EAC) were working together to address the region’s trucking industry problems.

But on Wednesday, a day after Kenya announced the return of more than 180 foreigners to Tanzania because of positive COVID test results, a Tanzanian regional official accused the Nairobi government of faulty testing.

Mrisho Gambo, a commissioner in Tanzania’s northern Arusha region, said in a statement that 19 truckers who had tested positive in Kenya subsequently had negative results after retesting in his country.

He accused Kenya of “a deliberate sabotage strategy” against tourism in his country, according to local news reports.

MY TAKE
Hatimaye Tanzania wamefaulu kuishawishi Kenya kuficha data za madereva wao wanaopatikana na kirusi, hivyo watakua wanapimwa halafu matokeo yanapokezwa kimya kimya kwa mamlaka husika.

Hata hivyo cha msingi na muhimu zaidi ni kwamba watapimwa, hakuna kupita bila kupimwa....hatuna haja ya kujua utaifa, ila tulindwe watu wasiingie huku na maambukizi na kutumaliza.

Haya Watanzania madereva ni wenu, raia ni wenu, kirusi ni chenu, tunawapimia kwenu hivyo sisi hatuhitaji kuwataja, tunawapokeza kimya kimya mfanye mtakalo nao, cha msingi na muhimu hawatavuka mpaka.
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

Kenya wamekubaliana na Makonda
 
Hao wanahangaika na hofu yao. Yaani ndo ile tunasema unaruka mkojo unakanyaga mavi. Hadi wanatoka nchini, hakuna mgeni au raia wao ameambukizwa.

Sasa unawatoa raia wako kwenye nchi salama, unawapeleka kwenye kifo. Akili imetumika kweli?

BAK mkongwe wa JF, katika network yako yaani upande wa baba yako, mama yako na marafiki zako au washikaji, visa vingapi vya covid umevishuhudia?

Wazungu wamezoea kutuletea tiba zao safari hii tumewagomea. Wamepanic
Kama umeimudu TAKWIMU za kuthibitisha hilo kwanini uzifiche? Kwanini balozi za USA [emoji631] na UK waseme covid iko Nchini na hospitali nchini zimeelemewa na hivyo kuondoa raia wake bila serikali kutia neno?
Hebu ona nchi wanazokimbikia kwenda. Si kuruka mkojo unakanyaga mavi?
Screenshot_20200522-221112.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom