Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Bro

Kati ya mambo Tanzania tuliushangaza ulimwengu ni kutofunga nyumba za ibada. Wengi walituona hamnazo. Baadae US wakaanza kuandamana kudai haki hiyo.

Sasa DT ameruhusu jumla wkt sisi tushaona kawaida.

Kama umeimudu TAKWIMU za kuthibitisha hilo kwanini uzifiche? Kwanini balozi za USA [emoji631] na UK waseme covid iko Nchini na hospitali nchini zimeelemewa na hivyo kuondoa raia wake bila serikali kutia neno?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapima mkiwa ndani kwetu? Sijakuelewa kabisa. Mbona wanasema wanapimwa Tz na wanapewa vyeti watumie kuvuka border. Ww iyo kupimia ndani mwetu umeitolea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Hahahaha ukakoronize huko kabla ya cku 14 kufika unarudi bongo kifata karatasi lingine ,hii sawa sawa tumeitawala kenye hawataweza kusema chochote kuuhisu [emoji1241]tumejua kuwaziba midomo .huyo chiz nishamtumia link mara kibao hatak kufungia anaandika tu upuuzi wake
Huyo ni mpuuzi
Anajaribu Kuvutia Kwake kamba ilio oza
Sana sana nikuangukia pua
Watanzania ni Cheti tu
Nenda Kenya
Hakuna Mbuzi ya kikuyu itakayo kugusa
Pita ki BABALAO MPAKA KIBERA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je,unajua idadi ya wagonjwa ilivyoongezeka kwa kasi katika STATES mbali mbali ambazo zimeruhusu tena MISONGAMANO!?

Mnakwama wapi ili kuweza kupata latest INFO!? 😳😳😳

Bro

Kati ya mambo Tanzania tuliushangaza ulimwengu ni kutofunga nyumba za ibada. Wengi walituona hamnazo. Baadae US wakaanza kuandamana kudai haki hiyo.

Sasa DT ameruhusu jumla wkt sisi tushaona kawaida.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Kenya ichukue tahadhari mapema .matokeo ya madereva watakaopimwa Tanzania ya naweza kuwa FAKE!
 
Hamna cha mbili mbili hapo ni Tz 5 Kn 1
 
Na wala hukuelewa,shida yetu sisi sio kupima,sisi hatutaki kututangaza hovyohovyo mnatuharibia cv yetu kwenye utalii kimakusudi,yaani nyie mlikuwa mnafanya propaganda za kizamani sana...sasa mwanaume kakufanya wewe kama mfano,hao wengine wooote wamefyata mkia,hatutaki kusikia mnaitajataja Tanzania,marufuku...!!!!!
Nyie pimeni mtakavyo,lakini kututajataja marufuku..next time tutawanyoosha...

Zambia leo wamefungua mpaka,baada ya kuona tulichowafanyia nyie,hutosikia wakiitajataja watanzania tena,marufuku!!!
 
Na huku sisi hatuwapimi, tunawapabtu cheti wasisimbuliwe mipakani na kabla siku 14 hazitafika, wanakua wamesjavuka boda ya kenya wako tz....
wangekuwa na mademu wazuri tungehofia wana kurowea,but doh hatuna wasi wasi vijana wata uturn kabla ya 14days.
 
Wewe MK 254 una matatizo makubwa ya mfadhaiko na kisaikolojia against TZ...pole
 

Sisi shida yetu sio kutangaza, narudia tena, madereva ni wenu, nchi ni yenu, kirusi ni chenu, sasa tujipe tabu ya kutangaza kwa nini, haja yetu ni kuhakikisha hamna dereva Matanzania anayeingia kwetu akiwa ameathirika, tangu mwanzo tumesema hiyo ndio shida yetu maana nyie kwa sasa mumejichokea kwa umaskini mumeshindwa kupima.
Sasa kupima au kutokupima huko kwenu hakutuhusu ilmradi hamna muathirika yeyote anayeingia kwetu......

Hata niliwahi kuanzisha uzi kwa ajili yake huku Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale - JamiiForums
 
Dunia nzima inajua Kama Kenya inashikishwa adabu na TZ mulimtafuta mpaka Mh Kabudi sijui namba zake muliomba kwanani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

habarileo.co.tz17h

[https://res]

NCHI za Tanzania na Kenya zimeafikiana kuwa madereva watatakiwa kupimwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona katika nchi zao na kupewa cheti maalum kitakachowatambulisha kutokuwa na maambukizi ambacho kitakuwa halali kwa siku 14 pekee.

Baada ya siku hizo kukamilika, madereva hao watalazimika kupimwa tena wakiwa nchini Kenya au Tanzania na endapo watagundulika, watarudishwa katika nchi zao.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele leo, Ijumaa, mpakani Namanga baada kumalizika kikao kilichomjumuisha Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, James Macharia.

Kukutana kwa mawaziri hao na hatimaye kufikia makubaliano hayo kumetokana na mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu baina ya Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Akiwa mkoani Singida, Rais Magufuli alibainisha kuwa wameshamaliza sintofahamu hiyo hivyo ilikuwa ni suala la watendaji wa serikali zote mbili kukutana.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majirani wote walitulia wanamwangalia nyang'au anvyokamuliwa mafuta Wala hawakutaka kujiingiza ,unazani kushindana na TANZANIA unadhini Kama kunywa chang'aa ee? Ukiwa na ubavu wa kushindana na TZ bc kwenye ukanda huu A.mashariki na kati hakuna Nchi itakayokusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…