Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Bro

Kati ya mambo Tanzania tuliushangaza ulimwengu ni kutofunga nyumba za ibada. Wengi walituona hamnazo. Baadae US wakaanza kuandamana kudai haki hiyo.

Sasa DT ameruhusu jumla wkt sisi tushaona kawaida.

Kama umeimudu TAKWIMU za kuthibitisha hilo kwanini uzifiche? Kwanini balozi za USA [emoji631] na UK waseme covid iko Nchini na hospitali nchini zimeelemewa na hivyo kuondoa raia wake bila serikali kutia neno?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.
Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
Mnapima mkiwa ndani kwetu? Sijakuelewa kabisa. Mbona wanasema wanapimwa Tz na wanapewa vyeti watumie kuvuka border. Ww iyo kupimia ndani mwetu umeitolea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hahahaha ukakoronize huko kabla ya cku 14 kufika unarudi bongo kifata karatasi lingine ,hii sawa sawa tumeitawala kenye hawataweza kusema chochote kuuhisu [emoji1241]tumejua kuwaziba midomo .huyo chiz nishamtumia link mara kibao hatak kufungia anaandika tu upuuzi wake
Huyo ni mpuuzi
Anajaribu Kuvutia Kwake kamba ilio oza
Sana sana nikuangukia pua
Watanzania ni Cheti tu
Nenda Kenya
Hakuna Mbuzi ya kikuyu itakayo kugusa
Pita ki BABALAO MPAKA KIBERA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je,unajua idadi ya wagonjwa ilivyoongezeka kwa kasi katika STATES mbali mbali ambazo zimeruhusu tena MISONGAMANO!?

Mnakwama wapi ili kuweza kupata latest INFO!? 😳😳😳

Bro

Kati ya mambo Tanzania tuliushangaza ulimwengu ni kutofunga nyumba za ibada. Wengi walituona hamnazo. Baadae US wakaanza kuandamana kudai haki hiyo.

Sasa DT ameruhusu jumla wkt sisi tushaona kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Kenya ichukue tahadhari mapema .matokeo ya madereva watakaopimwa Tanzania ya naweza kuwa FAKE!
 
Baada ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo. Mwishowe suluhu kwenye border imepatikana. Madereva wa TZ hawakuwa wakipimwa hapo awali lakini sasa makubaliano ni kuwa wataanza kupimwa huko kwao Tanzania na cheti kitakubalika Kenya.

Vile vile dereva wa Kenya watapimwa Kenya. Hii mambo ya rais Pombe kusema kuwa dereva wenu hawana corona kwa sababu wanajiendesha kutoka Dar hadi border bila kuanguka humo ndani ikwishe.

Hata kama dereva hajaanguka ndani ya gari na yupo strong bado lazima apimwe. Kwa sasa vita imeisha. Matokeo ni 2-2

Hamna cha mbili mbili hapo ni Tz 5 Kn 1
 
Sera ipi sielewi, tungekua tunawapimia ndani kwetu hayo yangekua mengine, ila wanapimiwa ndani kwenye nchi yenu, raia wenu, kirusi chenu, kwenu sasa hapo haituhusu.
Nilifungua uzi juzi nikasema licha ya maongezi ya simu, kipimo kiko pale pale, dereva akifika anapanua mdomo hadi jino la mwisho, anatumbukizwa kifaa basi.
Haja yetu na muhimu kwetu ni msiingie kwetu mkiwa na hicho kitu, hilo la nyie kuamua kuficha data mtajijua wenyewe aidha mjifie huko au mpone.
Na wala hukuelewa,shida yetu sisi sio kupima,sisi hatutaki kututangaza hovyohovyo mnatuharibia cv yetu kwenye utalii kimakusudi,yaani nyie mlikuwa mnafanya propaganda za kizamani sana...sasa mwanaume kakufanya wewe kama mfano,hao wengine wooote wamefyata mkia,hatutaki kusikia mnaitajataja Tanzania,marufuku...!!!!!
Nyie pimeni mtakavyo,lakini kututajataja marufuku..next time tutawanyoosha...

Zambia leo wamefungua mpaka,baada ya kuona tulichowafanyia nyie,hutosikia wakiitajataja watanzania tena,marufuku!!!
 
Na huku sisi hatuwapimi, tunawapabtu cheti wasisimbuliwe mipakani na kabla siku 14 hazitafika, wanakua wamesjavuka boda ya kenya wako tz....
wangekuwa na mademu wazuri tungehofia wana kurowea,but doh hatuna wasi wasi vijana wata uturn kabla ya 14days.
 
Kenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive.

A statement signed by Transport Ministers James Macharia (Kenya) and Issack Kamwele (Tanzania) said the data will be submitted to the competent authority through diplomatic channels for necessary measures.

“Truck crew to be tested before the commencement of their journeys at point of origin using WHO standards and be issued with a 14-days COVID-free certificate by the competent authority which shall be mutually recognised,” the two leaders said.

Each vehicle will only be allowed to carry up to three crew members: each partner State will Gazette conducive places for the truckers to stop and rest.

Partner States will also undertake random screening at the designated resting points.

“This should be treated in a transparent manner. In case one of the vehicle crew is found to be at high risk of COVID-19 the owner of the vehicle shall be allowed to replace all crew and the vehicle allowed to proceed,” the statement adds.

The crew left behind are to be treated according to WHO guidelines.

Further, both States have agreed to commit to revive and operationalise the Ujirani Mwema cross border meetings.

Citizens who undertake agricultural activities on either side of the border will be allowed access to their farms subject to being identified by the local leaders.

For weeks, trucks were stalled at border crossings — with trucks sometimes stretching back hundreds deep at some points.

Truck drivers began to be seen as high-risk COVID-19 carriers after some cases were traced to them.

Tensions had escalated between Tanzania and Kenya over recent days.

Kenya’s ambassador to Tanzania, Dan Kazungu, attempted to ease the situation on Tuesday, saying at a news conference that leaders of the East African Community (EAC) were working together to address the region’s trucking industry problems.

But on Wednesday, a day after Kenya announced the return of more than 180 foreigners to Tanzania because of positive COVID test results, a Tanzanian regional official accused the Nairobi government of faulty testing.

Mrisho Gambo, a commissioner in Tanzania’s northern Arusha region, said in a statement that 19 truckers who had tested positive in Kenya subsequently had negative results after retesting in his country.

He accused Kenya of “a deliberate sabotage strategy” against tourism in his country, according to local news reports.

MY TAKE
Hatimaye Tanzania wamefaulu kuishawishi Kenya kuficha data za madereva wao wanaopatikana na kirusi, hivyo watakua wanapimwa halafu matokeo yanapokezwa kimya kimya kwa mamlaka husika.

Hata hivyo cha msingi na muhimu zaidi ni kwamba watapimwa, hakuna kupita bila kupimwa....hatuna haja ya kujua utaifa, ila tulindwe watu wasiingie huku na maambukizi na kutumaliza.

Haya Watanzania madereva ni wenu, raia ni wenu, kirusi ni chenu, tunawapimia kwenu hivyo sisi hatuhitaji kuwataja, tunawapokeza kimya kimya mfanye mtakalo nao, cha msingi na muhimu hawatavuka mpaka.
Wewe MK 254 una matatizo makubwa ya mfadhaiko na kisaikolojia against TZ...pole
 
Na wala hukuelewa,shida yetu sisi sio kupima,sisi hatutaki kututangaza hovyohovyo mnatuharibia cv yetu kwenye utalii kimakusudi,yaani nyie mlikuwa mnafanya propaganda za kizamani sana...sasa mwanaume kakufanya wewe kama mfano,hao wengine wooote wamefyata mkia,hatutaki kusikia mnaitajataja Tanzania,marufuku...!!!!!
Nyie pimeni mtakavyo,lakini kututajataja marufuku..next time tutawanyoosha...

Zambia leo wamefungua mpaka,baada ya kuona tulichowafanyia nyie,hutosikia wakiitajataja watanzania tena,marufuku!!!

Sisi shida yetu sio kutangaza, narudia tena, madereva ni wenu, nchi ni yenu, kirusi ni chenu, sasa tujipe tabu ya kutangaza kwa nini, haja yetu ni kuhakikisha hamna dereva Matanzania anayeingia kwetu akiwa ameathirika, tangu mwanzo tumesema hiyo ndio shida yetu maana nyie kwa sasa mumejichokea kwa umaskini mumeshindwa kupima.
Sasa kupima au kutokupima huko kwenu hakutuhusu ilmradi hamna muathirika yeyote anayeingia kwetu......

Hata niliwahi kuanzisha uzi kwa ajili yake huku Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale - JamiiForums
 
Dunia nzima inajua Kama Kenya inashikishwa adabu na TZ mulimtafuta mpaka Mh Kabudi sijui namba zake muliomba kwanani?

YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

habarileo.co.tz17h

[https://res]

NCHI za Tanzania na Kenya zimeafikiana kuwa madereva watatakiwa kupimwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona katika nchi zao na kupewa cheti maalum kitakachowatambulisha kutokuwa na maambukizi ambacho kitakuwa halali kwa siku 14 pekee.

Baada ya siku hizo kukamilika, madereva hao watalazimika kupimwa tena wakiwa nchini Kenya au Tanzania na endapo watagundulika, watarudishwa katika nchi zao.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele leo, Ijumaa, mpakani Namanga baada kumalizika kikao kilichomjumuisha Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, James Macharia.

Kukutana kwa mawaziri hao na hatimaye kufikia makubaliano hayo kumetokana na mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu baina ya Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Akiwa mkoani Singida, Rais Magufuli alibainisha kuwa wameshamaliza sintofahamu hiyo hivyo ilikuwa ni suala la watendaji wa serikali zote mbili kukutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majirani wote walitulia wanamwangalia nyang'au anvyokamuliwa mafuta Wala hawakutaka kujiingiza ,unazani kushindana na TANZANIA unadhini Kama kunywa chang'aa ee? Ukiwa na ubavu wa kushindana na TZ bc kwenye ukanda huu A.mashariki na kati hakuna Nchi itakayokusumbua

Back
Top Bottom