Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Papi Chulo,

Hehehe!! Mbona sasa tunazungumza lugha moja.

- Tusaidiane kuhakikisha waathirika wa Tanzania hawaji Kenya au hawaendi kwenye nchi yoyote majirani zenu.
- Na sisi hatutawaumbua kwenye hilo la kujiaminisha hakuna corona kwenu

Tukiendelea hivyo tutakua majirani wema, na mataifa yaliyokua yanawatenga kule SADC na huku EAC watatumia hii formulae kuendana nanyi vizuri tena kwa amani na upendo.
 
Tanzania tulicholalamikia ni kitendo cha madereva wa Tanzania kuwekwa mpakani muda mrefu kusubiri majibu, ambayo baadae yanaonyesha kwamba wengi wao ni positive (Msikilize mkuu wa mkoa wa Arusha).

Kulikua na mbinu chafu ya kuonyesha Tanzania kuna wagonjwa wengi wa Corona hivyo kuharibu utalii wa Tanzania, hilo tumelistukia, sasa hivi hakuna mtanzania atapimwa tena. Hakuna mkenya anayeweza kumgusa mtanzania tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kitu usichokijua ni kwamba madereva wetu watakuwa wanapimwa tz,kisha kupewa certificate ya kuingia kunyaland

Sasa jiulize
Watapimwa kwa vipimo gani? Ikiwa jiwe amepiga marufuku kutumia vipimo kupimia watu?

Ukiwa na akili timamu hutopata shida kuelewa mchezo uliofanyika hapa.
 
Good news , everyone wins, unapimwa kama uko negative unachapa kazi, vice versa u go back home, sasa atleast mkulima wa tz atapata hela na sisi vitunguu na nyanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tuwape soko angalau wanunue chumvi na sukari, wakulima wengi Tz ni masikini sana., mashamba makubwa but maisha duni sana., wapumbavu hawaoni hii faida., they think Kenya is desperate for Tanzanian farm produce, kuna options mingi, washukuru sana we have some semblance of civility, sio kama hao viongozi wao, the way wana reason, ni kupiga kifua yenye hawana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenzetu MK254 umeshapimwa? Au uko Ulaya?
 
Umejuaje wanapimwa? Tunaweza amua chonga vyeti kisha wanakuja.
 
Duh..hii ya kutowapima Bali kuwapa cheti tu ni mtego mbaya Sana kwa wakenya...dah..I don't have to elaborate
 
Dah...hata rafiki yetu mmoja alipatwa na mkasa Kama huu...yaani ilifika mahali watu wa afya walitaka kufanya Kama deal...jamaa yetu na ndugu zake walichachamaa mpaka madaktari wakaomba poo..eti amekufa kwa Corona wakati akiwa hai hawakusema hivyo...baadhi ya wauuguzi washenzi Sana...
 
Umejuaje wanapimwa? Tunaweza amua chonga vyeti kisha wanakuja..
Hahaha utamsababishia pressure huyo MK
Naona BBC na DW Sasa hivi wamejirekebisha Sana Sijui kitu gani kimewapata
 
Wakati waziri wenu anakiri kwamba Tanzania wako na soko kubwa lenye kununua chakula chao kwa bei kubwa kusini mwa Afrika kuliko Kenya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usichokielewa hakuna Mdanganyika atatia mguu Kenya bila sisi kumpima. Kirusi chenu mbaki nacho huko.
 
Usihangaike kuwajibu, wabongo wengine akili zao zimeshabuma kama.za baba yao! Hata sielewi watu wanashadadia nini, hata hamuoni aibu kwa haya yote yanayoendelea? Shame on you! I am ashamed of your country which I feel no longer belongs to me because you have adulterated it!
 
Trump mwenyewe anafuata nyayo itakua nyie panya wadogo wadogo mnataka kujifanya ngangali pimbi nyie?

Sisi tunasubiri Jumapili tu basi.
 
Sasa Tz tunakuja na cheti tu, hata hatupimi, kazi yenu nikuangalia negative zetu, peaneni hayo ma positive wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Tz tunakuja na cheti tu, hata hatupimi, kazi yenu nikuangalia negative zetu, peaneni hayo ma positive wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu hii kauli naona ndio mumeaminishwa maana uzi wote huu umejaa comments za Watanzania wote wakirudia rudia hii kauli ya cheti, yaani mnajidanganya karatasi yaani cheti itawasaidia na kuruhusu kutuambukiza, soma tena taarifa vizuri uzielewe, zimesema kutakua na kitu kinaitwa random tests, bado tutawapima, ila kwa vile hamtaki kuumbuka kwa kutangazwa, tutakua tunawarudisha kimya kimya na kuwapokeza muambukizane huko.
 
Sasa hatupimi watakuja na cheti. Njaa haina baunsa mulibana lkn muachia tobo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni nani mpaka mtupime?dereva anakuja na cheti anapita.mkileta za Kuleta tunawaminya tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini umeshajua how strong tz is.hakuna nchi yoyote mashariki,kusini na katikati ya Afrika itatuambia kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…