Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Papi Chulo,

Hehehe!! Mbona sasa tunazungumza lugha moja.

- Tusaidiane kuhakikisha waathirika wa Tanzania hawaji Kenya au hawaendi kwenye nchi yoyote majirani zenu.
- Na sisi hatutawaumbua kwenye hilo la kujiaminisha hakuna corona kwenu

Tukiendelea hivyo tutakua majirani wema, na mataifa yaliyokua yanawatenga kule SADC na huku EAC watatumia hii formulae kuendana nanyi vizuri tena kwa amani na upendo.
 
Kwanza hapakua na awali ya namna hiyo, nyie mlikua mnang'ang'ania kwamba madereva wenu waingie bila kupimwa.
- Sasa kila dereva lazima atapimwa
- Pili, soma kwenye taarifa kuna hii sentensi "Partner States will also undertake random screening at the designated resting points."
Hapo ina maana bado pia tutafanya tests zingine kuhakiki kabisa....tunaita random lakini uwezo wa kupima madereva 2,000 kwa siku tunao, hivyo hao wenu wachache 150 kwa siku hawatatupa tabu

Kikubwa na narudia tena ila kwa mara mwisho, ni kwamba Tanzania haijawa na shida na pima pima zetu, inacho ogopa ni kuumbuka kwa watu wake kutajwa bado wana corona wakati mlishajiaminisha kwamba imeisha kwenu. Inachotaka ni kupewa watu wake kimya kimya bila dunia kuambiwa au kutajiwa.

Sasa sisi hilo hatuna shida nalo maana kipau mbele chetu ni kuhakikisha kila anayekuja kwetu ni mzima, tukipata muathirika tunampokeza mjuane huko huko.

Mbona kwa mwendo huo tutaishi kama majirani wema, hamna kutuambukiza na sisi hatuwataji....ngoma droo tena safi.
Tanzania tulicholalamikia ni kitendo cha madereva wa Tanzania kuwekwa mpakani muda mrefu kusubiri majibu, ambayo baadae yanaonyesha kwamba wengi wao ni positive (Msikilize mkuu wa mkoa wa Arusha).

Kulikua na mbinu chafu ya kuonyesha Tanzania kuna wagonjwa wengi wa Corona hivyo kuharibu utalii wa Tanzania, hilo tumelistukia, sasa hivi hakuna mtanzania atapimwa tena. Hakuna mkenya anayeweza kumgusa mtanzania tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe!! Mbona sasa tunazungumza lugha moja.....
- Tusaidiane kuhakikisha waathirika wa Tanzania hawaji Kenya au hawaendi kwenye nchi yoyote majirani zenu.
- Na sisi hatutawaumbua kwenye hilo la kujiaminisha hakuna corona kwenu

Tukiendelea hivyo tutakua majirani wema, na mataifa yaliyokua yanawatenga kule SADC na huku EAC watatumia hii formulae kuendana nanyi vizuri tena kwa amani na upendo.
Na kitu usichokijua ni kwamba madereva wetu watakuwa wanapimwa tz,kisha kupewa certificate ya kuingia kunyaland

Sasa jiulize
Watapimwa kwa vipimo gani? Ikiwa jiwe amepiga marufuku kutumia vipimo kupimia watu?

Ukiwa na akili timamu hutopata shida kuelewa mchezo uliofanyika hapa.
 
Good news , everyone wins, unapimwa kama uko negative unachapa kazi, vice versa u go back home, sasa atleast mkulima wa tz atapata hela na sisi vitunguu na nyanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tuwape soko angalau wanunue chumvi na sukari, wakulima wengi Tz ni masikini sana., mashamba makubwa but maisha duni sana., wapumbavu hawaoni hii faida., they think Kenya is desperate for Tanzanian farm produce, kuna options mingi, washukuru sana we have some semblance of civility, sio kama hao viongozi wao, the way wana reason, ni kupiga kifua yenye hawana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.

Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
Wewe mwenzetu MK254 umeshapimwa? Au uko Ulaya?
 
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.

Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
Umejuaje wanapimwa? Tunaweza amua chonga vyeti kisha wanakuja.
 
Shost umeamini ee ,ukiambiwa kitu uache ubishi cc ndio tunayoiendesha E.A hakuna Kenya wala Uganda anaweza kufanya fyoko, tuliwaambia wakikaa Kwenye kikao [emoji1241] itataka kila nchi ipime watu wake wapewe cheti tu Sasa hivyo vipimo vyenu vya msaada wa mjeruma mulivyopanga kuviweka namanga mutapimiana wenyewe , na sisi tushaachana na habari ya kumpima mtu mzima tunawapa cheti tu wanakuja hii ndio TANZANIA ukisikia nyengine duniani photocopy

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..hii ya kutowapima Bali kuwapa cheti tu ni mtego mbaya Sana kwa wakenya...dah..I don't have to elaborate
 
Kwani mkuu, wewe unatoka nje au umejifungia ndani? Mie natoka sijaona hayo maradhi. Katika ndugu zangu, upande wa baba na mama, ni babu yangu mmoja tu aged 70s ambaye alipata heart attack, pressure zaidi 200, tunamuuguza kawaida, tunatembelea bila barakoa, tunamhamisha hospital moja hadi nyingine, ndugu jamaa na marafiki wanafika kumpa pole, alipofariki tu, madakatari wakaanza deal zao, kafa kwa dalili za corona. Waliulizwa maswali haya hayakupata majibu:-

1. Kama mlijua ni dalili za cirona, kwa nini hamkusema tumuuguze kwa tahadhari?
2. Kama ni corona, kwa nini hamjatuweka quarantine wote tuliofika kumwona mwenye corona?
3. Kwa nini hbr za corona zije baada ya kifo na mlazimishe kuzika nyie wkt wa ugonjwa hamkusema?

Hayo maswali yalikosa majibu japo walifanikiwa kuzua taharuki. Mwisho wa siku tulishinda, tukamzika kwa taratibu walizotaka wao lkn siyo wao kumzika.

Ukichunguza kwa umakini, kuna deal mpya liliibuka bongo. Yaani hata ajali watasema mwili una dalili za corona ili wakazike kwa kuwa utanunua vifaa vya kujikingia which by then is a good business.

Tangu tumezika, tukapeana moyo kuwa siyo corona, leo siku ya 12, hakuna ndugu yeyote aliyeugua. Na ni dsm hiii, siyo nje ya dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...hata rafiki yetu mmoja alipatwa na mkasa Kama huu...yaani ilifika mahali watu wa afya walitaka kufanya Kama deal...jamaa yetu na ndugu zake walichachamaa mpaka madaktari wakaomba poo..eti amekufa kwa Corona wakati akiwa hai hawakusema hivyo...baadhi ya wauuguzi washenzi Sana...
 
Umejuaje wanapimwa? Tunaweza amua chonga vyeti kisha wanakuja..
Hahaha utamsababishia pressure huyo MK
Asante kwa kutoa mfano hai.

Ukweli ni kwamba kelele nyingi za kupotosha kuhusu corona zilitolewa kwa misingi ya kisiasa Kama anachofanya huyo Jamaa ambaye anajulikana wazi ni mpiga propaganda wa chama Fulani eti serikali ionekane imeshindwa!

Wameshindwa kuwadanganya watanzania sababu tunaona hali halisi, lakini wametuchafua sana nje/kimataifa ambako wasiotutakia mema wakawa wanatangaza uongo wao tu kama walivyofanya BBC na DW.

Jamaa hapo juu katoa list ya nchi 10 ambazo hazijatangaza matokeo ya vipimo kwa muda mrefu zaidi, Tanzania haipo. Lakini wao wanapiga kelele wakituaminisha Tz ni nchi ya ajabu na pekee isiyotangaza matokeo. Ukiwauliza matokeo yanasaidia nini wanabaki kubwabwaja!
Naona BBC na DW Sasa hivi wamejirekebisha Sana Sijui kitu gani kimewapata
 
Wacha tuwape soko angalau wanunue chumvi na sukari, wakulima wengi Tz ni masikini sana., mashamba makubwa but maisha duni sana., wapumbavu hawaoni hii faida., they think Kenya is desperate for Tanzanian farm produce, kuna options mingi, washukuru sana we have some semblance of civility, sio kama hao viongozi wao, the way wana reason, ni kupiga kifua yenye hawana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati waziri wenu anakiri kwamba Tanzania wako na soko kubwa lenye kununua chakula chao kwa bei kubwa kusini mwa Afrika kuliko Kenya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kitu usichokijua ni kwamba madereva wetu watakuwa wanapimwa tz,kisha kupewa certificate ya kuingia kunyaland

Sasa jiulize
Watapimwa kwa vipimo gani???!!..ikiwa jiwe amepiga marufuku kutumia vipimo kupimia watu???

Ukiwa na akili timamu hutopata shida kuelewa mchezo uliofanyika hapa

Usichokielewa hakuna Mdanganyika atatia mguu Kenya bila sisi kumpima. Kirusi chenu mbaki nacho huko.
 
Sijakuelewa hapa, maana raia ni wenu, mumesema tukiwapima na kugundua wana kirusi tuwapokeze kwenu kimya, sasa hapo tumepelekeshwa kivipi, na kumbuka tunawapima tukiwa ndani ya nchi yenu.

Sasa kuwataja itakua haitusaidii kitu, cha msingi na muhimu ni kwamba hawaingii kwetu, wanarudi kwenu huko muendelee kuambukizana.
Usihangaike kuwajibu, wabongo wengine akili zao zimeshabuma kama.za baba yao! Hata sielewi watu wanashadadia nini, hata hamuoni aibu kwa haya yote yanayoendelea? Shame on you! I am ashamed of your country which I feel no longer belongs to me because you have adulterated it!
 
Trump mwenyewe anafuata nyayo itakua nyie panya wadogo wadogo mnataka kujifanya ngangali pimbi nyie?

Sisi tunasubiri Jumapili tu basi.
 
Sera ipi sielewi, tungekua tunawapimia ndani kwetu hayo yangekua mengine, ila wanapimiwa ndani kwenye nchi yenu, raia wenu, kirusi chenu, kwenu sasa hapo haituhusu.

Nilifungua uzi juzi nikasema licha ya maongezi ya simu, kipimo kiko pale pale, dereva akifika anapanua mdomo hadi jino la mwisho, anatumbukizwa kifaa basi.

Haja yetu na muhimu kwetu ni msiingie kwetu mkiwa na hicho kitu, hilo la nyie kuamua kuficha data mtajijua wenyewe aidha mjifie huko au mpone.
Sasa Tz tunakuja na cheti tu, hata hatupimi, kazi yenu nikuangalia negative zetu, peaneni hayo ma positive wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Tz tunakuja na cheti tu, hata hatupimi, kazi yenu nikuangalia negative zetu, peaneni hayo ma positive wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu hii kauli naona ndio mumeaminishwa maana uzi wote huu umejaa comments za Watanzania wote wakirudia rudia hii kauli ya cheti, yaani mnajidanganya karatasi yaani cheti itawasaidia na kuruhusu kutuambukiza, soma tena taarifa vizuri uzielewe, zimesema kutakua na kitu kinaitwa random tests, bado tutawapima, ila kwa vile hamtaki kuumbuka kwa kutangazwa, tutakua tunawarudisha kimya kimya na kuwapokeza muambukizane huko.
 
Sisi shida yetu sio kutangaza, narudia tena, madereva ni wenu, nchi ni yenu, kirusi ni chenu, sasa tujipe tabu ya kutangaza kwa nini, haja yetu ni kuhakikisha hamna dereva Mtanzania anayeingia kwetu akiwa ameathirika, tangu mwanzo tumesema hiyo ndio shida yetu maana nyie kwa sasa mumejichokea kwa umaskini mumeshindwa kupima.

Sasa kupima au kutokupima huko kwenu hakutuhusu ilmradi hamna muathirika yeyote anayeingia kwetu.

Hata niliwahi kuanzisha uzi kwa ajili yake huku Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale - JamiiForums
Sasa hatupimi watakuja na cheti. Njaa haina baunsa mulibana lkn muachia tobo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni nani mpaka mtupime?dereva anakuja na cheti anapita.mkileta za Kuleta tunawaminya tena.
Halafu hii kauli naona ndio mumeaminishwa maana uzi wote huu umejaa comments za Watanzania wote wakirudia rudia hii kauli ya cheti, yaani mnajidanganya karatasi yaani cheti itawasaidia na kuruhusu kutuambukiza, soma tena taarifa vizuri uzielewe, zimesema kutakua na kitu kinaitwa random tests, bado tutawapima, ila kwa vile hamtaki kuumbuka kwa kutangazwa, tutakua tunawarudisha kimya kimya na kuwapokeza muambukizane huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini umeshajua how strong tz is.hakuna nchi yoyote mashariki,kusini na katikati ya Afrika itatuambia kitu.
Halafu hii kauli naona ndio mumeaminishwa maana uzi wote huu umejaa comments za Watanzania wote wakirudia rudia hii kauli ya ch eti, yaani mnajidanganya karatasi yaani cheti itawasaidia na kuruhusu kutuambukiza, soma tena taarifa vizuri uzielewe, zimesema kutakua na kitu kinaitwa random tests, bado tutawapima, ila kwa vile hamtaki kuumbuka kwa kutangazwa, tutakua tunawarudisha kimya kimya na kuwapokeza muambukizane huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom