Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Watapimwa joto tu kwa kutumia thermogun unless siku 14 zipite ndio wapimwe kipimo kikubwaSoma taarifa vizuri, zinasema tutafanya kitu kinaitwa random tests hata baada ya wao kuvuka mpaka, unashtukizwa na kupimwa maana tunajua ukajanja wenu, hapa ni mwendo wa kulinda Wakenya kwa namna yote. Sisi haja yetu sio kutangaza mna UKIMWI, kaswende au corona, kipau mbele chetu ni kulinda Wakenya......
Ukipimwa na kukutwa wewe ni zombi, unarejeshwa kwenu kimya kimya na kwa kuzingatia huo usiri mnaoupenda, mpumuliane huko na kuambukizana mpaka mtie akili.
Yote hayo ni mapendekezo Tanzania imewapa viongozi wenu wayakubali lasivyo tunapindua meza.