Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Soma taarifa vizuri, zinasema tutafanya kitu kinaitwa random tests hata baada ya wao kuvuka mpaka, unashtukizwa na kupimwa maana tunajua ukajanja wenu, hapa ni mwendo wa kulinda Wakenya kwa namna yote. Sisi haja yetu sio kutangaza mna UKIMWI, kaswende au corona, kipau mbele chetu ni kulinda Wakenya......
Ukipimwa na kukutwa wewe ni zombi, unarejeshwa kwenu kimya kimya na kwa kuzingatia huo usiri mnaoupenda, mpumuliane huko na kuambukizana mpaka mtie akili.
Watapimwa joto tu kwa kutumia thermogun unless siku 14 zipite ndio wapimwe kipimo kikubwa

Yote hayo ni mapendekezo Tanzania imewapa viongozi wenu wayakubali lasivyo tunapindua meza.
 
Soma taarifa vizuri, zinasema tutafanya kitu kinaitwa random tests hata baada ya wao kuvuka mpaka, unashtukizwa na kupimwa maana tunajua ukajanja wenu, hapa ni mwendo wa kulinda Wakenya kwa namna yote. Sisi haja yetu sio kutangaza mna UKIMWI, kaswende au corona, kipau mbele chetu ni kulinda Wakenya......
Ukipimwa na kukutwa wewe ni zombi, unarejeshwa kwenu kimya kimya na kwa kuzingatia huo usiri mnaoupenda, mpumuliane huko na kuambukizana mpaka mtie akili.
Random test ni kwamba kati ya watu 100 unaweza kuchagua watu 7 au 10, vipi hao 90 wanaoingia bila kupimwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipau mbele chetu ni afya na usalama wa Wakenya, nchi yenu imesema waathirika wenu wafanywe siri, sasa ilmradi hawaruhusiwi kuambukiza ndani ya Kenya, tutawageuza kimya kimya mkapambane huko huko wenyewe.
Mkataba ni kila mtu apimwe kwao na apewe cheti, hii maana yake Kenya mtalazimika kuwalubali waingie Kenya kwa kuamini vipimo vya Tanzania.

Kwa uhakika kabisa Tanzania haitowapima hao madereva, kwahiyo hii ni kama Kenya imekubali kuwaruhusu madereva wa Tanzania kuingia Kenya bila kupimwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawatatajwa ila watarudishwa watokako na itakuwa kimya kimya kwa mitanzania ila kule Kenya raia wataelezwa kila kitu na watapewa tahadhari. Mitanzania bwana yani ukishakuwa na kiongozi poyoyo haya ndiyo matokeo yake.

Kwanza mwenyewe alikimbia akaiacha watu wafe now anakuja na misimamo ya hovyo hovyo.

Wacha wivu wa pwani wewe
 
Maneno hayo ya kwako Wala hayana maana yeyote sawa na mbwa kum bwekea mbwana wake . Nadhani uliona karatasi zinavyosainiwa yale ndio yanayofuatwa sio mihemko yako.Najua unataman Nchi yako iwe na sauti nayo ukanda huu Ila ndio ishakia haina tu hata ufanyaje haiwezekan hata siku 1 sikio kuzidi kichwa unaumia moyo bure ukonde na upate presha kwa kulipigania taifa lililokosa miundo msingi tokea kuasisiwa kwake
Tunaita random test lakini ni mwendo wa kufuata kila kiumbe na kupima, hampiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Kenya ndio wamekubal mashart waliopewa na TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubavu wa kutunishiana misuli na Tanzania wanautoa wapi?

Ni siku 4 tu lakini joto ya jiwe wameionja, saivi Kenya nzima vyakula vimepanda bei na counties zote za mipakani na Tanzania zipo economical paralyzed, masoko na shughuli za biashara zimefungwa sababu tu Tanzania imefunga mipaka.
 
1590220493398.png

Mawaziri wa Sekta ya Uchukuzi kutoka Tanzania na Kenya wamekutana katika Mpaka wa Namanga Upande wa Tanzania kutatua changamoto ya kibiashara na kijamii kwa wananchi wa pande zote mbili katika kuvuka mpaka wa nchi moja kwenda nyingine.

Kufuatia majadiliano yaliyofanyika, pande hizo mbili zimefikia makubaliano kuwa utaifa wa madereva watakaokutwa na maambukizi ya virusi vya corona hautawekwa wazi.

Taarifa ambayo imesainiwa na Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania na yule wa Kenya, Issack Kamwele na James Macharia, inaeleza kuwa taarifa hizo zitawasilishwa kwa mamlaka husika kupitia njia za kidiplomasia kwa ajili ya hatua zaidi.

“Watendaji wa malori watapimwa afya zao kabla ya kuanza safari kwa kuzingatia viwango vya Shirika la Afya Duniani (WHO), na watapatiwa vyeti vitakavyodumu kwa siku 14 kuonesha kuwa hawana maambukizi ya Covid-19. Kazi hiyo itafanywa na mamlaka itakayotambulika na pande zote mbili,” viongozi hao wamesema.

Kila gari (lori) litaruhusiwa kuwa na watu wasiozidi watatu, na kila nchi itaainisha maeneo ambapo madereva hao wataruhusiwa kusimama na kulala.

Aidha, Wananchi wanaofanya shughuli za kilimo katika pande mbili za nchi hizo wataendelea na shughuli zao kwa sharti la kutambulika na mamlaka za serikali ikiwa ni pamoja na idara za uhamiaji na polisi.
 
Kenya wameamua kujilinda kwa vitendo. Hawababaishwi na mikelele
 
Hapo naona bongo wanataka kuzidi kutuficha ili tujue kua corona imeisha Tz . afadhali Kenya wameendelea na msimamo wao Wa kubaini wagonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kila dalili kwamba Kenya imezidiwa katika hili pambano. Ikitokea tena madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba wanapimwa tena wakifika Kenya, huo mtiti wa Tanzania Mtajificha wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu sisi hatuchukulii hili kuwa pambano, tunalinda afya ya watu wetu, lazima kila anayeingia kwetu apimwe, tutampima akiwa upande wa Tanzania, kisha akiwa upande wetu tumpime tena.

Tanzania haina tatizo na pima pima zetu, uwoga wa Tanzania upo kwenye kutajwa maana mnaumbuka kwa kuficha wagonjwa, hivyo tukimpata muathirika tunampokeza kimya kimya kwa Tanzania muendelee kuambukizana kwenu.

Sababu zilizokua zinafanya mtengwe na majirani ilikua hilo la nyie kushindwa kupima na bado mng'ang'anie kuingia kwenye nchi za watu.

Lakini kwa hili la kuhakikisha hamuambikizi majirani, hakuna jirani atakua na haja ya kuwataja waathirika wenu. Walikua wanatajwa ili mtie akili kwa kuhabarishwa mnao wengi kwenu huko.

Sasa utakua unaskia madereva waliokutwa na kirusi kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania ni 200, ila haitasemwa ni wa nchi gani.
 
Makubaliano yamerudi kama awali, kila nchi inapima watu wake na wanaonyesha vyeti na kuruhusiwa katika nchi anayohusika, hili la kwamba wamekubaliana kwa huko pia watapimwa tena umelitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa hapa, maana raia ni wenu, mumesema tukiwapima na kugundua wana kirusi tuwapokeze kwenu kimya, sasa hapo tumepelekeshwa kivipi, na kumbuka tunawapima tukiwa ndani ya nchi yenu.

Sasa kuwataja itakua haitusaidii kitu, cha msingi na muhimu ni kwamba hawaingii kwetu, wanarudi kwenu huko muendelee kuambukizana.
Nilijua mtu akijua kiingereza huwa wana akili, kumbe wajinga kabisa. Au kiswahili si lugha yako? Umeeandika mwenyewe huu uzi sasa inakuwaje unaendela kupotosha?

Wapi wamesema kuwa wakenya ndio watawapima watz ndani ya tz?

Ipo wazi kabisa, kila dereva atapimwa anapoanzia safari na akikutwa negative ataruhusiwa kuondoka kwa kibari cha siku 14, zikiisha ndio atapimwa katika nchi aliyopo. Sasa huu upumbavu wako unao andika uumeutoa wapi au huelewi kiingereza na wewe?

Kama ni mtz upo kunya na unaanzia safari huko utapimwa huko na ukikutwa + utarudishwa ila data zako zitakabidhiwa kwa ubalozi same to kenyans wen their point of origin is in tz.

Ule ujinga wenu mliokuwa mnataka kuleta umefeli.

Honestly, i hate kenyans because of their habit.
 
MK254,
Kama lenyewe lilivyokuwa limejificha kule Chattle basi anataka kila kitu kifichwe. Tunaomba mtutangazie tafadhali.
 
Makubaliano yamerudi kama awali, kila nchi inapima watu wake na wanaonyesha vyeti na kuruhusiwa katika nchi anayohusika, hili la kwamba wamekubaliana kwa huko pia watapimwa tena umelitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza hapakua na awali ya namna hiyo, nyie mlikua mnang'ang'ania kwamba madereva wenu waingie bila kupimwa.
- Sasa kila dereva lazima atapimwa

- Pili, soma kwenye taarifa kuna hii sentensi "Partner States will also undertake random screening at the designated resting points."

Hapo ina maana bado pia tutafanya tests zingine kuhakiki kabisa....tunaita random lakini uwezo wa kupima madereva 2,000 kwa siku tunao, hivyo hao wenu wachache 150 kwa siku hawatatupa tabu

Kikubwa na narudia tena ila kwa mara mwisho, ni kwamba Tanzania haijawa na shida na pima pima zetu, inacho ogopa ni kuumbuka kwa watu wake kutajwa bado wana corona wakati mlishajiaminisha kwamba imeisha kwenu. Inachotaka ni kupewa watu wake kimya kimya bila dunia kuambiwa au kutajiwa.

Sasa sisi hilo hatuna shida nalo maana kipau mbele chetu ni kuhakikisha kila anayekuja kwetu ni mzima, tukipata muathirika tunampokeza mjuane huko huko.

Mbona kwa mwendo huo tutaishi kama majirani wema, hamna kutuambukiza na sisi hatuwataji....ngoma droo tena safi.
 
Kama lenyewe lilivyokuwa limejificha kule Chattle basi anataka kila kitu kifichwe..
Tunaomba mtutangazie tafadhali.

Hehehe!! Ngoma kwa sasa iko droo, tutakua majirani wema kama kila mmoja atazingatia haya

- Kila Mtanzania anayekuja Kenya lazima tumpime - Partner States will also undertake random screening at the designated resting points.

- Na sisi hatutawaumbua, hatutawataja, tukipata muathirika tunampokeza kwenu kimya kimya tena kwa kuzingatia usiri mkubwa sana...yaani mtapenda.
 
Kama chiz Sasa Kenya ina mamlaka gani ije kupima upande wa TANZANIA inawezekana tunabishana na mtoto wa mitaani aliekosa elimu.

Back
Top Bottom