Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

[emoji4][emoji4][emoji4]
_20200322_141105.JPG
 
Wakati Tanzania leo mmetutangazia tayari wapo 12 na wakenya wameshafunga viwanja vya ndege na entrance zote za kutoka nje ya mipaka yao, nyinyi mnaendelea kukusanya kodi za watalii

In God we Trust
Kuna watu hawaamini mpaka jinamizi la Corona liwe ndani ya nyumba yake. Hebu fikiri ingawa hatuombei, kama hii kitu ianze kuwapata viongozi unafikiri hali itakuwaje? Lazima tungesikia matamko mazito, ila Mungu hutoa fundisho, muda ni Rafiki mzuri!
 
Hapa ikimpata yule aliyesema tusitishanetishane nadhani tutaanza kuwa serious, vinginevyo wacha tuendelee kuleta mzaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuwe makini majirani zetu maambukizi yameshagonga hodi kwa viongozi ambapo naibu Gavana mmoja amepata maambukizi.

Hadi sasa kuna jumla ya wagonjwa 15 nchini humo.

Hata hivo bado hakuna kifo kimetokana na Corona-V nchini Kenya...!!!!
 
waache wapambane na hali yao wakenya nasisi tufanye yetu serikali inajitahidi sana kutoa elimu watu wajikinge na hiligonjwa.
 
Uzuri corona haichagui
Kuna watu hawaamini mpaka jinamizi la Corona liwe ndani ya nyumba yake. Hebu fikiri ingawa hatuombei, kama hii kitu ianze kuwapata viongozi unafikiri hali itakuwaje? Lazima tungesikia matamko mazito, ila Mungu hutoa fundisho, muda ni Rafiki mzuri!

In God we Trust
 
Rais wa botswana amejiweka mwenyewe kwenye quarantine baada ya kwenda Namibia kwenye sherehe ya kuapishwa kwa rais wa Namibia,ni baada ya watu watatu waliohudhuria sherehe hizo wamethibitika kua na ugonjwa wa Corona.

Marais wengine waliohudhuria sherehe hizo ni wa Zimbabwe na Wa Angola.
 
Wakati Tanzania leo mmetutangazia tayari wapo 12 na wakenya wameshafunga viwanja vya ndege na entrance zote za kutoka nje ya mipaka yao, nyinyi mnaendelea kukusanya kodi za watalii

In God we Trust
Mkuu hata sisi tumefunga.
Na hivi siku 14 wakizoweka ndio kila kitu. Hatutapata mambukizi toka nje ila maambukizi tuliyo bayo ndio yanasambaa sasa
 
Back
Top Bottom