Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

Hii corona itakuwa hatari sana imewatoa vijana wa LUMUMBA KWENYE MOOD, SIWAON WAUNGA MKONO JUHUDI WAKIPIGA MAKOFI KWA STATEMENT YA "TUSIWE NA HOFU TUCHAPE KAZI KAMA KAWAIDA" unajua kwanini sababu KIFO HAKINA CHAMA NA MKUU KAGUSA INTEREST ZAO PIA SO WAMEBAKI WAMEDUWAA, kusema lolote hawawez sababu kinachotokea ITALY KINATANGAZWA HADHARANI,

ingekuwa mkuu anaweza kuizuia ikawapata wanachama wa ufipa na wakinazito yangepiga kelele kama wanaimba visingel na wangeunga mkono juhudi.

78e53905-1fa1-4b75-afd5-2e558ab1c9b2.jpg



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naskia ukiiongelea kwa kuidharau inakuchapa... acha tuone
 
Mpaka sasa mm nipo dilemma na huu ugonjwa,kwa sababu mpaka sasa sijasikia mtua amefariki hasa kwa nchi zilizotangulia mfano Kenya,Rwanda,na baadae Tanzania,ni kweli tunapaswa kuogopa kama WHO wanavyotutisha?mm mpaka sasa nachosikia maambukizi yanaongezaka siku kwa siku,is this bug really danger,kama tunavyoaminisha,au ni western propaganda?
 
Huo ndiyo ukwrli. Kama wagonjwa wanapona tena bila dawa kwa nini uogope?

Kumbuka kuna baadhi ya magonjwa yana athali kubwa kwa watu weupe lakini kwa weusi hayana athali kubwa. Vile vile kuna magonjwa ambayo kwa mtu mweusi ni janga lakini kwa mtu mweupe ni kawaida.

Mfano mafua yanaua sana watu weupe lkn kwetu sisi watu weusi huna hata sababu ya kutumia dawa ukiwa na mafua (ukiwa na mafua siyo ukiugua mafua).

Lakini pia athali za HIV kwa mtu mweusi ni kubwa watu weusi bali kwa mtu mweupe anai contral kwa lishe.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hata walisema maneno kama yako kabla ugonjwa hujafika nchini kwao..

Sasa wanakiri wamepoteza matumaimi katika hili janga...
tapatalk_1584941341724.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa mm nipo dilemma na huu ugonjwa,kwa sababu mpaka sasa sijasikia mtua amefariki hasa kwa nchi zilizotangulia mfano Kenya,Rwanda,na baadae Tanzania,ni kweli tunapaswa kuogopa kama WHO wanavyotutisha?mm mpaka sasa nachosikia maambukizi yanaongezaka siku kwa siku,is this bug really danger,kama tunavyoaminisha,au ni western propaganda?
Kwa yaliyotekea China na Sasa yanayotekea Italy,Spain na Iran unasema WHO wanakutisha? Ulitaka wasitoe tadhali kwa wanayoyana

WHO wanawasema ukweli hata Italy walikua wabishi kama sisi wabongo baada ya Corona kuwanyoosha wamekili kua Huu mlipuko ni hatari
 
Eti Corona ni kagonjwa kadogo? Seriously, na hayo ni matamshi ya mtu ambaye anajiita rais? Bila kuzingatia athari za kirusi hicho kiafya, kikitazamwa kwa jicho la kiuchumi tu, hata kijitoto kilichozaliwa jana kinafahamu fika kwamba COVID-19 ni big deal.

Tatizo la kuwa na Mkuu wa kaya anayejua kukariri kanuni za Kemia,urefu wa BARABARA na idadi ya dagaa kwene bahari, maziwa na mito...!
Jiwe hana kabisa Administration and Leadership skills....Ni shiida!
 
Huyo naibu gavana mpumbavu sana, kwanza alionekana kwenye klabu usiku anakula bata katikati ya nyomi, yaani kwa sasa sijui itakuaje maana duh yaani.
 
Kusafiri kwenda nchi zenye Covid-19 kwa wingi muda huu ni ujinga fulani hivi.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom