Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

Hii corona itakuwa hatari sana imewatoa vijana wa LUMUMBA KWENYE MOOD, SIWAON WAUNGA MKONO JUHUDI WAKIPIGA MAKOFI KWA STATEMENT YA "TUSIWE NA HOFU TUCHAPE KAZI KAMA KAWAIDA" unajua kwanini sababu KIFO HAKINA CHAMA NA MKUU KAGUSA INTEREST ZAO PIA SO WAMEBAKI WAMEDUWAA, kusema lolote hawawez sababu kinachotokea ITALY KINATANGAZWA HADHARANI,

ingekuwa mkuu anaweza kuizuia ikawapata wanachama wa ufipa na wakinazito yangepiga kelele kama wanaimba visingel na wangeunga mkono juhudi.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naskia ukiiongelea kwa kuidharau inakuchapa... acha tuone
 
Mpaka sasa mm nipo dilemma na huu ugonjwa,kwa sababu mpaka sasa sijasikia mtua amefariki hasa kwa nchi zilizotangulia mfano Kenya,Rwanda,na baadae Tanzania,ni kweli tunapaswa kuogopa kama WHO wanavyotutisha?mm mpaka sasa nachosikia maambukizi yanaongezaka siku kwa siku,is this bug really danger,kama tunavyoaminisha,au ni western propaganda?
 
Hata walisema maneno kama yako kabla ugonjwa hujafika nchini kwao..

Sasa wanakiri wamepoteza matumaimi katika hili janga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yaliyotekea China na Sasa yanayotekea Italy,Spain na Iran unasema WHO wanakutisha? Ulitaka wasitoe tadhali kwa wanayoyana

WHO wanawasema ukweli hata Italy walikua wabishi kama sisi wabongo baada ya Corona kuwanyoosha wamekili kua Huu mlipuko ni hatari
 

Tatizo la kuwa na Mkuu wa kaya anayejua kukariri kanuni za Kemia,urefu wa BARABARA na idadi ya dagaa kwene bahari, maziwa na mito...!
Jiwe hana kabisa Administration and Leadership skills....Ni shiida!
 
Huyo naibu gavana mpumbavu sana, kwanza alionekana kwenye klabu usiku anakula bata katikati ya nyomi, yaani kwa sasa sijui itakuaje maana duh yaani.
 
Kusafiri kwenda nchi zenye Covid-19 kwa wingi muda huu ni ujinga fulani hivi.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…