Kenya namba tano duniani kwa nishati mbadala

paining truth lol mlifikiri mkifake GDP itajicopy mpaka kwenye reality population in poverty?

Kenya ninyi bado mafukara sana, kama hamuwezi kununua unga mpaka serikali itoe ruzuku je tuendelee bado kujadili hali ya umasikini wenu? Mnakufa njaa na kupokea misaada ya chakula daily
 
LOL anasema Tanzania masikini wa kutupwa wakati population below the poverty line ni 26% wakati Kenya ni 48% sasa sijui hapo nani wa kumcheka mwenzake

Huku wenyewe wakisaidiwa chakula na 99.9% desert country View attachment 1286264
Prove your allegations that Kenya ni 48% with world Bank and IMF reports,.
Na 22 million people living in extreme poverty in TZ ni percentage ngapi ya 55million Tanzanians?
 
Leta reports za World bank ama IMF
NOT githeri blogs....
 
Nimekupa tΓ arifa za WB, wewe unaokoteza ila haitabadilisha mlivyo.
Kwa sasa GDP ya Kenya inaelekea kuwa mara mbili yenu.
 
Sawa professor.
 
Ingekuwa kenya ndio asilimia ndogo isingekuwa fake blogs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walifikiri kama wameweka kufake gdp basi kazi yote kwisha lol

Halafu kitu wakenya hawajui ni maana ya GDP (jumla ya bidhaa zilizozalishwa mostly industrial products)

Sasa wao wanadhani kuzalisha bidhaa nyingi ndio kuondoa umasikini, kuzalisha bidhaa hakuna uhusiano wowote na kuondoa umasikini

Viwanda viwili tu vya General motors na General electric vya marekani vinaweza kuset biashara yao Tanzania na kwa muda mfupi Tanzania ikawa na gdp kubwa Africa

Lakini je huo uzalishaji mkubwa wa hivi viwanda viwili ndio umemaliza kabisa tatizo la maji, barabara, umeme, afya, elimu, lishe Tanzania nzima?

Sasa jinsi walivyo na akili ndogo wanafikiri gdp kubwa ndio kila kitu kwisha lol
 
Wanapenda kujifariji ujinga sana na rank za kijinga zisizoendana na hali halisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi wewe huwezagi kuiongelea Kenya vizuri bila kuzidunisha nchi nyingine? Mbona mna chuki zisizokoma muda wote? Sehemu wala haihitajiki chuki kabisa lakini unaiibua ili Kenya ionekane bora?
Nyie pia mna chuki sana na Kenya kwanza Geuza milele, baridi la jiwe na akili punguani. Wote watatu wana chuki sana na Kenya. Fuatilia nyuzi zao uone
 
Nyie pia mna chuki sana na Kenya kwanza Geuza milele, baridi la jiwe na akili punguani. Wote watatu wana chuki sana na Kenya. Fuatilia nyuzi zao uone
Toa boriti jichoni kwako kabla ya kuanza kuangaika kutoa machoni pa wengine.
 
Wanapenda kujifariji ujinga sana na rank za kijinga zisizoendana na hali halisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
LOL waangalie Nigeria, ndio inaongoza kwa gdp kubwa Africa lakini pia ndio nchi masikini number moja Africa

India na yenyewe ina gdp kubwa size ya G7 lakini ndio nchi yenye masikini wengi dunia nzima

Wakenya bado sana, elimu ndogo
 
Nyie pia mna chuki sana na Kenya kwanza Geuza milele, baridi la jiwe na akili punguani. Wote watatu wana chuki sana na Kenya. Fuatilia nyuzi zao uone
Wao huongea kwa facts sio kwa chuki kama huyo mkenya mwenzako, yeye pekee ndio naona ana chuki ya wazi wazi
 
LOL waangalie Nigeria, ndio inaongoza kwa gdp kubwa Africa lakini pia ndio nchi masikini number moja Africa

India na yenyewe ina gdp kubwa size ya G7 lakini ndio nchi yenye masikini wengi dunia nzima

Wakenya bado sana, elimu ndogo
GDP ya kwenye makaratasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…