MK254, hawa majirani kwa domo domo na kujiliwaza hutawezana nao. Usijisumbue kuwaitisha takwimu za kueleweka kutoka kwa WB au IMF. Nakumbuka zile takwimu za UN(UNDP) za 2018 ambazo hawakutaka kuziona wala kuzijadili. Kwa % ya masikini wameipiku hadi Nigeria na kumbuka kwamba Nigeria wamewazidi kwenye GDP.
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%
6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%