babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hii ndio tofauti kubwa, wakenya hutumia chuki za waziwazi wazi humu πππWao huongea kwa facts sio kwa chuki kama huyo mkenya mwenzako, yeye pekee ndio naona ana chuki ya wazi wazi
Uchumi wa kunya unakuwa kwenye statistics tu.ila reality hamna kitu.Na sisi wa tz hatuna haja ya kujisifu ila majanga yanawaumbua.LOL anasema Tanzania masikini wa kutupwa wakati population below the poverty line ni 26% wakati Kenya ni 48% sasa sijui hapo nani wa kumcheka mwenzake
Huku wenyewe wakisaidiwa chakula na 99.9% desert country View attachment 1286264
Iyo GDP inaishia mikononi mwa kina freedom na kanyang'au wengine.nyie mnatoa macho kwenye slums zenu.mr anakula nyasi tuuuNimekupa tΓ arifa za WB, wewe unaokoteza ila haitabadilisha mlivyo.
Kwa sasa GDP ya Kenya inaelekea kuwa mara mbili yenu.
Dalili ya mihogo ya sumuwa kunya
lol ila kweliUchumi wa kunya unakuwa kwenye statistics tu.ila reality hamna kitu.Na sisi wa tz hatuna haja ya kujisifu ila majanga yanawaumbua.
Kelele za kina mk254 na vidata vyao vya kuvundika,vinaifanya kibera isiendelee
Nilisahau kukuongeza kwenye hio listi.Toa boriti jichoni kwako kabla ya kuanza kuangaika kutoa machoni pa wengine.
Wewe una matatizo ya ubongo. Unajamba jamba maneno yasioeleweka.Uchumi wa kunya unakuwa kwenye statistics tu.ila reality hamna kitu.Na sisi wa tz hatuna haja ya kujisifu ila majanga yanawaumbua.
Kelele za kina mk254 na vidata vyao vya kuvundika,vinaifanya kibera isiendelee
Hehehehehe kujifariji inaruhusiwa hivyo basi endelea.MK254, hawa majirani kwa domo domo na kujiliwaza hutawezana nao. Usijisumbue kuwaitisha takwimu za kueleweka kutoka kwa WB au IMF. Nakumbuka zile takwimu za UN za 2018 ambazo hawakutaka kuziona wala kuzijadili. Kwa % ya masikini wameipiku hadi Nigeria. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%
6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
MK254, hawa majirani kwa domo domo na kujiliwaza hutawezana nao. Usijisumbue kuwaitisha takwimu za kueleweka kutoka kwa WB au IMF. Nakumbuka zile takwimu za UN za 2018 ambazo hawakutaka kuziona wala kuzijadili. Kwa % ya masikini wameipiku hadi Nigeria. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%
6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
Hiyo ilikuwa 2018, link ya ripoti ya 2019 ndio hii hapa. Hebu ichambue, Kenya ilipunguza asilimia ya masikini kwa kiasi kikubwa. Alafu hawa jamaa wa tweets wanaeneza porojo zao wakati kwao masikini ni zaidi ya 50%! Alafu ripoti yenyewe ni MULTIDIMENSIONAL, yaani imezingatia mengi zaidi ya 'earnings'. Kuna vitu vya kawaida sana ambavyo vimezingatiwa, kama vyoo vinavotumiwa, aina ya nyumba ambazo watu wanaishi, lishe, n.k, n.k.Yeah hii data imetulia...
Hehehehehe kujifariji inaruhusiwa hivyo basi endelea.
Niliona karibia nusu ya wakenya ni masikini.The word from the horse's mouth.
Facts! No printers.MK254, hawa majirani kwa domo domo na kujiliwaza hutawezana nao. Usijisumbue kuwaitisha takwimu za kueleweka kutoka kwa WB au IMF. Nakumbuka zile takwimu za UN(UNDP) za 2018 ambazo hawakutaka kuziona wala kuzijadili. Kwa % ya masikini wameipiku hadi Nigeria na kumbuka kwamba Nigeria wamewazidi kwenye GDP. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%
6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
juu ya nini msee,,, labda kidogo tu, uweze kufafanua maana sijakuelewaNinyi sadistic tu hamna lolote mnafikiri eti kwa hii bullying ndio tutarudi nyuma, Tanzania ipo juu
Tanzania inaizidi na nn indiaLOL waangalie Nigeria, ndio inaongoza kwa gdp kubwa Africa lakini pia ndio nchi masikini number moja Africa
India na yenyewe ina gdp kubwa size ya G7 lakini ndio nchi yenye masikini wengi dunia nzima
Wakenya bado sana, elimu ndogo
Tuletee idadi ya matajiri, watu wenye vipato vya kati na maskini tulinganishe na ke uone hao watu wachache ni wengi kuliko tz+ug+rw+burundi[emoji23][emoji23]lol ila kweli
Angalia sababu zilizochangia Tanzania kupunguza umasikini [emoji116][emoji116][emoji116]
"#Tanzania has sustained high econ growth and poverty decreased from 34.4% in 2007 to 26.4% in 2018. Gradual improvements in
1.access to basic services +
2.infrastructure,
3.assets ownership and
4. in human capital
helped reduce poverty that we've seen" - Bella Bird WB #
1Kwa Kenya upatikanaji wa maji ni shida kubwa, Nairobi tu 50% hawana maji kabisa ya Bomba sasa hizo counties nyingine vipi?
2Chakula Kenya ni shida kubwa na Umasikini wa chakula ni mkubwa Kenya kuliko umasikini wa material things
3Miundombinu ni mibovu Kenya, kila mradi mkubwa wa billions of money umewekwa central Kenya, hizo counties za North hakuna hata barabara ya vumbi ya kuwaunganisha
4Assets ownership Kenya ndio zero kabisa sababu hawana ardhi yenye rutuba kabisa na Ile kidogo imeshikwa na wachache wengi wao wazungu so hata assets ya kuuza au kurithisha kizazi chake haipo
5Human capital ndio joblessness, Kenya inaongoza Africa kwa uzalishaji wa wasiona ajira.