Yaani kama upo kichwani mwangu na lile hekalu la Ruto lenye airstrip limeisha?Kenyatta anajenga mji wa northlands kwa hizo pesa
View attachment 900782
Hivi ni kipi haswa kimefanyika Kenya worthy of all this huge amount of money??
What exactly type of investment done? This is a lot of money oh my God π and yet SGR reached nowhere that sensible.
Dah ila wenzetu kama ni ufisadi wapo Mars now.
Kwa hivyo Mungiki wana pesa kuwaliko wadanganyika combined???May be waizitumia kuwalipa mungiki....
Wacha tukwapue Tanzanite pare mererani si hata unajua Kenya is the largest exporter of Tanzanite.Picha wajameni, ila ata Jomo alikwapua ardhi kama mtoto anacheza mchezo wa kuchora na kijiti kwenye ardhi. Uhuru angefanya tofauti angewaangusha jamii yake.
Hahaha paranoid cocaine abuser. Rudi ukalaleView attachment 900782
Hivi ni kipi haswa kimefanyika Kenya worthy of all this huge amount of money??
What exactly type of investment done? This is a lot of money oh my God π and yet SGR reached nowhere that sensible.
Dah ila wenzetu kama ni ufisadi wapo Mars now.
Kama unajua hio hekalu, wewe unachukia nchi yako. Duh! Umerogwa nini? Mbona Kenya inakubamba hivyo? News za T.Z ni boring sana, au niniYaani kama upo kichwani mwangu na lile hekalu la Ruto lenye airstrip limeisha?
70% ya umeme wa Tanzania ni kutoka natural gas ambayo infrastructures zake zilijengwa kwa huo mkopo nafuu kutoka ChinaTanzia walifanya nini na hizo 5trillion?because pesa za flyover was a grant
Nenda Kenya vijijini ujiangalilie barabara. I am sure Kenya has more tarmac roads that tz.70% ya umeme wa Tanzania ni kutoka natural gas ambayo infrastructures zake zilijengwa kwa huo mkopo nafuu kutoka China
Sisi tunaweza kukuonesha faida zake ambazo zinamgusa mtanzania directly hata wa pale kijijini tena huo ni mradi mmoja lakini kuna maelfu ya kilometers za tarmac roads huo mkopo umegharamia
Nyinyi hata mradi mmoja tu wa maana ambao unagusa maisha ya mkenya one way hakuna
Hiyo pesa sijui mlienda kugharimia zile chaguzi zenu za hovyo?
Hahahaha hahahaha, pole mama mdogoNenda Kenya vijijini ujiangalilie barabara. I am sure Kenya has more tarmac roads that tz.
Siwezi pinga kwamba pesa nyingi ziliishia mifukoni mwa watu ila licha ya haya yotekuna maendeleo yaliyofanyika
Yeah. That's the truth. Kenya has more tarmac roads than tz.Hahahaha hahahaha, pole mama mdogo
Haiwezekani, si kwa hizi barabara nazoshuhudia zinajengwa Tz.Yeah. That's the truth. Kenya has more tarmac roads than tz.
View attachment 900782
Hivi ni kipi haswa kimefanyika Kenya worthy of all this huge amount of money??
What exactly type of investment done? This is a lot of money oh my God [emoji134] and yet SGR reached nowhere that sensible.
Dah ila wenzetu kama ni ufisadi wapo Mars now.
Stupid kunyaland commentKwa hivyo Mungiki wana pesa kuwaliko wadanganyika combined???