Kenya naomba maelezo yanayojitosheleza where's all this money went to?😠

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
IMG_20181017_105829_374.jpg

Hivi ni kipi haswa kimefanyika Kenya worthy of all this huge amount of money??

What exactly type of investment done? This is a lot of money oh my God 🙆 and yet SGR reached nowhere that sensible.

Dah ila wenzetu kama ni ufisadi wapo Mars now.
 
Picha wajameni, ila ata Jomo alikwapua ardhi kama mtoto anacheza mchezo wa kuchora na kijiti kwenye ardhi. Uhuru angefanya tofauti angewaangusha jamii yake.
 
Hauwezi ukaona na hakuna siku utaweza kuona maana maendeleo ya Kenya sio kwa level yenu.
 
View attachment 900782

Hivi ni kipi haswa kimefanyika Kenya worthy of all this huge amount of money??

What exactly type of investment done? This is a lot of money oh my God 🙆 and yet SGR reached nowhere that sensible.

Dah ila wenzetu kama ni ufisadi wapo Mars now.

Unlike Tanzania, Kenya haipigi kelele after kujenga flyover moja.
Nilikwambia vizuri, for every km of tarmac mnajenga Tanzania, Kenya inajenga 5 km. Barabara za mtaa midogo, vijijini etc.

Sasa hivi, vijiji ambavyo havijafikiwa na tarmac, barabara zao zimekuwa leveled vizuri na ni almost all weather quality.

Stima ndio hio, mara mbili ya Tanzania.

Masoko yamejengwa, vifaa vya hospitali.

When Tanzanians talk here, we are really left wondering.

Lakini all in all, tutakapo fika deni la $200 billion, hapo ndio bongolala mtafunguka macho. Sasa hivi mko ndani ya urogi wa CCM, mkidhani Tanzania ndio taifa bora kabisa Africa.
 
Picha wajameni, ila ata Jomo alikwapua ardhi kama mtoto anacheza mchezo wa kuchora na kijiti kwenye ardhi. Uhuru angefanya tofauti angewaangusha jamii yake.
Wacha tukwapue Tanzanite pare mererani si hata unajua Kenya is the largest exporter of Tanzanite.
 
View attachment 900782

Hivi ni kipi haswa kimefanyika Kenya worthy of all this huge amount of money??

What exactly type of investment done? This is a lot of money oh my God 🙆 and yet SGR reached nowhere that sensible.

Dah ila wenzetu kama ni ufisadi wapo Mars now.
Hahaha paranoid cocaine abuser. Rudi ukalale
 
Yaani kama upo kichwani mwangu na lile hekalu la Ruto lenye airstrip limeisha?
Kama unajua hio hekalu, wewe unachukia nchi yako. Duh! Umerogwa nini? Mbona Kenya inakubamba hivyo? News za T.Z ni boring sana, au nini
 
Aisee, jamaa kwenye tai nyekundu ndio ana mikoba yote, wamvumile tu walimchaguwa wenyewe kwa kura za 97%.
 
Tanzia walifanya nini na hizo 5trillion?because pesa za flyover was a grant
70% ya umeme wa Tanzania ni kutoka natural gas ambayo infrastructures zake zilijengwa kwa huo mkopo nafuu kutoka China

Sisi tunaweza kukuonesha faida zake ambazo zinamgusa mtanzania directly hata wa pale kijijini tena huo ni mradi mmoja lakini kuna maelfu ya kilometers za tarmac roads huo mkopo umegharamia

Nyinyi hata mradi mmoja tu wa maana ambao unagusa maisha ya mkenya one way hakuna

Hiyo pesa sijui mlienda kugharimia zile chaguzi zenu za hovyo?
 
Nenda Kenya vijijini ujiangalilie barabara. I am sure Kenya has more tarmac roads that tz.
Siwezi pinga kwamba pesa nyingi ziliishia mifukoni mwa watu ila licha ya haya yotekuna maendeleo yaliyofanyika
 
Hahahaha hahahaha, pole mama mdogo
 
Back
Top Bottom