mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,541
Nyie jidanganyeni mjichanganye kwa JWTZ muone alichopata M23 juzi1000km duh! Kumbe iko juu kuliko S-300 ya urusi inayoumiza kichwa nchi za magharibi.
Mkuu utawaweza awa wakenya wengi vilaza tu hawana kitu kazi kujisifia mitandaoni tu.KDF ni kama kikosi mahalum cha sungu sungu tu
Kama mnawaogopa waganda ni nyie tu sio sisi.KDF ni makande kabisa labda tuwape offer mje kidogo TMA tuwafue jinsi yakupigana1973 tanzania only had guns and Lorries in its army its not 1970s anymore
Look at ugandas airforce
C muwajaribu tena mshangae
View attachment 437703
Wakenya ni waongo sana. Km 1000! Labda MK254 alimaanisha m1000.Nyie jidanganyeni mjichanganye kwa JWTZ muone alichopata M23 juzi
Kwanza TZ haiwezi kupigana na kanchi wanaume wake wanapigwa na wanawake
May be muwalete hao mabibi zenu wanaowapiga tuwafundishe adabu
I see it will fall kwa kila siku kushinda kwa majirani na kulilia free access kwenye nchi ambayo hamuhitajiki kama vile ni yatima
Btw hatuwezi kuwaombea mdondoke uroho wenu na roho zenu mbaya ndo zitakazowamaliza
Tungekua na roho chafu tungeshajazana huko kwenu kuleta umbeya na kujipendekeza kinafikiNyie ndo mna roho chafu ya kishetani I say.
MK...Patamu hapo aisee!....kwanza nakumbuka zilipokuwa kwenye action kule Somalia, I was looking for the live bombardment videos online!
Hilo kombora moja naskia laweza chapa upto 1000 KM inland from the Sea!
Yaani moja tu limetosha ku flatten Dar pamoja na mapimbi yake yote yaliyomo humo magogoni!.........😀😀😀!
Hatubishani na wehu sisi.Tunawajua vipaji vyenu ni wizi na misifa tuKilaza ni wewena nyanya yako.Why do you have to come to a kenya thread if you think you are doing so well.Si upeleke matamshi yako uko kwa chadema uone chamtema kuni.CCM is running down that country to a forth worldna bado unakuja kutuonyesha upwoyoyo hapa
Wakenya ni waongo sana. Km 1000! Labda MK254 alimaanisha m1000.
Unaonesha F-5 kah!! Zimepitwa na wakati zamani mno. Hilo ni toy haliwezi kujificha hata kwenye rada za mwaka 1872.1973 tanzania only had guns and Lorries in its army its not 1970s anymore
Look at ugandas airforce
C muwajaribu tena mshangae
View attachment 437703
Hatubishani na wehu sisi.Tunawajua vipaji vyenu ni wizi na misifa tu
Mbona kila siku mnawashobokea mnatukubali kiaina sema tu hatuna haja na nyie ndo mana mnaleta poziSisi pia hatubishani katu na warogi wala Albino ambao wamejazana Tandale wakisema ni the largest city in the world kushinda NYC
Mbona kila siku mnawashobokea mnatukubali kiaina sema tu hatuna haja na nyie ndo mana mnaleta pozi
1000km duh! Kumbe iko juu kuliko S-300 ya mrusi inayoweza kupiga target umbali wa 300km na inayoumiza kichwa nchi za magharibi.
Cc: Elungata, Bukyanagandi, MURUSI.
Wenzetu akina nani kwani mpo kwenye forum ya akina nani?? Au mlikosa nafasi huko kwenu.....na huwez kumkataza mwenye nyumba hata siku 1 kutembelea banda lake la kukuHahaa...sasa nani ameleta pozi???Sisi tumejifanyia mambo yetu mnakuja na utani ya kishetanishetani hivi kutuchokoza tu.Of you were really good and want your country to advance,why do you have a pull down syndrome against kenya.Mbona msiende hukoo kwenye thread ya wenzenu.Why Kenya???
Endeleeni kujipendekeza kwetu tutawaoa makande nyinyi.Nimeshajua kwanini mnapigwa na wake zenu mnakuja kumalizia stress zenu umuSisi pia hatubishani katu na warogi wala Albino ambao wamejazana Tandale wakisema ni the largest city in the world kushinda NYC
I see it will fall kwa kila siku kushinda kwa majirani na kulilia free access kwenye nchi ambayo hamuhitajiki kama vile ni yatima
Btw hatuwezi kuwaombea mdondoke uroho wenu na roho zenu mbaya ndo zitakazowamaliza
Hata 100km haiwezi, labda 10km.Typo......alimaanisha 100km.
Endeleeni kujipendekeza kwetu tutawaoa makande nyinyi.Nimeshajua kwanini mnapigwa na wake zenu mnakuja kumalizia stress zenu umu
Nyie mnajiona mpo sawa[emoji38] sawa tuliza akili zako nenda kampande ng'ombe wa babu yako huko nyeriNani anawashinda nyie kwa roho mbaya?....huoni tayari matokea ya jinsi mlivyo nchi ni kama mmelaaniwa vile?....sasa hayo hapo ni evidence ya mlivyo siyo sisi...talk of a pot calling the kettle black!