mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,541
Nyie jidanganyeni mjichanganye kwa JWTZ muone alichopata M23 juzi1000km duh! Kumbe iko juu kuliko S-300 ya urusi inayoumiza kichwa nchi za magharibi.
Kwanza TZ haiwezi kupigana na kanchi wanaume wake wanapigwa na wanawake
May be muwalete hao mabibi zenu wanaowapiga tuwafundishe adabu