Kenya nchi pekee EA

Kenya nchi pekee EA

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Wakenya hawajapendezwa na babu wa kikombe kuwa Tanzania wanataka kuandamana.

Hawa wakenya wanataka kila kitu kianzie kwao halafu ndio wa TZ waige.

Sasa wanahaha babu kawatime, wanachemka chemka !
 
Si ajabu waliitwa Manyang'au ,kula kutu wanataka wao ati
 
haisaidii babu ni wa tanzania tayari, ametibu, hajatibu ni wetu tu ; mungu ibariki Tanzania
 
haisaidii babu ni wa tanzania tayari, ametibu, hajatibu ni wetu tu ; mungu ibariki Tanzania

Hawa ni wazandiki na wabaya sana.
Kuna cku nimepanda ndege yao tumepita zanzibar wakakaa kimya, kufika tu kilimanjaro wanaanza tangaza hapa umeingia Kenya ona kilele cha mlima kilimanjaro . Nilitamani kuingilia kati matangazo, lakini ckuwa na uwezo
 
Hata hili la babu jamani tunagombaniana?
Mbona yapo mambo ya msingi ya ku'compit na Kenya lakini sio hili!!
 
Hata hili la babu jamani tunagombaniana?
Mbona yapo mambo ya msingi ya ku'compit na Kenya lakini sio hili!!

Wao wameona deal,
Kwa kifupi babu ameiweka Tanzania katika ramani nyingine ya dunia.
Ameipaisha vya kutosha watu wa mashariki za mbali na duniani kote wanaimba Tanzania.
Hili la babu lina impact yake ktk uchumi, hasa utalii kukua na pesa ya nje kuingia nchini kwani watu inabidi wa change dola wapate SH. 500 NA MATAUMIZI MENGINE WATAKAYO TUMIA KATIKA MIGAHAWA YETU NA NYUMBA ZA KULALA.
N i deal mkuu kama huelewi!
 
hii issue ikoje jamani? naona tumbo tu kichwa wa miguu sioni, kuna nini hapa???
 
hii issue ikoje jamani? naona tumbo tu kichwa wa miguu sioni, kuna nini hapa???

Iko hivi kuna habari juu ya
Waziri wa afya wa kenya anaitaka serikali ya Tz KUMFUNGIA BABU WA LOLIONDO KUTOA HUDUMA ZAKE.
 
Iko hivi kuna habari juu ya
Waziri wa afya wa kenya anaitaka serikali ya Tz KUMFUNGIA BABU WA LOLIONDO KUTOA HUDUMA ZAKE.

Sasa nimewapata; kweli huu ni wivu wa kijinga kabisa, inawahusu nini hawa jamaaa? ndio maana waswahili wanasema pilipili iko shamba inakuwashia nini
 
Sasa nimewapata; kweli huu ni wivu wa kijinga kabisa, inawahusu nini hawa jamaaa? ndio maana waswahili wanasema pilipili iko shamba inakuwashia nini

Wanajifanya wao ni wajuaji sana hawa wakenya.
Kuna madai mengine pia na hisi wamechakachua kuwa wao waliigundua hii dawa mwaka 2006
 
Hawa ni wazandiki na wabaya sana.
Kuna cku nimepanda ndege yao tumepita zanzibar wakakaa kimya, kufika tu kilimanjaro wanaanza tangaza hapa umeingia Kenya ona kilele cha mlima kilimanjaro . Nilitamani kuingilia kati matangazo, lakini ckuwa na uwezo
. Kwani walipotangaza ulikuwa huuoni mlima kilimanjaro? Kwa uelewa wangu ukiwa uwanja wa ndege wa nairobi unauona vizuri tu mlima kilimanjaro.
 
Mmmh! waha jamaa ndivyo walivyo hata mm nipo nao karibu sn huku ninakoishi kwani wa tz tuko wachache, wao wako wengi, utasikia kutudharau kuwa, polisi wa tz atakwambia naomba nikushike! namengine mengi, lkn haya yote yanaletwa na udhaifu wamipango ya elimu yetu, nilikwisha sema kama tz tutaamua kuwa english ni lazima toka kindergaten to university kweli tutawatupa mbali sn, kwani kwao rushwa iko juu sn kuliko tz, nakumbuka nimepita lungalunga, kama mara 3 ukipita unafuatwa na askari anataka pesa, hata kama anaona unahaki wala hauna kosa, ni lugha pekee inayo wapa kichwa, lkn ck waziri wa elimu atakapo sema kuanzia leo ni kiingereza nchi yote, tumewapiga bao lkn wakubwa wako kimya, wanao wao hawana shida kama watoto wa akina Kimanzichana japo nikaribu sn na Dar.
 
Hata hili la babu jamani tunagombaniana?
Mbona yapo mambo ya msingi ya ku'compit na Kenya lakini sio hili!!
Ungesoma makala ya gazeti la Mwanachi Jumapili kama sikosei ni Sammy Makila ungeona fursa ambazo kama sisi wa Tanzania tungekuwa wabunifu tungezitumia kupitia kwa huyu babu wa Loliondo,ingekuwa ni Kenya ungeona hao Wakenya ambavyo wangeingiza fweza,hata pale kwa babu nadhani TRA wamepata fedha nyingi kutokana na mapato ya babu na hata benki zimenufaika kwani sidhani babu anaweka mamilioni yake kwenye vibuyu
 
Nasikia benki ya loliondo sasa hivi inaweka pesa kuliko ilivyowahi kuwa tangu ianzishwe deposit ni nyingi zaidi
 
Back
Top Bottom