Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haisaidii babu ni wa tanzania tayari, ametibu, hajatibu ni wetu tu ; mungu ibariki Tanzania
Hata hili la babu jamani tunagombaniana?
Mbona yapo mambo ya msingi ya ku'compit na Kenya lakini sio hili!!
Hata hili la babu jamani tunagombaniana?
Mbona yapo mambo ya msingi ya ku'compit na Kenya lakini sio hili!!
Iko hivi kuna habari juu ya
Waziri wa afya wa kenya anaitaka serikali ya Tz KUMFUNGIA BABU WA LOLIONDO KUTOA HUDUMA ZAKE.
Sasa nimewapata; kweli huu ni wivu wa kijinga kabisa, inawahusu nini hawa jamaaa? ndio maana waswahili wanasema pilipili iko shamba inakuwashia nini
. Kwani walipotangaza ulikuwa huuoni mlima kilimanjaro? Kwa uelewa wangu ukiwa uwanja wa ndege wa nairobi unauona vizuri tu mlima kilimanjaro.Hawa ni wazandiki na wabaya sana.
Kuna cku nimepanda ndege yao tumepita zanzibar wakakaa kimya, kufika tu kilimanjaro wanaanza tangaza hapa umeingia Kenya ona kilele cha mlima kilimanjaro . Nilitamani kuingilia kati matangazo, lakini ckuwa na uwezo
Ungesoma makala ya gazeti la Mwanachi Jumapili kama sikosei ni Sammy Makila ungeona fursa ambazo kama sisi wa Tanzania tungekuwa wabunifu tungezitumia kupitia kwa huyu babu wa Loliondo,ingekuwa ni Kenya ungeona hao Wakenya ambavyo wangeingiza fweza,hata pale kwa babu nadhani TRA wamepata fedha nyingi kutokana na mapato ya babu na hata benki zimenufaika kwani sidhani babu anaweka mamilioni yake kwenye vibuyuHata hili la babu jamani tunagombaniana?
Mbona yapo mambo ya msingi ya ku'compit na Kenya lakini sio hili!!
Ungesoma makala ya gazeti la Mwanachi Jumapili kama sikosei ni Sammy Makila ungeona fursa ambazo kama sisi wa Tanzania tungekuwa wabunifu tungezitumia kupitia kwa huyu babu wa Loliondo,ingekuwa ni Kenya ungeona hao Wakenya ambavyo wangeingiza fweza,hata pale kwa babu nadhani TRA wamepata fedha nyingi kutokana na mapato ya babu na hata benki zimenufaika kwani sidhani babu anaweka mamilioni yake kwenye vibuyu