Kenya ndio nchi masikini katika ukanda wa EAC

Who are you to dispute a recognized magazine? So between a written article by a recognized institution and an oral reported message without any numbers to support the claim which one do you believe in?
Sasa ulitegemea east african lisemeje, hilo gazeti lina beef na Tz kitambo. Hujui? Leta evidence from a reputable source.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingekua Kenya ni nchi masikini kabisa ukanda huu, Watanzania wasingejaza miji yetu kutembeza bakuli/ kuombaomba. Wangebakia hukohuko Tanzania kuchuna pesa kwenye miti, avocado na madini

Nategemea miwape pesa mingi waache kuomba,kumbe mnapeana na masikini kwa masikini kwa 2bob.
 
Takwimu za 2018 kutoka kwa U.N. Nchi- Idadi ya wananchi masikini- %. 2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11% NB: Zimepangwa kulingana na wingi wa idadi ya wananchi ambao ni masikini, sio % ya wananchi masikini kwenye nchi husika.
 
aiseee kuna watu tanzania ni maskini we sikia tu hivo hivo!.......


yan inapokua ishu ya umaskini kuna watu hata marekani ni maskini wa kutupwa mpk unashangaa


umaskini wa mtu mmoja mmoja hauhitaji kushabikia,....... nina uhakika hujapita baadhi ya maeneo magumu ya tanzania, japo kenya pia maskin wa kutupwa wapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Nafikiri we ni mgeni ktk forum ya EAC hususani humu KE ila sio mbaya Hawa ndugu zetu wa Kenya walishawahi kuleta UZI humu JF wakijinadi ya kuwa wao ni developed country na sio developing country kidogo ilitushitua ss wang'amuzi wa mambo ya maendeleo, watu na mazingira iliongeza curiosity ss pita pita yangu nikasikia makala ya redio Dutch vede hidhaya ya kiswahili ... wakisema ya kuwa KE ni nchi maskini ndio nikawaletea hapa hii taarifa kwa hawa ndugu zetu,..kwa swala uelewa wa umaskini binafsi naelewa sana umaskini upo hata US na naelewa umaskini uliopo ndani ya nchi yangu
 
Compare that with Tanzania the Poorest country in the world.. .... ...
Poorest country in what measure?
- we feed ourselves,
- we build new railway systems with our own money,
- we fund our biggest project (the electric dam),
- we build another phase of BRT,
- we buy new planes with cash,
- we design our own roads, bridges, skyscrapers and fund them with our own money.

Oh, BTW all these happening concurrently.
 
Hapa motanzania ambayo imezoea propaganda na kupumbazwa hawawezi kubali, report ya radio it can come from an opinion from someone's thinking, it ain't necessarily factual, lakini ju wameone DW ama iwe BBC, basi ni sawa., umefanya vyema kuweka concrete facts. Ni aibu kwa nchi kama Tanzania to be ranked such low in extreme poverty index.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilaza haujasoma hataaa! Tulia ukweli ukuingie hadi kwenye matumbo.
Therefore your intention is to oppose the motion (theme) ? OR , because I have gone through the article you attached here but I see another story it is like the other side of the coin from the head to tale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atasema East African newspaper ni ya Kenya., mtafutie report sahihi from other sources, pia South Africa na Nigeria wako na hii report saw in their news, Nigeria walikubali nao wameamua kuweka mikakati ya kupambana na hali yao., lakin Mitanzania na umasikini jeuri hawajakubali, lao ni waone Kenya tukoje ili wajifariji, badala ya kushughulikia hali. Ole wao wadanganyika., nchi ovyo EAC.
Just say you haven't read the article.This is what I wanted you to read.View attachment 1040968

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo mnatumia vipimo tofauti kupima kitu kimoja.

Dola moja kwa Tanzania ina uwezo wa kununua vitu vingi kuliko Kenya, kwa hiyo huwezi kutumia upatikanaji wa dola moja kama kigezo cha umasikini bali uwezo wake wa kununua. Hao masikini wa Tanzania wengi wao wana mashamba na nyumba zao kitu ambacho wakenya masikini hawana.
 
Stupid mind!!! Uwezi kuwa mpumbavu kiwango hiki. Such deliberate ignorance!!!., Tanzania moja, your revenue is clear, can't even finance national budget, which has a bulk of recurrent expenditures, and other basic needs like health, education etc., haya mengine no obvious porojo ya CCM., did you check your debt to GDP?., and the GDP is around $55B., do the maths wacha pang'ang'a za abunuasi., huu ujinga wa Watanzania una kera wakati wote. Hamuwezi bebwa ujinga miaka hii yote, kwanza hii karne!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kina nani hao? Hizi ni takwimu kutoka UNDP, Global Multidimensional Poverty Index. Hayo yote unayoyasema yamezingatiwa, hadi na aina na hali ya nyumba wanazoishi, vyoo wanavovitumia, ubora wa lishe n.k., n.k. Ila sio lazima uzikubali takwimu hizi, kuna option nyingine ambayo haihitaji data, k.m. gumzo kwenye vipindi vya radio, umbea mitandaoni n.k. chaguo ni lako.
 
I can easily draw a vertical asymptote to show the limiting value of your irrational thinking.
 

Tatizo sisi waafrika hatuhoji maswali ya maana, tunapelekeshwa na kukubali tuu, kwa kuwa ni UN.

Kutumia kigezo cha dola moja/mbili kama kipimo cha umasikini, si sawa. Kipimo halisi ni uwezo wa hiyo dola kuweza kutumika (PPP) kati ya nchi na nchi.

Hapa US kula vyakula vyenye Afya (Organic) ni gharama sana, watu wengi hawamudu. Maziwa ya kawaida (feki), kwa mfano; Walmart wanauza gallon moja (3.7liters) kwa $1.8 wakati organic milk (real) $6.8. Sasa mtanzania wa kawaida anakula kila kitu organic, kuanzia nyanya, machungwa, mchele n.k. Sasa kama ukichukua kila kitu anachokula mbongo "masikini" na kulinganisha bei yake US utaona watanzania wengi siyo masikini kiivyo, kwasababu wanamudu mahitaji ya kula chakula cha hadhi ya juu (organic).

Sasa badala ya watu wetu kuhoji hivi vipimo vya umasikini kulingana na nchi husika, tunakubali kukokotwa kama mkokoteni, kisa UN kasema.

Umeongelea hali ya nyumba wanazoishi n.k lakini tunarudi pale pale, hizo nyumba zina madeni mpaka utosini. Watu wanaishi paycheck to paycheck, tatizo dogo likitokea mtu anakuwa homeless, sasa utasema hiyo jamii ni ya tajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…