Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikuelewa ww m254 niliona nikuwahi kabla ya kuja na boko ranking lako la HIV maana nilivyoona ume mention tu HIV , by the way credibility ya source ya habari yangu ni 100% how come nije ku false issue hapa ? nilileta ile punde tu niliposikia kutoka ktk redio more so, nikasema nilete mdahalo humu... so kuhusu credibility Ondoa shaka baadae nita wa consult dutch welle ktk fb account yao wai post ile makala then nitaileta hama na nita ku tag bro don't worry
nilikuelewa ww m254 niliona nikuwahi kabla ya kuja na boko ranking lako la HIV maana nilivyoona ume mention tu HIV , by the way credibility ya source ya habari yangu ni 100% how come nije ku false issue hapa ? nilileta ile punde tu niliposikia kutoka ktk redio more so, nikasema nilete mdahalo humu... so kuhusu credibility Ondoa shaka baadae nita wa consult dutch welle ktk fb account yao wai post ile makala then nitaileta hama na nita ku tag bro don't worry
Oral messages has never been used for future reference, if you can't bring me written report with figures please, just remain silent
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja aende kibera,akirudi hapa lzm atakuja na source yake ya kupika kibera Tanzania iko no 1!
Ngoja aende kibera,akirudi hapa lzm atakuja na source yake ya kupika kibera Tanzania iko no 1!
he has gone to bed ! wakenya wana furahisha sanaa yaani hawaamini ktk uwezo wao yaani wana amini SGR ya Tz inajengwa kwa mkopo ss wameng'ang'ania weeeeee kila wakiambiwa TAX PAYER ndio tumegharamia SGR hawataki... ingekuwa ni ya mkopo iyo SGR mngeona speed yake ya ujenzi ni kama ile ya Kenya SGR phase 2 inajengwa kwa kasi sanaa which is good
Your government don't have money to undertake such projects, the roads and bridges are being built by grantsConstructed at the junction of the busy Mandela Expressway and Julius Nyerere Road in the commercial capital, the flyover — funded by the government of Japan through the Japan International Co-operation Agency (Jica) — is expected to be officially inaugurated by President John Magufuli in October, according to government spokesperson Hassan Abbas.
Tazara flyover done, now in use
Tanzania has many projects that are not blown by our big horn, the Nyerere and Kikwete bridges were funded by our money (NSSF), Rufiji Dam and "mtue mama ndoo kichwan" projects are also funded by the GOT.Please there are no children in this forum so please spare us your liesTanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart
Aaagh, stop this things of we do this with our own money, we all know your SGR is funded by African Development Bank and government of Turkey.
upo sahihi kabisa kiongozi...ukienda iringa mimi ni wa huko Matajiri watoto ni wengi sana.Kenya mpaka uwe na hali ya ahueni aisee lazima umepigika mnooo, Kenya kaukuta vijana ni matajiri au viongozi wa ngazi za juu serikalini au kwenye organizations ni ngumu sana, Tanzania ukienda maeneo ya Iringa kule matajiri wengi sana ni vijana wadogo from early 20s wamepata pesa kwenye miti, avocado's etc
Ukienda kanda ya ziwa vijana wengi sana ni matajiri wamepata pesa kwenye madini, uvuvi, wtc
Ukienda kaskazini utakutana na vijana wengi wanamiliki expedition companies na tour operators wametajirika ni vijana wadogo yaani kila eneo Tanzania kuna fursa ya mtu yeyote kufamikiwa tofauti na monopolised Kenya, waliofanikiwa ndio wataendelea kufanikiwa na maskini wanazidi kua fukara.
Tanzania tupo vizur Am proud to be Tanzanian!! Kenya watu wanaishi kwenye Slums what A painful Truth to kenyans daah yaaan ni Umaskini wa kutupa...!! Keki ya taifa wanafaidi wachache Unlike TanzaniansTatizo mnatumia vipimo tofauti kupima kitu kimoja.
Dola moja kwa Tanzania ina uwezo wa kununua vitu vingi kuliko Kenya, kwa hiyo huwezi kutumia upatikanaji wa dola moja kama kigezo cha umasikini bali uwezo wake wa kununua. Hao masikini wa Tanzania wengi wao wana mashamba na nyumba zao kitu ambacho wakenya masikini hawana.
Issue ni kwamba huwezi kumfananisha maskini wa Kenya na wa Tanzania..Wakenya ana hali mbaya sanaPoverty is in love with Tz from every source. View attachment 1041185
Sent using Jamii Forums mobile app
population ratio ikoje ya nchi hizi mbili? isije ikawa kwa mfano kuna watu 200 watu 50 wamekufa na kuna watu 400 watu 70 wamekufa halafu tukakubali 70 ni wengi zaidi kuliko 50 bila kuangalia vingezo vya uwingi huo.Just say you haven't read the article.This is what I wanted you to read.View attachment 1040968
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa haaa haaaJust say you haven't read the article.This is what I wanted you to read.View attachment 1040968
Sent using Jamii Forums mobile app
Who are you to dispute a recognized magazine? So between a written article by a recognized institution and an oral reported message without any numbers to support the claim which one do you believe in?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tupo vizur Am proud to be Tanzanian!! Kenya watu wanaishi kwenye Slums what A painful Truth to kenyans daah yaaan ni Umaskini wa kutupa...!! Keki ya taifa wanafaidi wachache Unlike Tanzanians
Let's take a tour of the world's biggest slums:
*Khayelitsha in Cape Town (South Africa): 400,000.
*Kibera in Nairobi (Kenya): 700,000.
*Dharavi in Mumbai (India): 1,000,000.
*Neza (Mexico): 1,200,000.
*Orangi Town in Karachi (Pakistan): 2,400,000.
Issue ni kwamba huwezi kumfananisha maskini wa Kenya na wa Tanzania..Wakenya ana hali mbaya sana
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development ReportsAhaaa haaa haaa
Sometimes if it renders bad news of yours, you call it a news from "fake tabloid".
hahaha mathematical 1 = 0.57What do you understand by extreme poverty? Kenya's poverty is measured below 1 dollar while Tz poverty is measured below 0.57 dollars.View attachment 1041330
Sent using Jamii Forums mobile app