Kenya ndio nchi masikini katika ukanda wa EAC

Kenya ndio nchi masikini katika ukanda wa EAC

Did you understand what I said?

Sent using Jamii Forums mobile app
nilikuelewa ww m254 niliona nikuwahi kabla ya kuja na boko ranking lako la HIV maana nilivyoona ume mention tu HIV , by the way credibility ya source ya habari yangu ni 100% how come nije ku false issue hapa ? nilileta ile punde tu niliposikia kutoka ktk redio more so, nikasema nilete mdahalo humu... so kuhusu credibility Ondoa shaka baadae nita wa consult dutch welle ktk fb account yao wai post ile makala then nitaileta hama na nita ku tag bro don't worry
 
Oral messages has never been used for future reference, if you can't bring me written report with figures please, just remain silent

No i won't remain silent ! have ever been in court ? oral evidence matters ! just wait I forward text to DW on the fb page to post that article thereafter I will submit it here
 
Ngoja aende kibera,akirudi hapa lzm atakuja na source yake ya kupika kibera Tanzania iko no 1!

he has gone to bed ! wakenya wana furahisha sanaa yaani hawaamini ktk uwezo wao yaani wana amini SGR ya Tz inajengwa kwa mkopo ss wameng'ang'ania weeeeee kila wakiambiwa TAX PAYER ndio tumegharamia SGR hawataki... ingekuwa ni ya mkopo iyo SGR mngeona speed yake ya ujenzi ni kama ile ya Kenya SGR phase 2 inajengwa kwa kasi sanaa which is good
 
Huu mwaka research reports from several credible bodies zitatoka tena, will see mtakua wapi., kila mwaka mnashuka kwa kasi ilhali eti inasemekana uchumi wenyu unakua kwa average ya 6-7%., lakini kwa uhalusia, mwananchi is not feeling it, no trickle down effect. Kulikoni?
he has gone to bed ! wakenya wana furahisha sanaa yaani hawaamini ktk uwezo wao yaani wana amini SGR ya Tz inajengwa kwa mkopo ss wameng'ang'ania weeeeee kila wakiambiwa TAX PAYER ndio tumegharamia SGR hawataki... ingekuwa ni ya mkopo iyo SGR mngeona speed yake ya ujenzi ni kama ile ya Kenya SGR phase 2 inajengwa kwa kasi sanaa which is good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your government don't have money to undertake such projects, the roads and bridges are being built by grantsConstructed at the junction of the busy Mandela Expressway and Julius Nyerere Road in the commercial capital, the flyover — funded by the government of Japan through the Japan International Co-operation Agency (Jica) — is expected to be officially inaugurated by President John Magufuli in October, according to government spokesperson Hassan Abbas.

Tazara flyover done, now in use

Please there are no children in this forum so please spare us your liesTanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart
Tanzania has many projects that are not blown by our big horn, the Nyerere and Kikwete bridges were funded by our money (NSSF), Rufiji Dam and "mtue mama ndoo kichwan" projects are also funded by the GOT.

Aaagh, stop this things of we do this with our own money, we all know your SGR is funded by African Development Bank and government of Turkey.

You are talking about the second phase my friend (Morogoro to Dodoma), the one I mentioned was from Dar to Morogoro, completely funded by the GOT.
 
Kenya mpaka uwe na hali ya ahueni aisee lazima umepigika mnooo, Kenya kaukuta vijana ni matajiri au viongozi wa ngazi za juu serikalini au kwenye organizations ni ngumu sana, Tanzania ukienda maeneo ya Iringa kule matajiri wengi sana ni vijana wadogo from early 20s wamepata pesa kwenye miti, avocado's etc

Ukienda kanda ya ziwa vijana wengi sana ni matajiri wamepata pesa kwenye madini, uvuvi, wtc

Ukienda kaskazini utakutana na vijana wengi wanamiliki expedition companies na tour operators wametajirika ni vijana wadogo yaani kila eneo Tanzania kuna fursa ya mtu yeyote kufamikiwa tofauti na monopolised Kenya, waliofanikiwa ndio wataendelea kufanikiwa na maskini wanazidi kua fukara.
upo sahihi kabisa kiongozi...ukienda iringa mimi ni wa huko Matajiri watoto ni wengi sana.
 
Tatizo mnatumia vipimo tofauti kupima kitu kimoja.

Dola moja kwa Tanzania ina uwezo wa kununua vitu vingi kuliko Kenya, kwa hiyo huwezi kutumia upatikanaji wa dola moja kama kigezo cha umasikini bali uwezo wake wa kununua. Hao masikini wa Tanzania wengi wao wana mashamba na nyumba zao kitu ambacho wakenya masikini hawana.
Tanzania tupo vizur Am proud to be Tanzanian!! Kenya watu wanaishi kwenye Slums what A painful Truth to kenyans daah yaaan ni Umaskini wa kutupa...!! Keki ya taifa wanafaidi wachache Unlike Tanzanians

Let's take a tour of the world's biggest slums:
*Khayelitsha in Cape Town (South Africa): 400,000.
*Kibera in Nairobi (Kenya): 700,000.
*Dharavi in Mumbai (India): 1,000,000.
*Neza (Mexico): 1,200,000.
*Orangi Town in Karachi (Pakistan): 2,400,000.
 
Tanzania ya leo ni donor kantri! Jiwe alishasema
 
Who are you to dispute a recognized magazine? So between a written article by a recognized institution and an oral reported message without any numbers to support the claim which one do you believe in?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
Sometimes if it renders bad news of yours, you call it a news from "fake tabloid".
 
Is Kibera 700,000? Bring me the statistics you used.
Tanzania tupo vizur Am proud to be Tanzanian!! Kenya watu wanaishi kwenye Slums what A painful Truth to kenyans daah yaaan ni Umaskini wa kutupa...!! Keki ya taifa wanafaidi wachache Unlike Tanzanians

Let's take a tour of the world's biggest slums:
*Khayelitsha in Cape Town (South Africa): 400,000.
*Kibera in Nairobi (Kenya): 700,000.
*Dharavi in Mumbai (India): 1,000,000.
*Neza (Mexico): 1,200,000.
*Orangi Town in Karachi (Pakistan): 2,400,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What do you understand by extreme poverty? Kenya's poverty is measured below 1 dollar while Tz poverty is measured below 0.57 dollars.
Issue ni kwamba huwezi kumfananisha maskini wa Kenya na wa Tanzania..Wakenya ana hali mbaya sana
IMG_20190308_181921_029.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom