Kenya ndio nchi ya kwanza Afrika ku-host U-20 world Athletics Championships

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Michezo hii ya riadha ya dunia ya vijana wenye umri chini ya 20 itafanyika hapa Nairobi wiki ijayo. Kenya ndio nchi ya kwanza kuhost mashindano haya Afrika. Kenya pia ilikuwa nchi ya kwanza kuhost under 18 world athletics championships miaka michache iliyopita.

Hapa chini team kutoka Poland imewasili Nairobi kushiriki michezo hii ya riadha.

Team ya France hapa chini ikiwasili Nairobi
 
Medali ambazo washindi watapata zitafanana hivi
Screenshot_20210815-101827.jpg
 
Watanzania huwa mnasema kwamba mnakula vizuri hadi mnashiba na kwamba Wakenya tunashinda njaa ila likija kwenye suala la spoti hususan riadha huwa mnaambulia patupu na sisi tunashinda medali karibu zote hapa Afrika.
 
Thats because mnashinda njaa
 
Thats because mnashinda njaa

Hehehe... Mtu kama Kipchoge hela alizo nazo mpaka hapo anaweza akalisha ukoo wako kwa miaka kadhaa, yaani muwe mnaamka na kula na kuvimbiwa ubwabwa na mapochopocho na msiwaze kazi wala chochote.
Lakini Wabongo mivivu ya kutupwa, sijui nani kawaroga kwa kweli...hehehehe yaani
 
Mh sa kama sisi wavivu mbona nyinyi ndiyo hua mnaishiwa chakula?
 
Kila mtu huishiwa chakula kwake, uwe tajiri au maskini, ila sasa kama unazo hela zinakupa jeuri ya kuagiza unakotaka muda unaotaka siku unayotaka, na ndio maana tunanunua hadi kutoka Mexico na mbali maana hela tunazo ambazo tumezipata kwa kujituma licha ya nchi yetu kuwa kame na isiyokua na madini.
Kawaida hupewi vyote, unaweza ukapewa raslimali nyingi ukanyimwa akili au upewe akili unyimwe ardhi yenye rotuba na raslimali zingine, ndio maana tunawatumia nyie mliopewa mapori yenye rotuba sema mlivyo wazembe mumeshindwa kukuza mahindi ya kutosha ukanda wote huu, hivyo tunalazimika kununua kutoka mbali.
Labda kipindi hiki cha mama Suluhu mtaamka, angalau wakulima wenu wanufaike na kuondokana na umaskini.
 
Muongo
 
Michezo hii ya riadha ya dunia ya vijana wenye umri chini ya 20 itafanyika hapa Nairobi wiki ijayo. Kenya ndio nchi ya kwanza kuhost mashindano haya Afrika. Kenya pia ilikuwa nchi ya kwanza kuhost under 18 world athletics championships miaka michache iliyopita.

Hapa chini team kutoka Poland imewasili Nairobi kushiriki michezo hii ya riadha.

Team ya France hapa chini ikiwasili Nairobi

Tena tunapanga kuvunja rekodi zaidi. We will officially be bidding to host IAAF World championship 2025!!! This is one of the biggest sporting events involving nations in the world!

Shida ni hizi nchi za magharibi. Some of these western countries are completely racist and I hate them because of this. Both during the under 18 world championships and this under 20 world championships, alot of western countries refused to send their athletes to Kenya. In 2017 under 18 championships, they refused to come citing terrorism as an excuse. This time they are citing corona as the excuse. Even if we get the rights to host world athletics championships in 2025. These racist countries will not attend. They will find an excuse not to attend. Just a few western countries have attended i.e Canada, France, Sweden, Portugal and a few others. Big countries that have not attended include UK, US, Australia. Even China did not attend this time. I hope we win the hosting rights for 2025 WAC. Whether these assh*les want to attend or not, it is their own problem.
 
Tena tunapanga kuvunja rekodi zaidi. We will officially be bidding to host IAAF World championship 2025!!! This is one of the biggest sporting events involving nations in the world!

Wewe usimuamshe alie lala ,tukija kuamkaa mutakimbia refer mziki wa Tz uko juu zaidi yenu mpk munatuiga .Sasa tunajipanga kuja huko kwenye michezo mutakomaaa.
 
Back
Top Bottom