Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

yah ni kweli kenya imeishinda Urusi hadi China kwa matumizi ya kiingereza , hongereni sana wakenya kwa Ubwege huo, bigup

Hilo kweli, wale hawatuzidi.
 

... kwamba kujadili mada kwa Kiswahili unakuwa umeshuka Level,

Ndio maana nimesema Ukosefu wa chakula Kenya umepelekea Wakenya walio wengi kukosa lishe bora kipindi cha siku 1000 za kwaza katika maisha yao, Hiki ni kipindi muhimu sana kwenye ukuaji na maendeleo ya Ubongo, hii ndio sababu wakenya wengi hamna utambuzi mzuri na hamuwezi kung’amua mambo ipasavyo,
Hatimae kunakuwa na mada za Kipumbavu kama hizi,
 
ah unajichanganya mkuu, kuelewa lugha ya kiingereza si kwamba ni mjuzi wa mambo la hasha, lugha ni utashi wa mtu, sisi watanzania tunakipenda kiawahili mno hata kama tunakijua hicho kiingereza vizuri, utashi wetu tumeumbiwa kiswahili, hatutumii lugha za watu kiholela tu ilihali lugha yetu tunayo, tunajiamini na kilicho chetu KISWAHILI na ulimwengu walitambua hilo,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika isipokuwa kenya, amen
 
Wakenya hamuwezi kuwapita kamwe wa Zimbambwe kwa kiingereza kizuri aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hunizidi mimi kwa aibu nayoisikia nikimwona mwafrika mwenzangu bado anawaabudu hao wakoloni,na ndio maana hadi leo asilimia kubwa ya watu wa magharibi wanatuona sisi ni kama manyani tu
Kujidharau ni asili ya kitanzania hyo, hakuna watu wanaopenda kujishusha hadhi na kujidharau hapa afrika km watanzania...

Hata mitandaoni utawakuta wao tu wanaendelea kujidharau kisa ngozi...yami mumeshakata tamaa kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kingereza ni ukoloni basi mbna tanzania katika mfuno wao wa elimu aka "part two" huaga mnatumia kingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno (njaa) haliwezi kubadilisha ukwel..
Eti tunajisifu na wakati sio sisi tulioandika hyo taarifa...

Kwanza unajisifia kiswahili wakati mababu zako wakifufuka ukiwaongelesha watashangaa...
Kiswahili sio lugha yako ndugu, unajisifia kitu kisichokua chako..komaa na kisukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nyerere kawadanganya vibaya sana walai[emoji1787][emoji1787]
Aliwashawishi mukomae na kiswahili ndio mbaki kuwa mabumbu wazi ndio yeye apate kuwa juu zaidi ..
Wakoloni walikua karibu naye kisa alikua anajua kujieleza na wakaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kila mtu ana lugha yake bana, wacha kudanganya watu hapa..
Mfano:kagera, ukifika utacheka aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe ukiandika kisha usome ulichokiandika mara kumi utaelewa jinsi gani huwa inabidi tushuke hadi kwenye level yako ilmradi tuendane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…