Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wale hujifunza kingereza kwa kubishana na Wakenya huku JF, ukiangalia mada zao za kitambo kuna tofauti na walvyo leo, kidogo wamejiboresha. Kuna kipindi tulikua tunajadili hoja humu kwa kingereza, ilikua inawatesa sana wenzetu mpaka ikabidi tuwaonee huruma na kushuka kwenye level yao.
ah unajichanganya mkuu, kuelewa lugha ya kiingereza si kwamba ni mjuzi wa mambo la hasha, lugha ni utashi wa mtu, sisi watanzania tunakipenda kiawahili mno hata kama tunakijua hicho kiingereza vizuri, utashi wetu tumeumbiwa kiswahili, hatutumii lugha za watu kiholela tu ilihali lugha yetu tunayo, tunajiamini na kilicho chetu KISWAHILI na ulimwengu walitambua hilo,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika isipokuwa kenya, amenKuna wale hujifunza kingereza kwa kubishana na Wakenya huku JF, ukiangalia mada zao za kitambo kuna tofauti na walvyo leo, kidogo wamejiboresha. Kuna kipindi tulikua tunajadili hoja humu kwa kingereza, ilikua inawatesa sana wenzetu mpaka ikabidi tuwaonee huruma na kushuka kwenye level yao.
Hilo kweli, wale hawatuzidi.
Wakenya hamuwezi kuwapita kamwe wa Zimbambwe kwa kiingereza kizuri aiseeWazee wa "sizitaki mbichi" mkishindwa na Kiingereza kwa mlivyo wazembe mnaanza kukitukana eti ni cha mkoloni, lakini wajanja wa lugha tumejua umuhimu wake na tunakitumia pakubwa katika kukuza uchumi wa nchi na kujiendeleza kila mmoja kwenye nafasi yake.
Mnaopenda kukitukana, unakuta huko kwenu wenye hela wamewapeleka watoto wao wakapate elimu kwenye shule za kimataifa, huko wanafunzwa na kuongea Kiingereza, maskini ndio wanasotea kwenye shule za saint kayumba wakiambiwa wakomae na Kiswahili eti ndio uzalendo na wasijifunze lugha yoyote nyingine, ila ikija kwenye soko la ajira, tangazo linaandikwa kwamba moja wapo wa vigezo ni lazima uwe na uwezo wa "kuzungumza na kuandika kwa Kiingereza". Watu wa ze ze ze wanaishia kuambulia patupu.
Rais wetu leo hii anashusha deals kali kali za kimataifa, hii imetokana na umahiri wake kwenye kujieleza kwa hii lugha, inampa kujiamini.
Leo hii hata Wachina, Warusi wote wanahangaika kujifunza Kiingereza.
Binafsi napenda sana Kiswahili na huwa nipo kwenye mstari wa mbele kwenye kukipigia debe, ila siwezi nikaganda kwenye lugha moja kama zezeta.
======
Kenya rated second best in English fluency test
Kenyans are the second most fluent English speakers in Africa, according to a ranking by global private language tutor, Education First (EF), a ranking which primes the country to attract foreign investment.
The English Proficiency Index (EPI) by the Switzerland-based company ranks Kenya behind South Africa even though
Nairobi still emerged as the highest placed African city. Globally, Kenya was placed at position 18 while South Africa came in sixth, followed by Nigeria (29) and Ethiopia at 63. The Netherlands is ranked top in competency level.
English, considered the global lingua franca of business, has been adopted in the world as a bridging language to lower transaction costs across borders.
The EF report links English proficiency to innovation, public investment in research and development, number of researchers per a population of one million as well as technicians per capita. According to the firm, countries with higher ranks in English language skills experience higher labour productivity and stand a higher chance of economic growth compared to others, as language skills help economies to remain competitive by removing the communication barrier.
“Although there is evidence that the pace of globalisation is slowing, international trade is a significant portion of the world economy, with exports making up around 20 percent of the world’s economic output. We consistently find a correlation between ease of doing business and a country’s English proficiency, as well as speaking English and a range of logistics-related indicators,” the report says.
The growth projected from efficiency in the language has also been tied to the services sector where communication is essential and also holds the larger share of economic activities.
“iPhones can be shipped anywhere, accountants cannot,” the report notes. “Language use is tied to a country’s service exports as well as the value added per worker in services. As the complexity and sophistication of economic exchange increases, so does the demand for linguistic competencies. A growing number of MBA programmes demand fluency in English and a second, sometimes third, language”.
The mastery of English has also been used as one measure of the level of skilled workforce in a country, with EF saying it could increase employability.
Source: Business Daily
Kujidharau ni asili ya kitanzania hyo, hakuna watu wanaopenda kujishusha hadhi na kujidharau hapa afrika km watanzania...Mkuu hunizidi mimi kwa aibu nayoisikia nikimwona mwafrika mwenzangu bado anawaabudu hao wakoloni,na ndio maana hadi leo asilimia kubwa ya watu wa magharibi wanatuona sisi ni kama manyani tu
Kama kingereza ni ukoloni basi mbna tanzania katika mfuno wao wa elimu aka "part two" huaga mnatumia kingereza... kwamba kujadili mada kwa Kiswahili unakuwa umeshuka Level,
Ndio maana nimesema Ukosefu wa chakula Kenya umepelekea Wakenya walio wengi kukosa lishe bora kipindi cha siku 1000 za kwaza katika maisha yao, Hiki ni kipindi muhimu sana kwenye ukuaji na maendeleo ya Ubongo, hii ndio sababu wakenya wengi hamna utambuzi mzuri na hamuwezi kung’amua mambo ipasavyo,
Hatimae kunakuwa na mada za Kipumbavu kama hizi,
Wakenya kiingereza wanakijua, ila kichwani mwao ni chenga sana.
Kha!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na wewe usisifie degree za wakoloni, jivunie uganga wa kienyeji!
Neno (njaa) haliwezi kubadilisha ukwel..Kujua si jambo baya, upumbavu ni kuja na kujisifu kujua Lugha ya Mkoloni dunia ya leo ambapo inaaminika Vijana wanahoji mambo.
Hao wazungu wamejaa kwenye mitaa yetu huku tz na tunaelewana vema kwa Hicho Kingereza bila shida yoyote, inashangaza kuona karne hii Mtu mweusi anajisifu kuishi Kama mzungu ikiwa yeye ni Mwafrika,
Nahisi njaa imeharibu sana Ubongo wa Wakenya, sababu ni lishe duni wakati wa utoto, Inasemekana lishe bora wakati wa siku 1000 za kwanza za maisha ya mtoto huwa ina impact kwenye ukuaji wa ubongo wa mtoto, Huko kenya kuna njaa sana ndio maana tunakuwa na nyuzi za kipumbavu kama hizi.
Kati ya hzo lugha, lugha yako ni gani[emoji1787][emoji1787]Hakuna mkenya anayenizidi mimi kiingereza
Hakuna mkenya anayenikaribia kwa kujua kiswahili
English, considered the global lingua franca of business, has been adopted in the world as a bridging language to lower transaction costs across borders.MK254, Wakenya hata mkijisifia kwamba nyie ni mabibi wapendwa kabisa wa Waingereza sitashangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nyerere kawadanganya vibaya sana walai[emoji1787][emoji1787]Mkuu, elimu na vyeti vinavyotolewa si vya wakoloni, ni kitu cha kidunia kama dini zilivyo, kwa bahati mbaya au nzuri hao wakoloni iliwabidi wavilete ili angalau waelewane na hao watawaliwa kwa wakati ule. Usije ukaacha kusoma kwa kuogopa mambo ya wakoloni, utakwama
Tanzania kila mtu ana lugha yake bana, wacha kudanganya watu hapa..ah unajichanganya mkuu, kuelewa lugha ya kiingereza si kwamba ni mjuzi wa mambo la hasha, lugha ni utashi wa mtu, sisi watanzania tunakipenda kiawahili mno hata kama tunakijua hicho kiingereza vizuri, utashi wetu tumeumbiwa kiswahili, hatutumii lugha za watu kiholela tu ilihali lugha yetu tunayo, tunajiamini na kilicho chetu KISWAHILI na ulimwengu walitambua hilo,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika isipokuwa kenya, amen
Mwananchi wa kawaida tanzania level zake ni kibera akija anga hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu anajisifia kujua kiingereza wakati anaishi kama nguruwe hapo Kibera na Mathare[emoji23]
Halafu Mchina asiyetukuza Kiingereza anampa msaada wa chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
... kwamba kujadili mada kwa Kiswahili unakuwa umeshuka Level,
Ndio maana nimesema Ukosefu wa chakula Kenya umepelekea Wakenya walio wengi kukosa lishe bora kipindi cha siku 1000 za kwaza katika maisha yao, Hiki ni kipindi muhimu sana kwenye ukuaji na maendeleo ya Ubongo, hii ndio sababu wakenya wengi hamna utambuzi mzuri na hamuwezi kung’amua mambo ipasavyo,
Hatimae kunakuwa na mada za Kipumbavu kama hizi,