Eti porojo na wakati unaruka ruka tuPorojo nyiiingi sema kinakupiga chenga
Mbna unakishobokea kiswahili basi..
Komaa na kisukuma basi km sio mtu wa shobo basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Santa sana, huaga mkibanwa mnatukana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kwa hiyo kiswahili ni cha wakenya au ZAMBIA??
sikia wewe peleka uhinga wako kwingine sio kwangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiswahili ni lugha ya Taifa boya wewe na sio kisukuma,shobo kinanda nyieee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kutukana jomba, lkn msukuma atabaki kuwa msukuma tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo yaani hamna tofauti na waganda,wakongo
Ntakupa PDF ya lugha yetu ujifunzeSanta sana, huaga mkibanwa mnatukana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Rudi shule ukasome historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uka change gear vipi hapa, bado huwezi zifuta lugha asilia za watanzaniaKwa hiyo kisukuma ni lugha yetu ya Taifa mbumbumbu wewe??
Hihihi
Hata uka change gear vipi hapa, bado huwezi zifuta lugha asilia za watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hizo zipo tena mimi nazijua zaidi ya nne kwa kuongea wewe mkirinyaga,lakini haijalishi ,bado kiswahili ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi Tz na Ea kwa ujumla,na ndiyo lugha yangu pendwa kabisa,na yote kwa yote ndiyo lugha iliyopitishwa kuwa ya Taifa langu Teule la Tanzania.
Upoo??
Naskia tanzania kuongea kilugha kwenu ni ushamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana walai, yani unaanzaje anzaje kutupa na kudharau cha kwako jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa ndio huwa wanadhihirisha wazi kwamba ujamaa ulitafuna hadi akili zao. Kuna siku nilisikia wakimkashifu mwenzao eti kwasababu alikuwa anaongea 'kilugha'(lugha za asili) mjini. Sasa sijui mtumwa ni nani kati ya anayedharau mila na lugha zake za jadi na aliyejiboresha zaidi kwa kujifunza lugha nyingine ya ziada ya kimataifa kama kiingereza.Naskia tanzania kuongea kilugha kwenu ni ushamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana walai, yani unaanzaje anzaje kutupa na kudharau cha kwako jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu una shobo na kiswahili..Sisi sio kama nyie washobokeaji wa lugha za watu,kiswahili tu chatosha,hizo lugha nyingine tunazijua ni kwa ajili ya mawasiliano tu na sio tuanze kumkosoa mtu eti pale kakosea,kaongea broken kama mlivyo nyie mapuuzi,tutamkosoa mtz atakeyeongea kiswahili kibovu tu ila sio hivyo vilugha vyenu mnavyovishobokea
Mtu atajifunzaje lugha bila ya kukosolewa, wazungu tu hkosoana na hakuna anayemuita mwenzake mtumwa...eti kisa muingereza kamkosoa mtaliano basi hapo kunazuka gumzo na kejeli, neverSisi sio kama nyie washobokeaji wa lugha za watu,kiswahili tu chatosha,hizo lugha nyingine tunazijua ni kwa ajili ya mawasiliano tu na sio tuanze kumkosoa mtu eti pale kakosea,kaongea broken kama mlivyo nyie mapuuzi,tutamkosoa mtz atakeyeongea kiswahili kibovu tu ila sio hivyo vilugha vyenu mnavyovishobokea
Tena ukizidi nakwambia wanaweza hata kkuondokeaHapo sasa ndio huwa wanadhihirisha wazi kwamba ujamaa ulitafuna hadi akili zao. Kuna siku nilisikia wakimkashifu mwenzao eti kwasababu alikuwa anaongea 'kilugha'(lugha za asili) mjini. Sasa sijui mtumwa ni nani kati ya anayedharau mila na lugha zake za jadi na aliyejiboresha zaidi kwa kujifunza lugha nyingine ya ziada ya kimataifa kama kiingereza.
Hapo sasa ndio huwa wanadhihirisha wazi kwamba ujamaa ulitafuna hadi akili zao. Kuna siku nilisikia wakimkashifu mwenzao eti kwasababu alikuwa anaongea 'kilugha'(lugha za asili) mjini. Sasa sijui mtumwa ni nani kati ya anayedharau mila na lugha zake za jadi na aliyejiboresha zaidi kwa kujifunza lugha nyingine ya ziada ya kimataifa kama kiingereza.