Kenya ni habari nyingine, IGP mtarajiwa ahojiwa na kamati ya Bunge

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Rais Uhuru Kenyatta amemteua HILLARY MUTYAMBAI kuwa IGP mpya wa Kenya, lakini kwa Mujibu wa katiba ya Kenya ni lazima mteule huyu ahojiwe na kukaangwa mbele ya kamati ya bunge ili kuhakikisha kwamba ni kweli anaweza kusimamia usalama wa Wakenya kwa haki bila upendeleo, ni lazima bunge liidhinishe uteuzi wake ndipo aapishwe.

Hakika Jamhuri ya watu wa Kenya haistahili kuwemo kwenye jumuiya ya kichovu ya AfriKa Mashariki.

Mungu ibariki Kenya.
 

Hamia kabisa Kenya. Tena Mombassa pale.
 
Wako mbali sana na pia unaomba,unafanyiwa usaili huku vyombo vya habari vikiwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Kwa sifa ulizomwaga hapa ,bila shaka ulishatafunwa Mombasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…