Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
mm nimewajua mawaziri woteee..baki na uzalendo wko tuNashangaa niko obsessed na citizen kila saa moja usiku kind of creepy!Uzalendo unanitoka sijui nifanyeje asee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm nimewajua mawaziri woteee..baki na uzalendo wko tuNashangaa niko obsessed na citizen kila saa moja usiku kind of creepy!Uzalendo unanitoka sijui nifanyeje asee!
Kenya kwa sasa inazidi kutuacha kwa kila kitu.Rais Uhuru Kenyatta amemteua HILLARY MUTYAMBAI kuwa IGP mpya wa Kenya , lakini kwa Mujibu wa katiba ya Kenya ni lazima mteule huyu ahojiwe na kukaangwa mbele ya kamati ya bunge ili kuhakikisha kwamba ni kweli anaweza kusimamia usalama wa wakenya kwa haki bila upendeleo , ni lazima bunge liidhinishe uteuzi wake ndipo aapishwe.
Hakika Jamhuri ya watu wa Kenya haistahili kuwemo kwenye jumuiya ya kichovu ya Africa Mashariki.
Mungu ibariki Kenya
Umenena ndugu, yaani kama Tanzania kwa sasa imekuwa kituko kwa kila jambo; Udikteta, udhulumaji, utekaji, mauwaji ya raia, uminywaji wa demokrasia, kila kitu kibaya.Rais Uhuru Kenyatta amemteua HILLARY MUTYAMBAI kuwa IGP mpya wa Kenya , lakini kwa Mujibu wa katiba ya Kenya ni lazima mteule huyu ahojiwe na kukaangwa mbele ya kamati ya bunge ili kuhakikisha kwamba ni kweli anaweza kusimamia usalama wa wakenya kwa haki bila upendeleo , ni lazima bunge liidhinishe uteuzi wake ndipo aapishwe.
Hakika Jamhuri ya watu wa Kenya haistahili kuwemo kwenye jumuiya ya kichovu ya Africa Mashariki.
Mungu ibariki Kenya
Kenya kwa sasa inazidi kutuacha kwa kila kitu.
Kabila gani huyo mteuleRais Uhuru Kenyatta amemteua HILLARY MUTYAMBAI kuwa IGP mpya wa Kenya , lakini kwa Mujibu wa katiba ya Kenya ni lazima mteule huyu ahojiwe na kukaangwa mbele ya kamati ya bunge ili kuhakikisha kwamba ni kweli anaweza kusimamia usalama wa wakenya kwa haki bila upendeleo , ni lazima bunge liidhinishe uteuzi wake ndipo aapishwe.
Hakika Jamhuri ya watu wa Kenya haistahili kuwemo kwenye jumuiya ya kichovu ya Africa Mashariki.
Mungu ibariki Kenya
Hapa kwetu hata wakiweka hiko kipengele bado Ma-ccm yatabebana tu! Hutaki tunapiga aunt zenu wote!Rais Uhuru Kenyatta amemteua HILLARY MUTYAMBAI kuwa IGP mpya wa Kenya , lakini kwa Mujibu wa katiba ya Kenya ni lazima mteule huyu ahojiwe na kukaangwa mbele ya kamati ya bunge ili kuhakikisha kwamba ni kweli anaweza kusimamia usalama wa wakenya kwa haki bila upendeleo , ni lazima bunge liidhinishe uteuzi wake ndipo aapishwe.
Hakika Jamhuri ya watu wa Kenya haistahili kuwemo kwenye jumuiya ya kichovu ya Africa Mashariki.
Mungu ibariki Kenya
Nashangaa labda makiki ya JIWE na timu yake yamenipotezea taste na taarifa za habari ya nchi yangu!mm nimewajua mawaziri woteee..baki na uzalendo wko tu
Nenda Turkana Kenya - ndipo utaona yote hayo ni mbwembwe huko watu wanaishi kama stone age. Kuna ukame na hawajui msaada wa serikali! Mambo ambayo hayatokei Tanzania. Ni aibu,Usifananishe Kenya na huu uchafu unaoitwa Tz! Namaanisha watu sio geographical location.
Mie mwili upo Tzee uzalendo umekfa kbsNashangaa labda makiki ya JIWE na timu yake yamenipotezea taste na taarifa za habari ya nchi yangu!
konyo ww
kula LIKE mkuu !Rais Uhuru Kenyatta amemteua HILLARY MUTYAMBAI kuwa IGP mpya wa Kenya , lakini kwa Mujibu wa katiba ya Kenya ni lazima mteule huyu ahojiwe na kukaangwa mbele ya kamati ya bunge ili kuhakikisha kwamba ni kweli anaweza kusimamia usalama wa wakenya kwa haki bila upendeleo , ni lazima bunge liidhinishe uteuzi wake ndipo aapishwe.
Hakika Jamhuri ya watu wa Kenya haistahili kuwemo kwenye jumuiya ya kichovu ya Africa Mashariki.
Mungu ibariki Kenya
konyo ww
hahahaha unasemaje ww mtanzania😅Aisee nakuona Mkenya
Ndio wanaoongoza kwa rushwa ,haina maana yoyoteRais Uhuru Kenyatta amemteua HILLARY MUTYAMBAI kuwa IGP mpya wa Kenya , lakini kwa Mujibu wa katiba ya Kenya ni lazima mteule huyu ahojiwe na kukaangwa mbele ya kamati ya bunge ili kuhakikisha kwamba ni kweli anaweza kusimamia usalama wa wakenya kwa haki bila upendeleo , ni lazima bunge liidhinishe uteuzi wake ndipo aapishwe.
Hakika Jamhuri ya watu wa Kenya haistahili kuwemo kwenye jumuiya ya kichovu ya Africa Mashariki.
Mungu ibariki Kenya
Kenya ni moja ya nchi chache zinazo jitahidi kuendeshwa kwa kufuta katiba sio manchi mengine haya hongereni wakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha unasemaje ww mtanzania[emoji28]
😅😅😅😅ningeshangaa...unaniambia nn ww mtzed🤗Nguvu ya kusema mbele ya Mkenya naitoa wapi