Kenya ni habari nyingine, IGP mtarajiwa ahojiwa na kamati ya Bunge

Kenya kwa sasa inazidi kutuacha kwa kila kitu.
 
Umenena ndugu, yaani kama Tanzania kwa sasa imekuwa kituko kwa kila jambo; Udikteta, udhulumaji, utekaji, mauwaji ya raia, uminywaji wa demokrasia, kila kitu kibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabila gani huyo mteule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwetu hata wakiweka hiko kipengele bado Ma-ccm yatabebana tu! Hutaki tunapiga aunt zenu wote!
 
Ahojiwe au asihojiwe ni kazi bure tu. Kinachotakiwa wala siyo kuhojiwa bali ni mabadiliko ya kila Raia yaani Uzalendo wa kweli kweli.
 
kula LIKE mkuu !
 
Ndio wanaoongoza kwa rushwa ,haina maana yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…