Kenya ni habari nyingine, IGP mtarajiwa ahojiwa na kamati ya Bunge

Sasa hiyo inasaidia nini kwa wananchi? Mbona Odinga alilalamika kuibiwa kura?
 
Hamia Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kenya ni level nyingine, nilianza kuvutiwa na wakenya baada ya ile supreme court of kenya kufuta matokeo ya urais.
hahahahaha ...........huku kwetu mbona tulifuta uchaguzi ,au umemsahau jecha,mwakani tutamtumia tena ikiwa tutashindwa uchaguzi
 
Reactions: BAK
Thubutu hili Bunge DHAIFU/ UOZO limuhoji IGP, watapiga ule ukelele wao maarufu wa nguvu NDIYOOOOOOOOOO! Ili wamalize kikao haraka wakawahi ulabu, nyama choma na totos.

 
Mad man! Utadhani ana hati miliki ya Tanzania au huo mshahara unatoka mfukoni mwake! Anasahau kama ni pesa ya walipa kodi. Ukichaa na ushamba ni mzigo mkubwa sana.

" Nimekuteua mimi , mshahara nakupa mimi halafu unamtangaza mpinzani mshindi ! "
 
Kenya iko mbali sana katika swala la ustaarabu wa kisiasa! -Political hygiene! Huko Tanganyika kuna majibwa koko kila mahali yasiyo na utashi!
 
Kama ilivoripotiwa live kwenye stesheni za Tv. Kenya: Usaili wa IGP mtarajiwa jasusi Hillary Mutyambai ulifanywa na 'Joint Committe'(bunge na seneti) ya masuala ya usalama wa taifa. Atakayeweza atizame shughuli yote ilivokuwa kwenye hiyo video ya Citizen Tv hapo juu. Huyu IGP mtarajiwa sio mtu wa maneno mengi ila anajielewa sana. Natumai kwamba bunge litamkubali, la sivyo mtu mwingine atateuliwa alafu hii shughuli yote itarudiwa upya. Hizi 'checks and balances', zinazotekelezwa kwa mujibu wa katiba, ndio huwa zinanipa matumaini kwamba nchi yangu tukufu ya Kenya inaendelea kuchukua mkondo unaofaa.
 
Sasa hiyo inasaidia nini kwa wananchi? Mbona Odinga alilalamika kuibiwa kura?
Mkuu huwa napata shida kwelikweli kama uko na akili za kutosha hasa kujenga hoja madhubuti mbele za watu tunaojielewa..
Kila siku na kila changio lako basi ushabiki, upupu, uzwazwa... Vitu muhimu kama hivi unapaswa kwanza kuwapongeza kwa jinsi wanavyojitahidi kuweka mambo balanced.. kisha unatoa maoni yako hasa yaliyojikita katika hoja nadhifu na yakinifuu..
MTU MZIMA UKIWA KAMA HIVI UNAKOSA MAANA YA UTU UZIMA..
 
Nenda Turkana Kenya - ndipo utaona yote hayo ni mbwembwe huko watu wanaishi kama stone age. Kuna ukame na hawajui msaada wa serikali! Mambo ambayo hayatokei Tanzania. Ni aibu,
kwhyo ilkuwa unataka serikali iwalishe ndio kuwakumbuka...we fala nn...we km unaishi mwituni na umfugaji wa kurandaranda(pastoralist)...sehemu yenyewe ni ukame...sasa hapa ulikuwa wataka serikali iwasaidieje...manake huez mfanyia mtu maendeleo km hatulii...leo yuko manzense kesho mara yuko magomeni...

yani hapo wakabe tu mpka ile siku wataamka usingizini...wenzao wamaasai,wa pokot na wasomali wamezinduka...wanafuata mila lkn pia wanajishughulisha na ishu zingine...


swali langu ni...serikali iliwapa chakula wale watu wenu wa kagera..manake yetu ilishawapelekea jamaa wa turkana msosi...sasa jiulize hapo nani mjinga...anayetoa nje chakula kw ajili ya kiki...au hyu anayetoa wakati watu wake wamezidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…