Kenya ni habari nyingine, IGP mtarajiwa ahojiwa na kamati ya Bunge

Ndio wanaoongoza kwa rushwa ,haina maana yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
ungelijuaje km sio uhuru wa media na bunge kuonyeshwa live katika ishu zenye tija kw wananchi...
wewe wajua n nn kinachoendelea katika nchi yako...manake kila siku matangazo ni miradi,uzinduzi na ccm...usituone hatuijui nchi yenu bro...yule jamaa amewakalia...
 
Usaili wa waziri wa elimu Prof. George Magoha, wiki kama mbili hivi zilizopita, ndio ulikuwa wa kukata na shoka. Profesa alikuwa na confidence zaidi ya wabunge ambao walikuwa wanamhoji.
 
Hamia kabisa Kenya. Tena Mombassa pale.
Id yako inatoa jibu. Tunaongea demokrasia wewe unakuja na za kuleta.

Wenzetu walibadili katiba na inafanya kazi sisi tumerudi chama kimoja.
Subiri nyinyi wasukuma mrudishwe kwenye vijiji vya ujamaa.
Ulisikia mchagga, mhaya, mnyakyusa anaundiwa vijiji? Walijua na wanajua hawa watu hawaguswi sababu wanajitambua na ndio watu wanatambua nini maana ya demokrasia na maendeleo ya watu. Kalaga bao.
 
Pole sana mura! That is Kenya and this is Tanzania, you moron and lunatic tribalism monger.
 
Hii ndio bunge iliyo sahihisha kuteuliwa kwa Rashid Echesa kuwa waziri? Jamaa ambaye hata cheti cha shule ya msingi hana..
Hawa ni makasuku tu wa jubilee wala hakuna ukaguaji uliopo hapo..Maizigo tupu, uwamuzi upo na rais
 
Hii ndio bunge iliyo sahihisha kuteuliwa kwa Rashid Echesa kuwa waziri? Jamaa ambaye hata cheti cha shule ya msingi hana..
Hawa ni makasuku tu wa jubilee wala hakuna ukaguaji uliopo hapo..Maizigo tupu, uwamuzi upo na rais
Asilimia kubwa ya wateule wa rais, mawaziri na wabunge huko kwenu Tz hawana vyeti, labda vile vya chanjo hospitalini. Mzee mwenyewe alipata phd yake kupitia process ya osmosis. Ila hukomi kuwasifia humu kila uchao. Echesa aliketi mbele ya kamati, na akaulizwa maswali mengi sana kuhusu kiwango chake cha elimu. Uwazi ni kitu cha muhimu. Echesa aliyajibu maswali kwa ustadi na wakaona ana uwezo isipokuwa baadaye kazini alikuja akavimba kichwa kwa kujiona special ndio akafutwa kazi. Kuna wateule kadhaa wa rais U.K. ambao wamebwagwa chini wakati wa usaili. Mkifikia hatua kama hiyo mzee nitag.
 
😂😂😂 yani sasa unamtetea Rashid Echesa? Hahahaha...eti alijibu maswali kwa ustadi mno...kweli Jubilee ni ugonjwa wa kichaa😂😂😂
 
yani sasa unamtetea Rashid Echesa? Hahahaha...eti alijibu maswali kwa ustadi mno...kweli Jubilee ni ugonjwa wa kichaa
Uliona usaili wa Echesa? Sijatetea performance yake nimeongoa kuhusu vetting tu. Tena kamati za bunge zinazofanya usaili sio za chama kimoja, jielimishe. Ila nimependa ulivopuuza hoja yangu ya viongozi wenu vyetiless, kama mtoto wa Jiwe, Bashite na phd bonoko ya mzee pia. Ningependa sana kuona usaili wa wateule takatifu wa Jiwe, tena live kwa Tv. Inaweza kuwa comedy ya karne, maanake wengi wao hata majina yao kamili tu wao wenyewe hawayafahamu vizuri. 😀
 
60% of Tz ministers are former lecturers of udsm. But thats not the point..Am still wondering how parliament can go through the motions of vetting and still approve a class 7 dropout(Echesa). Unless ofcourse this is just lipstick democracy meant to pacify the masses that kenya is democratic while in actual sense the president calls the shots..
Atleast Tz is honest, The president openly calls the shots without undue pretence
 
Ile siku upinzani itakua na wengi bungeni serekali itateseka sana
 
Endelea na upimbi wako wakutetea vitu vya ajabu ajabu. 100% ya mawaziri, mahakimu, CJ, IGP na maRC Tz ni makasuku wa chama. Ndio maana mlipigwa na butwaa Maraga na mahakama walipotupilia mbali matokeo ya uchaguzi wa urais Kenya. Unajivunia kwamba hata hukumu kwenye mahakama huwa ni maagizo kutoka juu? Acha longolongo nyingi, leta C.V za IGP na mawaziri wa Tz tulinganishe na za wenzao wa Kenya. Kumbuka huyo Echesa mmoja unayemtaja hayupo tena kwenye orodha ya mawaziri.
 
hahaha Jaji aliyewaachilia Mbowe na Matiko kwani sio kasuku wa ccm? Kwani yeye hajateuliwa na Rais? Kwani hakupokea maagizo kutoka juu?
Ingekuwa hoja kama Bunge ingebatilisha uwaziri wa Echesa kwa vigezo za kukosa masomo mwafaka, hiyo ingeashiria demokrasia ya kweli..Lakini Echesa aliteuliwa na dictator akiwa na mapungufu yake wala bunge dhaifu haligemkosoa Kim jon un, na hatimaye, dictator kamuondoa yeye mwenyewe baada ya echesa kuharibu pesa za umma kwa kukula mshahara mwaka moja
 
Sawa boss, haina presha.
 
Im maasai guy from tz...nawapa hii wamasai wote Wa Kenya hasa waliomo humu jf.
Bila kupindisha maneno Kenya mpo juu na huezi fananisha na nchi zingine za east Africa
Wake up others east africa countries. Kenya inawaacha kwa mbali zaidi..
Nchi angepewa Lowasa I guess tungekuwa tunazungumza lugha moja na Kenyans..
All ze best Kenyan katk ujenzi Wa nchi enu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…