Wacha vijana wetu wafanye kazi. Nyie vijana wenu wamekaa juu ya mawe wanapiga soga na kupoteza muda. Siwalaumu nyie vijana wenu hawawezi kufanya kazi kama hizi kwa sababu ya level yao finyu ya masomo. Wacha vijana wetu wafanye kazi.Keep hustling jirani, mna kila sababu ya kuondoa nyumba za ma-box na mabati chakavu hapo Kibera
Sasa huu ujuzi mbona hamkuutumia kwa wachina,maana wachina "wemewapiga"nyinyi sasa.Hii nchi ndogo ya Kenya inaogopwa hata na Wazungu. Wakenya kwa kutafuta pesa ni hatari sana. Sasa wanafunzi lazy wa Marekani ambao hawataki kufanya homework huwa wanatuma homework huku Kenya ili vijana wa Kenya wawasaidie kufanya homework yao. Hata mitihani pia Wakenya wanafanya kwa niaba ya Wazungu malazy. Halafu Wakenya wanalipwa pesa ndefu mno. Hata nyinyi malazy wa kusini mkitaka mnaweza kutuma mitihani yenu Kenya ili msaidiwe kufanya mtihani ila pesa yenu ya madafu itabidi mtoe pesa nyingi sana.
Shida nyinyi bado ni her majesty the queen's loyal subjects. Hamjapata uhuru kamili, ardhi yote bado ni ya malkia.Wacha vijana wetu wafanye kazi. Nyie vijana wenu wamekaa juu ya mawe wanapiga soga na kupoteza muda. Siwalaumu nyie vijana wenu hawawezi kufanya kazi kama hizi kwa sababu ya level yao finyu ya masomo. Wacha vijana wetu wafanye kazi.
Huyo Huyo unae mfanyia homework anakuwa mgunduzi wa mambo, afu anakuletea plastic products kwenye kenya yenu mfe vizuri.... Afu nyinyi mnabaki kuandika andika na kuongea kingereza nakujiita wasomi....Wacha vijana wetu wafanye kazi. Nyie vijana wenu wamekaa juu ya mawe wanapiga soga na kupoteza muda. Siwalaumu nyie vijana wenu hawawezi kufanya kazi kama hizi kwa sababu ya level yao finyu ya masomo. Wacha vijana wetu wafanye kazi.
Huyo mwanafunzi Mzungu kama hana akili ya kufanya homework atatoa wapi akili ya kuvumbua plastiki?Huyo Huyo unae mfanyia homework anakuwa mgunduzi wa mambo, afu anakuletea plastic products kwenye kenya yenu mfe vizuri.... Afu nyinyi mnabaki kuandika andika na kuongea kingereza nakujiita wasomi....
Mnatia aibu sana...
Duuuh! Kwahiyo huko Kenya kwenu uwezo wa akili ya mtu inapimwa kwa kufanya homework?Huyo mwanafunzi Mzungu kama hana akili ya kufanya homework atatoa wapi akili ya kuvumbua plastiki?
Nyie chama cha madudu kina wapima hata kinyesi!!!!!!!!!!Duuuh! Kwahiyo huko Kenya kwenu uwezo wa akili ya mtu inapimwa kwa kufanya homework?
Kweli nimeamini gidheri + miraa = kichwa maji
Mnatia aibu sana
Kuna Documentary Nyengine ya BBC, Kuna msimamizi wa sijui Cambridge au University of London alisema uchunguzi wao ulionyesha at least 40% ya thesis za masters zilizoandikwa na wanafunzi wao zilikua zimeandikwa na wakenya... Alitoa onyo kwamba ikiendelea hivyo mwishowe itakua nchi kama Kenya na India ndo ziko na wataalam wa kufanya research kuliko UK manake hata hao wanafunzi wa UK wanatutegemea sisi ndo wapate degree zao feki.
Eeeh! Matusi tena.... Poleni ndugu.... Nyie endeleni kuwafanyia watoto wa kizungu homework....Nyie chama cha madudu kina wapima hata kinyesi!!!!!!!!!!