LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
Kwani wewe umejenga hoja kwenye huu uzi? Mi naona na wewe umejenga haja kubwa tu kwenye huu uzi!Huu ndiyo ujengaji hoja halisi wa CCM sasa,shukrani sana kwa kuwawakilisha vyema!Halafu mkiitwa mambumbumbu mnaona kuwa mnaonewa gere