Kenya ni Masikini kuliko TZ

Kenya ni Masikini kuliko TZ

Vigezo vilivotumiwa ni GNI per capita, sio GDP(ambayo hata hiyo Kenya inakaribia kuichapa Tz double). GNI per capita ya $2,700 kwa watu 58million(2018) ndio inaifanya Tz kuwa nchi masikini No. 24 duniani. ..."24. Tanzania
> GNI per capita: $2,700 > 2019 GDP: $63.2 billion (77th out of 206 countries) > Population (2019): 58.0 million > Life expectancy at birth in 2018: 65.0 years
The East African nation of Tanzania
has a $63.2 billion economy and a
population of 58 million"..... Usiitaje Kenya tafadhali kwenye ligi ambazo ni zenu na swahiba wenu Burundi. [emoji1]
Hahahaha, hujui unachokisema, GNI ndiyo kigezo cha nchi kuingia Uchumi wa kati, Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana Africa zilizopo katika nchi zilipo katika kundi la uchimi wa kati, sidhani nchi za Africa zilizomo katika uchumi wa kati zinafika kumi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawezi kuwa na akili ya kufikiria hilo, GNI ndiyo inayotumiaka kuipandisha nchi kutoka LDC kuingia katika uchumi wa kati, katika Africa nchi zilizoingia katika uchumi wa kati hazifiki hata kumi. Tukitumia kigezo hicho cha GNI, Tanzania inazidi kupanda juu, tatizo hana akili hajui nini anachozungumza.
Fuata hii link ya world bank halafu uhesabu ni nchi ngapi ambazo zipo katika lower middle income category. Mimi nimehesabu nchi 22.

Lower middle income | Data

Lower middle income

  • ALGERIA
  • ANGOLA
  • BANGLADESH
  • BENIN
  • BHUTAN
  • BOLIVIA
  • CABO VERDE
  • CAMBODIA
  • CAMEROON
  • COMOROS
  • CONGO, REP.
  • COTE D'IVOIRE
  • DJIBOUTI
  • EGYPT, ARAB REP.
  • EL SALVADOR
  • ESWATINI
  • GHANA
  • HONDURAS
  • INDIA
  • KENYA
  • KIRIBATI
  • KYRGYZ REPUBLIC
  • LAO PDR
  • LESOTHO
  • MAURITANIA
  • MICRONESIA, FED. STS.
  • MOLDOVA
  • MONGOLIA
  • MOROCCO
  • MYANMAR
  • NEPAL
  • NICARAGUA
  • NIGERIA
  • PAKISTAN
  • PAPUA NEW GUINEA
  • PHILIPPINES
  • SAO TOME AND PRINCIPE
  • SENEGAL
  • SOLOMON ISLANDS
  • SRI LANKA
  • TANZANIA
  • TIMOR-LESTE
  • TUNISIA
  • UKRAINE
  • UZBEKISTAN
  • VANUATU
  • VIETNAM
  • WEST BANK AND GAZA
  • ZAMBIA
  • ZIMBABWE
Help / Feedback
© 2020 The World Bank Group, All Rights Reserved.
REPORT FRAUD OR CORRUPTION
This site uses cookies to optimize functionality and give you the best possible
 
But its true Tanzania is richer than kenya in terms of mineral wealth,land mass,parks but we are brighter and more educated than you
 
[emoji2398] 2020 The World Bank Group, All Rights Reserved.
REPORT FRAUD OR CORRUPTION
This site uses cookies to optimize functionality and give you the best possible
Zipo 19, hapo ni hapa Africa pekee kwa GNI Tanzania ipo namba 26, bado kuna nchi nyingi sana dunia ambazo zina very low GNI kama Yemen.
 
Hahahaha, hujui unachokisema, GNI ndiyo kigezo cha nchi kuingia Uchumi wa kati, Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana Africa zilizopo katika nchi zilipo katika kundi la uchimi wa kati, sidhani nchi za Africa zilizomo katika uchumi wa kati zinafika kumi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu pia fahamu kuwa Afrika ina nchi 6 katika upper middle income.
Upper middle income | Data

Upper middle income
  • ALBANIA
  • AMERICAN SAMOA
  • ARGENTINA
  • ARMENIA
  • AZERBAIJAN
  • BELARUS
  • BELIZE
  • BOSNIA AND HERZEGOVINA
  • BOTSWANA
  • BRAZIL
  • BULGARIA
  • CHINA
  • COLOMBIA
  • COSTA RICA
  • CUBA
  • DOMINICA
  • DOMINICAN REPUBLIC
  • ECUADOR
  • EQUATORIAL GUINEA
  • FIJI
  • GABON
  • GEORGIA
  • GRENADA
  • GUATEMALA
  • GUYANA
  • INDONESIA
  • IRAN, ISLAMIC REP.
  • IRAQ
  • JAMAICA
  • JORDAN
  • KAZAKHSTAN
  • KOSOVO
  • LEBANON
  • LIBYA
  • MALAYSIA
  • MALDIVES
  • MARSHALL ISLANDS
  • MEXICO
  • MONTENEGRO
  • NAMIBIA
  • NORTH MACEDONIA
  • PARAGUAY
  • PERU
  • RUSSIAN FEDERATION
  • SAMOA
  • SERBIA
  • SOUTH AFRICA
  • ST. LUCIA
  • ST. VINCENT AND THE GRENADINES
  • SURINAME
  • THAILAND
  • TONGA
  • TURKEY
  • TURKMENISTAN
  • TUVALU
  • VENEZUELA, RB
Help / Feedback
© 2020 The World Bank Group, All Rights Reserved.
REPORT FRAUD OR CORRUPTION
This site uses cookies to optimize functionality and
 
Hawezi kuwa na akili ya kufikiria hilo, GNI ndiyo inayotumiaka kuipandisha nchi kutoka LDC kuingia katika uchumi wa kati, katika Africa nchi zilizoingia katika uchumi wa kati hazifiki hata kumi. Tukitumia kigezo hicho cha GNI, Tanzania inazidi kupanda juu, tatizo hana akili hajui nini anachozungumza.
Halafu fahamu kuwa Mauritius na Seychelles ni high income countries. Kwa hivyo nchi ambazo ni middle income au zaidi ni: nchi za lower middle income = 22, nchi upper middle income ni 6, high income ni 2. Kwa hivyo jumla ya nchi za Afrika ambazo ni middle income au high income ni 22+6+2 = 30. Afrika ina nchi 54 kwa hivyo zaidi ya nusu ya nchi za Afrika ni middle income au high income. Afrika sio masikini unavyofikiri.
 
Duniani kote, nchi zilizobaki katika kundi la LDC ni 45. sasa huyo anayesema Tanzania ipo nafasi ya 24 anatumia vigezo gani?, kama kawaida yake chochote a ah achokiokota bila kushirikisha ubongo wake anahisi ni sahihi.
 
Duniani kote, nchi zilizobaki katika kundi la LDC ni 45. sasa huyo anayesema Tanzania ipo nafasi ya 24 anatumia vigezo gani?, kama kawaida yake chochote a ah achokiokota bila kushirikisha ubongo wake anahisi ni sahihi.
Zipo 19, hapo ni hapa Africa pekee kwa GNI Tanzania ipo namba 26, bado kuna nchi nyingi sana dunia ambazo zina very low GNI kama Yemen.
GNI per capita to population size.
 
But its true Tanzania is richer than kenya in terms of mineral wealth,land mass,parks but we are brighter and more educated than you
Which Indicator are you using to support your argument. The only reason Kenya is ahead of Tanzania is the fact that Kenya went to build it's Economy from day one after its Independence, while Tanzania spent most of its first 25yrs after Independence to build a Nation in terms of fighting tribalism, regionalism, Nepotism and liberate other African Countries, during all these years our Economy was almost at stand still while Kenya was busy building industries.
 
Nadhani pingli-nywee anazungumzia Gni per capita ambayo inatumika kupima kiwango cha umasikini cha mtu mmoja katika nchi fulani. Ndio mna Gdp kubwa ila kwa sababu mumezaliana kama panya, Gni per capita yenu inapunguka ndio maana level of poverty iko juu huko kwenu. Tumieni family planning.

tumia akili kwa ufasaha mkenya.

chukua eneo lenu gawanya kwa idadi ya watu,fanya hivyo kwa tz pia.

utagundua mmoja amezaa kama panya,mwingine ameangua mayai kama kunguni.
 
Hivi ni kitu gani wakenya wakiifungia tanzania na tz ikataabika, ila sisi watz tunaweza kuwafungia wakenya na wakataabika sana, cha kwanza mipaka, watakufa njaa hawa watu[emoji23]
Ebu mention siku mlitufungia tukaumia. Wabongo sijui ni ng'ombe gani huwakalisha na kuwafunza hizi ujinga, you all sound the same.
 
Ebu mention siku mlitufungia tukaumia. Wabongo sijui ni ng'ombe gani huwakalisha na kuwafunza hizi ujinga, you all sound the same.
unajisahaulisha sio, tulivyofunga mipaka nani alikuja kuomba msamaha?
 
Back
Top Bottom