joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, hujui unachokisema, GNI ndiyo kigezo cha nchi kuingia Uchumi wa kati, Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana Africa zilizopo katika nchi zilipo katika kundi la uchimi wa kati, sidhani nchi za Africa zilizomo katika uchumi wa kati zinafika kumi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vigezo vilivotumiwa ni GNI per capita, sio GDP(ambayo hata hiyo Kenya inakaribia kuichapa Tz double). GNI per capita ya $2,700 kwa watu 58million(2018) ndio inaifanya Tz kuwa nchi masikini No. 24 duniani. ..."24. Tanzania
> GNI per capita: $2,700 > 2019 GDP: $63.2 billion (77th out of 206 countries) > Population (2019): 58.0 million > Life expectancy at birth in 2018: 65.0 years
The East African nation of Tanzania
has a $63.2 billion economy and a
population of 58 million"..... Usiitaje Kenya tafadhali kwenye ligi ambazo ni zenu na swahiba wenu Burundi. [emoji1]