Kenya ni Masikini kuliko TZ

Huu ndiyo ujengaji hoja halisi wa CCM sasa,shukrani sana kwa kuwawakilisha vyema!Halafu mkiitwa mambumbumbu mnaona kuwa mnaonewa gere
Kwani wewe umejenga hoja kwenye huu uzi? Mi naona na wewe umejenga haja kubwa tu kwenye huu uzi!
 
Wakenya tangia tumezuia Tanzanite kupelekwa kimagendo, mifugo na bidhaa nyingine wamechanganyikiwa walizoea kuja Tanzania kufanya uharamia sasa hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…