SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ungechukua hata dakika, la hasha!Endeleeni kujifungia kabisa na mchukue godoro na blanketi na muendelee kulala usingizi wa pono. Ni haki yenu kufanya hivyo.
Kwa mlolongo huo Mtanzania hawezi kuwekeza, hawezi kujenga majumba kwa sababu hajaenda kutumika kwa makaburu n.k kwa sababu tu hajatoa "remittance"?Remittance ni pesa ambazo raia wanaofanya kazi nje ya nchi hutuma nyumbani ili kulipia gharama za kawaida za familia zao au hata kwa sababu ya kuwekeza katika ardhi na kujenga majumba na kadhalika.
Inahuzunisha sana. Hii roho mbaya na wivu hususan dhidi ya watu waliofanikiwa nimeona imeshika mizizi huko kwao kushinda nchi yoyote ile. Mbona Kenya waliosomea ng'ambo ndio wanaotafutwa na makampuni? Nimesoma kauli yake na comments kwenye huo uzi na inahuzinusha sana.Halafu hawa Watanzania kwa roho zao zilizojaa wivu, hebu on kile wao hufanyia ndugu zao wanaosomea nje na kurudi nyumbani Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana
Inahuzunisha sana. Hii roho mbaya na wivu hususan dhidi ya watu waliofanikiwa nimeona imeshika mizizi huko kwao kushinda nchi yoyote ile. Mbona Kenya waliosomea ng'ambo ndio wanaotafutwa na makampuni? Nimesoma kauli yake na comments kwenye huo uzi na inahuzinusha sana.
Kwamba malipo kupitia PayPal nayo ni 'remittances'? Acha longolongo zako wewe.Humo kuna pesa yetu ya paypal tunayopitisha huko nyingo tu kwa kenya
Walipaji wengi wanakulipa kama friends and family ili isiwe onhold na wasikate achana malipo ya kuuziana goods zinazohitaji usafirishajiKwamba malipo kupitia PayPal nayo ni 'remittances'? Acha longolongo zako wewe.