Kenya ni nchi ya tatu Sub-Saharan Africa kwa kupokea remittance. Inapigwa na Nigeria na Ghana pekee

Kenya ni nchi ya tatu Sub-Saharan Africa kwa kupokea remittance. Inapigwa na Nigeria na Ghana pekee

Endeleeni kujifungia kabisa na mchukue godoro na blanketi na muendelee kulala usingizi wa pono. Ni haki yenu kufanya hivyo.
Ungechukua hata dakika, la hasha!
Matusi ya nini sasa? Unahuzunika nini kama tunalala na usingizi wa "pono"?
Kwa taarifa yako kulala huko ni Afya.

Hatujifungiii, hatutaki kwenda nje kufanywa watumwa.

Wacha kuhuzunika. Jibu hoja, Duh!
 
Remittance ni pesa ambazo raia wanaofanya kazi nje ya nchi hutuma nyumbani ili kulipia gharama za kawaida za familia zao au hata kwa sababu ya kuwekeza katika ardhi na kujenga majumba na kadhalika.
Kwa mlolongo huo Mtanzania hawezi kuwekeza, hawezi kujenga majumba kwa sababu hajaenda kutumika kwa makaburu n.k kwa sababu tu hajatoa "remittance"?

Umedanganywa wapi?
 
Watanzania hawataki kabisa kujaribu (to take risk), ni walalamishi sana na wala si wafanyakazi. Mara wananyanyaswa mara hili mara lile - full ulalamishi.
 
Hiyo hela ya Nigeria ni ndefu, ila wenyewe ni wachapa kazi na wachakarikaji, hata hao Ghana, nimesoma comments za majirani kama kawaida namna wao hujifariji hadi wanachekesha sana.
 
Halafu hawa Watanzania kwa roho zao zilizojaa wivu, hebu on kile wao hufanyia ndugu zao wanaosomea nje na kurudi nyumbani Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana
Inahuzunisha sana. Hii roho mbaya na wivu hususan dhidi ya watu waliofanikiwa nimeona imeshika mizizi huko kwao kushinda nchi yoyote ile. Mbona Kenya waliosomea ng'ambo ndio wanaotafutwa na makampuni? Nimesoma kauli yake na comments kwenye huo uzi na inahuzinusha sana.
 
Comments zao zinakatisha tamaa, zimejaa wivu na chuki, nahisi huyo jamaa anajutia kuanzisha huo uzi.
Mfumo wa ujamaa huwafanya watu wachukie wenye mafanikio na kutaka wote waishi kizembezembe na maskini.
 
Kwamba malipo kupitia PayPal nayo ni 'remittances'? Acha longolongo zako wewe.
Walipaji wengi wanakulipa kama friends and family ili isiwe onhold na wasikate achana malipo ya kuuziana goods zinazohitaji usafirishaji
 
Back
Top Bottom