SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ungechukua hata dakika, la hasha!Endeleeni kujifungia kabisa na mchukue godoro na blanketi na muendelee kulala usingizi wa pono. Ni haki yenu kufanya hivyo.
Matusi ya nini sasa? Unahuzunika nini kama tunalala na usingizi wa "pono"?
Kwa taarifa yako kulala huko ni Afya.
Hatujifungiii, hatutaki kwenda nje kufanywa watumwa.
Wacha kuhuzunika. Jibu hoja, Duh!