Kenya ni poor country hata bure siendi

Kenya ni poor country hata bure siendi

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
655
Kuna nchi inayosikitisha kama kenya??

Madeni kibao

Gharama kubwa za maisha

Ugumu wa maisha ulopitiliza

Nchi iliyokwisha matumaini

Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki hata unipe dollar 500 unambie nichukue uraia wa kenya sikubali

Nchi ya hovyo kuwahi kutokea

Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa

Huwa mnachekesha sana wakenya
 
Si ukae huko LDC kwenu kwani wewe ndio nani? Mjinga tazama hii ndio paradiso yenyu huko Bongo.

Kwanza Tz ndio mna unyama kuwachinja albinos .

Kuko udikteta huwezi kuongea ukweli au kupinga ubavu wa Magufuli.

Bado Tz mpo LDC na ni uchumi wa chini mko kwa orodha ya mataifa maskini zaidi.

Dar es Salaam mji hauna mipangilio sawa hivi kwamba 70% makao ni slums.

Juzi tu watanzania 70 walikufa kwa moto mkali wakiiba mafuta kwa sababu ya umaskini.

Asilimia kubwa ya uchumi wenu inashikiliwa na wawekezaji wa Kenya.

Omba omba wengi wa Tanzania wamefika Nairobi kutoroka hio paradiso ya Tz

Nyani haoni kundule kwamba Tz ni nchi hoyvo sana sana hata wawekezaji wengi duniani wameliona hilo wakafanya Nairobi makao yao makuu ya makampuni zao Afrika .
 
Kuna nchi inayosikitisha kama kenya??

Madeni kibao

Gharama kubwa za maisha

Ugumu wa maisha ulopitiliza

Nchi iliyokwisha matumaini

Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki hata unipe dollar 500 unambie nichukue uraia wa kenya sikubali

Nchi ya hovyo kuwahi kutokea

Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa

Huwa mnachekesha sana wakenya
$500 ni elfu 50,000 ya Kenya pesa kidogo Sana Ila naona Umasikini wako unakuonyesha hizo Ni hela nyingi...kweli Tz ni LDC 😂😂😂
 
Nitaishi juu ya mti. Nijenge kiota kama nyuni nikae huko ila kuishi katika nchi ambayo watoto na walemavu wa ngozi wanachinjwa kila uchao. NO! Nimekataa katakata Superleta
 
Ngoja waje wakuambie kwamba wanamiliki number nzuri ya mabilionea Mombasa kuliko mji wowote Africa 😂😂😂
 
Kuna nchi inayosikitisha kama kenya??

Madeni kibao

Gharama kubwa za maisha

Ugumu wa maisha ulopitiliza

Nchi iliyokwisha matumaini

Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki hata unipe dollar 500 unambie nichukue uraia wa kenya sikubali

Nchi ya hovyo kuwahi kutokea

Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa

Huwa mnachekesha sana wakenya
Wapi data au evidence ya ulichoandika au umeitoa matak*ni?
 
Naona kama kawaida washaenda youtube kuokota okota videos zilizopita [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna nchi inayosikitisha kama kenya??

Madeni kibao

Gharama kubwa za maisha

Ugumu wa maisha ulopitiliza

Nchi iliyokwisha matumaini

Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki hata unipe dollar 500 unambie nichukue uraia wa kenya sikubali

Nchi ya hovyo kuwahi kutokea

Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa

Huwa mnachekesha sana wakenya

Mtapata tabu sana.
Ukiamka, Kenya.
Ukioga, Kenya.
Ukilala, Kenya.
 
Wataje hao wazungu nikutajie wahindi na waarabu km kumi hv wanaoushikilia uchumi wa tanzania

Back
Top Bottom