KENYA: Nicholas Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
Jeneza la mwenda zake Biwott limewasili nchini hii leo, lina features za hatari sana pamoja na kuwa ni bullet proof.

Zaidi soma Maisha ya Nicholas Biwott yazidi kukanganya Wakenya hata baada ya kifo chake



In a will, Biwott said even in death enemies would be all over him. He therefore demanded that he be buried inside a bullet proof coffin so as to scare away people aimed at him. He also told his beloved ones to bury him in a golden coffin, to symbolize his social status.

The tycoon’s coffin has been ordered from USA after it was established that a casket of this nature could not be found in Kenya. Anytime this week the coffin will arrive in the country under maximum security.

Biwott was a man who constantly feared everyone and anyone. He was afraid of death. A secretive man, the former Minister never allowed any person near his compound unless iit was a close family member. Even in death, it was his wish to be protected.

Meanwhile, here is a list of companies he left behind

View attachment 543848
View attachment 543850

Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies | Venas News
 
Nicholas Biwott ndio nani?

iPhone S7
Nicholas Kipyator Kiprono arap Biwott (1940 – 11 July 2017) was a Kenyan businessman, politician and philanthropist. Biwott served as a civil servant, Member of Parliament and government minister, during which time he held eight senior ministerial positions during the presidency of Daniel arap Moi.
Nicholas Biwott - Wikipedia
 
Duh! Si mchezo watu wanakula Bata hadi kaburini, kweli Jaluo mbishi!
Kwanini watz wengi wanapenda kukosea heshima hawa ndugu zetu kutoka maeneo ya Ziwa Victoria?Mi si mjaluo lakini hii tabia inanikera sana!
 
Inasaidia nini kwa kuwa bullet proof sasa? Marehemu ameshafariki[emoji23][emoji23]
 
Huyu mtu ameneemeka sana n.a. siasa za hovyo za Kenya

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mkatoliki lakini nitaweka wosia kwamba nikifa nizikwe bila jeneza ili mwili wangu ukutane ardhini ." Wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi lakini bwana atakufufua siku ya mwisho"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…