KENYA: Nicholas Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies

KENYA: Nicholas Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies

Hiki ni kichekesho. Hivi wataweza kulilinda hilo kaburi daima dawamu?
Siku moja wenye njaa wanaomzunguka watatoa mifupa yake nje wakitafuta dhahabu. Mungu alisema "wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi" Siamini kama kuna uadui unaoendelea hata baada ya kifo.
 
Kwa msiojua mafisadi mwangalieni huyu mkenya. Tanzania tunaiga.
 
Wakenya kuna fuse fulani kwenye ubongo wao haziko sawa kwenye mazishi yao huwa ni vituko tuu wakitekeleza kinachoitwa" wil" kuna mmoja alizikwa kwenye jeneza mfano wa nyumba sasa huyu kaja na vituko vingine
 
Acha aende na utajiri wake akatoe rushwa asiingie motoni[emoji23]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Acha aende na utajiri wake akatoe rushwa asiingie motoni[emoji23]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ahaa,kumbe hayo yote ni kwa ajili ya rushwa ili aingie ahera?Kweli,fisadi atabaki kuwa fisadi tu!😀
 
Wakenya kuna fuse fulani kwenye ubongo wao haziko sawa kwenye mazishi yao huwa ni vituko tuu wakitekeleza kinachoitwa" wil" kuna mmoja alizikwa kwenye jeneza mfano wa nyumba sasa huyu kaja na vituko vingine
Jombaa kama wewe una fuse kichwani nakusihi ukatafute usaidizi kutoka kwa wataalamu. Si kawaida aisee,wengi wetu kichwani ni ubongo na mishipa ya damu tu. Kuna wale kichwani wamejaza uji tu,lakini tusiongelee hao. Tafadhali mtembelee daktari wako,kwa dharula!🙂
 
Lunacy in lunatic actions

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom