Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mamaaaaa,, wewe jinga wewe nani alikwambia kwamba Biwot ni Jaluo? makalio ya nokho!!Duh! Si mchezo watu wanakula Bata hadi kaburini, kweli Jaluo mbishi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamaaaaa,, wewe jinga wewe nani alikwambia kwamba Biwot ni Jaluo? makalio ya nokho!!Duh! Si mchezo watu wanakula Bata hadi kaburini, kweli Jaluo mbishi!
Kama tu sisiemu ilivoneemeka na siasa za umbumbumbu za tz?Huyu mtu ameneemeka sana n.a. siasa za hovyo za Kenya
Post sent using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe, mazishi ya gharama na kifahari hayana maana kama hakuishi kwa kumpendeza Mungu.Mimi ni mkatoliki lakini nitaweka wosia kwamba nikifa nizikwe bila jeneza ili mwili wangu ukutane ardhini ." Wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi lakini bwana atakufufua siku ya mwisho"
Nini maana ya kulalamika?Mnaopalamika kwani kuna ubaya gani yeye kujiamulia hayo!?
Nimewashangaaa maisha ya mtu, mnamsema shaaaaa kama vile nyie hamna maamuzi yenu pua.
Wivu.com