Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kwani Moi alikuwa Mkikuyu?Kwani ni Mkikuyu huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Moi alikuwa Mkikuyu?Kwani ni Mkikuyu huyu?
Ilikua hakuna jinsi na kwa sababu mzee alikufa na yeye alikua VPKwani Moi alikuwa Mkikuyu?
Nilitaka nikuulize hilo huko mwanzo,je UK hakushauriana na M7 kwenye hili?Achana na tetese za kikwete kuwemo,huoni kama ha wamama wanagawanya kura za EAC
Kama akiingia yule wa Uganda,Amina atakua na hali ngumu sana,Tanzania watampigia Amina,lakini Mugabe!west Africans?Mlitakiwa muhakikishe EA hakuna jina zaidi ya hilo,halafu ni kama UK alikurupuka,ilijadiliwa kweli hii issue?Yule mama wa Uganda hakukidhi au kushinda mwanzo na ndio imebidi warudie, nafikiri hili jambo lazima rais Uhuru amekomaa nalo, atakua anapiga piga simu kote kote.
Kama akiingia yule wa Uganda,Amina atakua na hali ngumu sana,Tanzania watampigia Amina,lakini Mugabe!west Africans?Mlitakiwa muhakikishe EA hakuna jina zaidi ya hilo,halafu ni kama UK alikurupuka,ilijadiliwa kweli hii issue?
Hahaaaa,acha uoga,Amina ameshakuja hapa mara mbili sikujua sababu,sasa naunganisha dots napata,Halafu yupo master minder Mwakwere ameifanya kazi yake vizuri,hatuna tatizo na Mama,ila specioza anatakiwa awe nullified mapema vinginevyo atakupeni tabuHilo tulijua kwamba Tanzania lazima watapigia yeyote asiye Mkenya. Lakini tunategemea kura kutoka kwa mataifa mengine mengi Afrika. Lobbying inafanyika.
Hilo tulijua kwamba Tanzania lazima watapigia yeyote asiye Mkenya. Lakini tunategemea kura kutoka kwa mataifa mengine mengi Afrika. Lobbying inafanyika.
Inaonenaka alijadiliana na watu wengi kabla kutangaza, alipigia simu hata nchi zenye ziko na waniaji kuwashawishi...Kama akiingia yule wa Uganda,Amina atakua na hali ngumu sana,Tanzania watampigia Amina,lakini Mugabe!west Africans?Mlitakiwa muhakikishe EA hakuna jina zaidi ya hilo,halafu ni kama UK alikurupuka,ilijadiliwa kweli hii issue?
Huyu mama akimwagwa,itakua aibu kubwa sana kwa wakenya na UKkabombe, ukweli ni kwamba Kenya ni wakurupukaji, kama suala la EPA, ubinafsi ndo agenda ya Uhuru na serikali yake Deputy chairman wa AU ni Mkenya na sioni akipita huyu mama. Uhuru anatafuta kutumia uchaguzi wa AU ku-boost nafasi ya kushinda Urais mwakani.
October 2016
Foreign Minister, Amina Mohamed heated interview on Al Jazeera October 2016. Interview Hosted by Mehdi Hasan :
Source: Al Jazeera English
Huwa sizielewi kabisa akili za wakenyakabombe, probability ya 95% anamwagwa! Kenya wameweka huyu mama kuzuia chance ya Kikwete ambaye alikuwa anatajwa kama a compromise candidate.
Nimetazama interview zilizofanyika Al-Jazeera na BBC Hard Talk huyu Mama yetu toka Afrika Mashariki ana ''panic'' sana kiasi hazungumzi kama Mwanadiplomasia Mzoefu.huhuhu, kama ni mimi waziri, I will never go to that interview.mh mh
She denied everything mpaka kama huyo jounerlst angeingiza swali kama we unaitwa amina mohammed, bado waziri angepinga, No!