Kenya now wants SADC to drop bid for AU chair

kwani ni nchi gani pia alitusaidi kupata uhuru...tulifaitia wenyewe na husikii tukilialia kuwa hatukusaidiwa.nyi vipi
Mnalo mwaka huu,hamna anayewataka kwa sasa,Africa na hata dunia inajua kuwa nyinyi ni waongo,wanafiki,waizi na arrogance za ki nyang'auπŸ˜€,tulieni sindano iwaingie vizuriπŸ˜€
 
Jhaxan, hakuna kitu, subiri watakavyoumbuka! Hapa EAC kwenyewe sidhani kama Tanzania, Uganda na Burundi watampigia! Kenya wanatabia ya unafiki na kukurupuka!
Hawamjui mugabe nini... Hapendagi hujinga yule
Geza Ulole
Duuu ndo maana wanasema nyang'au hana aibu. Yaani matusi yote ambayo wanaitukana Tanzania na SADC halafu leo wanataka kuitumia kama daraja. SADC ni undugu wa damu siyo wa mashaka kama EAC.
 
Hehe. Sikujua watu wengi wa Tanzania humu JF ni wajinga na wenye moyo za kichawi hivi. Nyinyi wenyewe hamna mtu anayegombea, tatizo lenu ni lipi? Amina akishinda mtafanya ninini? Mtajinyonga? Ujinga kweli umekithiri.
 
Kwikwikwi. Amina hashindi.
 
Kenyans are lame af.
That's John Kerry's hand wearing a black,red and green stripped sock.
Hell naw!!
 
Hehe. Sikujua watu wengi wa Tanzania humu JF ni wajinga na wenye moyo za kichawi hivi. Nyinyi wenyewe hamna mtu anayegombea, tatizo lenu ni lipi? Amina akishinda mtafanya ninini? Mtajinyonga? Ujinga kweli umekithiri.

Hizi povu zote za Wabongo zinatokana na kutamaushwa kwao, kwani walipoteza raslimali nyingi sana kwa kujikomba komba Afrika Kusini, kwa kiherehere wakaingia kwenye vita vya Kusini. Hadi wa leo umaskini wa Tanzania mkubwa umetokana na kujihusisha kwenye kila ugomvi, Uganda na kote kote. Sasa wanakasirika kuona Kenya inatanua hiyo SADC wakati wao wamelala.

Leo hii Watanzania Afrika Kusini ni wamebaba mabox wakati Wakenya wanawekeza, hilo linawauma sana. Wakati Wasouth wanachinja chinja wageni mitaani hawakusaza hata Wabongo, walifagia kote kote.

Zaidi wanahisi ovyo kuona tumeanza hadi kuamrisha SADC na kuwaambiaa nini cha kufanya. Hilo linawafanya wanag'ake humu povu zikiwatoka. Bila shaka hata ingelikua ni mimi lazima ningelia kwa majonzi.
 
Kwikwikwi. Miaka hii wakenya mtajiharishia sana. Mtajua sasa what is TZ. Mpaka mje mpige magoti kwetu. Mtahangaika sana kutafuta msaada hapa Africa. Nakuhakikishia kama mnawazo mnataka kupitisha huku mkiichukia TZ ndani ya SADC sahau.

Wewe umesahau kuwa TZ ndiye mwenyekiti wa politics and security SADC.
Hujui kuwa viongozi wa ngazi za juu ndami ya SADC ni wa TZ.

Wewe endelea kupiga porojo tu humu JF.
Tumekataa EPA na hamuwezi fanya lolote. Mlianzisha COW ikafa kifo cha mende.

S. Sudani imekataa kenya wasiende kulinda amani badala yake wame suggest TZ. Katika International Diplomacy wakenya ni zero nyeusi. Huwezi ukaichukia TZ na kutaka kufanikiwa ndani ya SADC. Ni kichaa tu anaweza fikiria hivyo.

Malizaneni kwanza na wasomali ndio muingie na issue za Kiafrica.

Umesahau umoja wa Africa kitengo cha security walitaka kupeleka wanajeshi burundi. TZ tulikataa na kusema issue ya burundi inaisha kidiplomasia na kweli mpaka umoja wa mataifa wakakubali jambo hilo. Ndipo hapo katibu wa umoja wa mataifa akambelea huko.

Umesahau Burundi ilikuwa inashutumu Rwanda, PK akaja juu. TZ ilimtuliza mzuka ndipo JPM akatbelea Rwanda.

Nyie kenya kiwango chenu cha kufikiri katika international affairs ni zero kabisa.
 
Tupeni miaka miwili tu ijayo kuanzi sasa Tanzania itafunga biashara na Kenya nimewaibia siri ya mjomba magu
 
MwendaOmo, tunataka kuwaonyesha nyie ni useless puppet of the West msio na influence hapa Africa. Amina anatoka 1st round!
 
NYANG'AU mkenya, we r simply paying back the price of greedy! U r in ur own just like EPA n forget of SADC's support! FYI SA is not a founder nation n trying to influence there n jump the real founders was a wrong move!
 
Mnalo mwaka huu,hamna anayewataka kwa sasa,Africa na hata dunia inajua kuwa nyinyi ni waongo,wanafiki,waizi na arrogance za ki nyang'auπŸ˜€,tulieni sindano iwaingie vizuriπŸ˜€
comment kama hii ni ya aibu...can you compare of multinationals in dar and nai then uniambie nnani hatakikani.upperhill zimejaa multinationals kibao alafu waongea dunia haitutaki.we ni bwege kweli
 
NYANG'AU mkenya, we r simply paying back the price of greedy! U r in ur own just like EPA n forget of SADC's support! FYI SA is not a founder nation n trying to influence there n jump the real founders was a wrong move!
what is that which you give as payback to us????
 
comment kama hii ni ya aibu...can you compare of multinationals in dar and nai then uniambie nnani hatakikani.upperhill zimejaa multinationals kibao alafu waongea dunia haitutaki.we ni bwege kweli
Nyie wetu safari hii,mbona mtafurahiπŸ˜€
 
Wenzenu wanaendelea nyinyi bado tu Ubaguzi na siasa mara Wazungu mara Warabu Tanzania imepata uhuru 1961 na Kenya ikapata miaka miwili baadae 1963 bado Tanzania eti Taifa Changa wenzetu Kenya wanasonga mbele.
Tanzania tumeharibu mpaka kile tulichorithi kwa Wakoloni. Vipya vyote tumejengewa kwa misaada na Zaidi Wachina kipi kipya kikubwa cha kupigia mfano taja kimoja tulichofanya kwa hela ya mapato ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…